MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Tuesday, October 30, 2012

>>WENGI MMENIPIGIA KUULIZA JINSI JERGENS INAVYOFANYA KAZI,NAMI BILA HIYANA NAOMBA NIWAELEZE HATUA 3 MUHIMU ZA KUPITIA ILI INOGEE!!

1.UNAANZA NA SABUNI,HII NI BODY WASH,INAITWA GLYTONE UNAOGEA HII MWILI MZIMA,THEN UNAKUJA HATUA YA PILI!(HII SABABU INAKAA MUDA MREFU)

2.BAADA YA KUOGEA GLYTONE UNAPAKA SASA JERGENS YAKO KAMA KAWAIDA MWILI MZIMA(HII JERGENS MIX YAKE NIPIGIE),THEN BAADA YA KAMA DK. 30-40 HIVI UNAINGIA HATUA YA 3. 

3.HATUA YA TATU NA YA MWISHO UNATUPIA HIKI KITU KINAITWA MILK PROTEIN,HIKI PAMOJA NA MAMBO MENGINE KINAKUKINGA NA MIONZI YA JUA(SUN PROTECTIVE FACTOR) AMBAYO NI MUHIMU SANA KWA NGOZI.
N:B VITU VYOTE VINAPATIKANA @AK COSMETICS.
KUMBUKA HILI NI PENDEKEZO LA WATAALAM ILA NA WEWE WAWEZA KUJA NA UTAALAM WAKO UKACHUKUA VYOTE NA ZAIDI AU UKAPUNGUZA.

Monday, October 29, 2012

>>>Scrub-sessed! Bath & Body Works Into The Wild Smoothing Body Scrub
Body Scrub zipo aina mbalimbali AK Cosmetics,ukitumia vitu kama hivi mara moja kwa wiki inafanya ngozi yako kuwa nzuri maana inatoa dead skin(nadhani ndio ngozi iliyokufa kiswahili)kila mtu ana dead skin.Ukianza mapema kuhudumia vizuri ngozi yako hiyo miaka ya baadae utabakiza maintenance,wakati waliofanya kinyume watakapo kuwa wanakutamani.

Kate Spade New York Franca Printed Plastic Cat's-Eye Sunglasses

kate-spade-franda-printed-cateye-sungalsses.jpg

You have been living in a dark, shadowy cave for years, believing that only black and brown sunglasses were stylish. Step into the light wearing these Kate Spade New York Franca Printed Plastic Cat's-Eye Sunglasses . Bright purple and fantastically dramatic, these are just the kind of statement shades to declare that you are proud to no longer be in the dark.

>>>Rakku Shoe Wheel.....

rakku-shoe-wheel.jpg

Napenda sana kuona ubunifu wa vitu mbalimbali.Humo ndani kila pair ya kiatu ina sehemu yake inajitegemea.

Sunday, October 28, 2012

>>>AYA AYA ILE MANENO (JERGENS) MLIOKUWA MKIISUBIRI KWA HAMU HATIMAE IMETIA MAGUU @AK CLASSIC WAHI UJIWAHIE YAKO KABLA HAZIJAKATA!!!

INAITWA JERGENS SKIN FIRMING  HAPO ILIPO IMEKAMILIKA KILA KITU WALA HUNA HAJA YA KUWA NA KIJIKO WALA MWIKO WATAALAM WASHAFANYA KAZI YAO!!

>>AYA SASA AK COSMETICS KILA SIKU NA MAMBO MAPYA,SASA NIMEWALETEA TISSUE MAALUM ZA KUJIFUTIA USO HASA KWA WALE WENZANGU WENYE NGOZI ZENYE MAFUTA KWA WINGI,BAADA YA KUTUMIA LESO UNATUMIA HII UNAFUTA VUMBI LAKINI ZAIDI UNATOA MAFUTA NGOZI INABAKI KUWA KAVU NA YAKUPENDEZA!!

BAADA YA KUFUTA UTAONA KARATASI INAKUWA KAMA LIMETOKA KWENYE KIKAANGIO CHENYE MAFUTA,ILA MAKEUP YAKO IPO PALEPALE,HII NI SPECIAL TISSUE HAITOI MAKEUP ONLY MAFUTA,HATA KWA MABIBI HARUSI THIS IS THE BEST,KULIKO MATRON ANASHINDA ANAKUKANDIKA MAKEUP BASI KWENYE PICHA UNATOKA KAMA ..... WE MALIZIA!!HII NDIO KAZI YAKE.

Friday, October 26, 2012

>>>MWANAMKE JICHO BABU WEE HASA LIKIWA LIMETUPIWA NAKSHI NAKSHI!!

KILA AINA NA STYLE UTAKAYOTAKA TUNAKUPATIA @AK  CLASSIC


NI KOPE ZENYEWE ORIGINAL  ZA HUMAN HAIR100%

Thursday, October 25, 2012

>>>Uzuri wa Mwafrica.....


African Beauty


Kwa wale ambao hawataki mabadiriko yoyote ya rangi kwenye ngozi zao ila wataka WAWAKE(GLOW) kama huyu dada yote hayo yanapatikana AK Cosmetics.

>>>This is 100% turn OFF to most of us,otherwise wear covered cloth,try this procedure might help,duh!!

COFFEE SCRUB
» Why It Works: Most pricey cellulite(nyama zimelegea) treatments use caffeine to promote circulation, deep-cleanse pores and act as a diuretic by removing excess water from your dermis. Our version uses the same stimulators — but with ingredients usually reserved for your morning cup of joe.
» You'll Need:
- 1 cup fresh-ground coffee
- 1/2 cup brown sugar
- 1/2 cup salt
- 1/2 cup coconut oil

»Mix all the ingredients. Massage into thighs, butt and other areas prone to, sigh, the cottage cheese effect for five minutes in a circular motion.
Rinse when finished. Repeat three to five times per week.

Monday, October 22, 2012

>>>MAKARI ndani ya AK Cosmetics....

Caviar FaceCaviar Face Lightening CreamClarifying Exfoliating Antiseptic SoapClarifying Exfoliating Antiseptic
                                                                                                              soap.

>>>So White zimeshafika kukamilisha set,haya twendez!!!


Haya yote AK Cosmetics.

>>>Hand cream za kutosha kwenye pochi kutoka Bath&Body Works zimeshawasili kwa wale waliokosa karibuni AK Cosmetics mchukue...

Shea Cashmere & Silk Hand Cream - True Blue® Spa - Bath & Body WorksTravel-Size Shea Cashmere Hand Cream - True Blue® Spa - Bath & Body WorksStress Relief - Eucalyptus Spearmint Hand Cream - Aromatherapy - Bath & Body Works
Cream ya mikononi ni kwa wale wanaosikia mikono mikavu mara kwa mara au unapotoka kunawa unapaka kusudi mikono isipauke.Kumbukeni hili ukitaka kujua UMRI wa MTU angalia mikono yake,mikavu imekomaa jibu hilo,ila ukiipenda mikono yako utawaacha watu wana otea tu!

>>>Mwanamke jicho hasa pale linapokuwa na nyusi za ziada yote haya @AK Cosmetics..

Lavender Bloom False Eyelashes - natural lashesFALSE EYELASHES S217 - natural lashesBLACK V FALSE EYELASHES - natural lashes
Nyusi za bandia zimewasili,wengi wenu mliomba  tuwaletee  dukani kupunguza mzunguko na foleni la Dar.

Sunday, October 21, 2012

?????Vaseline,YES......

Njoo ujipatie mambo yaliyokwenda shule,hata VASELINE wamesema hata kama sie ni OLD-SCHOOL lazima tu UPGRADE.Usijiulize nani bado anapaka VASELINE,OLD IS GOLD!Zinapatikana AK COSMETICS.

>>>Wenye tatizo la NGOZI KAVU suluhisho lipo AK Cosmetics

Ultimate Organics Cocoa Butter And Shea Butter CreamUltimate Organics Cocoa Butter And Shea Butter Lotion
Kwa wale wenye NGOZI KAVU(DRY SKIN)sina mengi ya kuongea ila njoo mwenyewe AK Cosmetics ujinyakulie suluhisho la tatizo lako.

>>>Body WHIP&Body GLOSS@AK Cosmetics.....

Ultimate Organics Olive Oil Body Whip Moisturising CreamUltimate Organics Moisturizing Body Gloss
Haya yote yanapatikana AK Cosmetics katika mpango mzima wa kuifanya ngozi yako iwe gumzo mjini.

>>>JOHNSON'S® Baby Oil Gel@AK Cosmetics....

Baby Oil Gel, Shea & Cocoa Butter
Hata watoto ngozi zao zinahitaji mafuta mazuri kuanzia siku ya kwanza vyote hivi vinapatikana AK Cosmetics,haya mafuta mazuri...sanaaaaa

>>>Nchi nyingine wanaita PAMPERS lakini MAREKANI wanaita DAIPERS ila ndio kitu kilekile...


 


Hii mambo ipo AK Cosmetics.Jamani kwa sasa hivi DAR kuna joto kwa wale ambao mnatumia PAMPERS kwa watoto unahitaji hii product nyumbani kwako,kuna vi rash vingine havionekani kwa macho unashangaa mtoto kakojoa mara moja lakini analia kweli,anaungua.

Friday, October 19, 2012

Using laptop and mobiles during Pregnancy {Pregnancy}


What are we pregnant women not warned against - drinking, smoking, eating, stress? And now, add to the list, its mobile and laptops. All electronic devices and gadgets produce heat and radiation which are harmful for us but, imagining a life without mobiles and laptops is kind of difficult today. But, unfortunately, laptops produce intense heat that is harmful for all of us and especially for pregnant women.

Do's & Dont's

Pregnant women should not keep laptops on their laps or stomach.
If you are working on laptop or desktops, take more breaks and relax your body more often.
Blink your eyes more often to stay away from strain.
Try to use the best comfortable position for your body and neck.
Minimize your use of cell phone and get shifted to old tring tring :)
Don’t keep your cell phones near your bed.

Heart and Cardiovascular Diseases in Women? {Women Stuff}

Symptoms of CVD in women
feeling of discomfort between breasts or behind breastbone
pain radiating over arms, back, neck, jaw or stomach
shortness of breath, weakness or fatigue
unusual anxiety or nervousness
indigestion or nausea
sudden sweating, dizziness and collapse

How to Prevent?
Be physically active!!! Walk or exercise daily.
Avoid salt, sugar and fatty foods. Eat lots of fruits and vegetables.
Maintain a healthy weight.
Quit smoking and avoid respiratory irritants.
Limit or stop alcohol.
If you have lung problem, get influenza vaccination annually.


 

Thursday, October 18, 2012

‘Mirror mirror on the wall, who is the most beautiful amongst all?’

Beyonce Knowles, seen at centre performing at the 2011 Glastonbury Festival, has nabbed the high-profile Super Bowl halftime show, according to an AP source.
 An age old fairly tale carries this sentence which is extremely popular. Why not? As we all love to look beautiful and get attention. Being noticeable and pretty has always been in style. It helps you make a good first impression, boosts your self-esteem and keeps members of opposite sex hanging around you. This is the reason why newer cosmetics are tried and invented every other day.

>>>Cosmetics Tips.......

 
black-beauty-tips
 
There are the four cosmetics C's. Below are the four C's extracted from the book "beauty".
  • COMFORT: It's very often to hear questions like "If wearing powder, does foundation need?" How much makeup feels comfortable and leave it at that. Some don't feel fully dressed without foundation, others feel embalmed when they wear it. If you love lipstick but you're uncomfortable with eye makeup, go with the lips-or vice versa.
  • COLOR: Stick to the same color family. It's a major blunder to mix a warm lip shade (rust) with a cool blush (pink).
  • CONTOUR: Blend, blend, blend. Use brushes, sponges, velours, puffs, and fingers to soften the lines of demarcation. Nothing looks worse than rigid lines of color that divide the face into a harsh grid.
  • CONFIDENCE: A little attitude goes a long way. Even if you don't feel secure about your ability to apply makeup, fake it until you learn. Get yourself a good mirror, and, whenever possible, apply your makeup in natural light. Remember, makeup application is not rocket science; it's supposed to be easy and fun. But a lot of women are held back by the fear of doing something wrong. No matter what the counterperson or you best friend says, if you don't look good, because you won't have the confidence to pull it off. Go with your gut, but take a risk once in a while, too. Remember, you can always wash it off!
 
 
 
 
 
 

Wednesday, October 17, 2012

>>>USISUMBUKE:- MABAKA BAKA,VIDOTI DOTI VYEUSI VYA CHUNUSI USONI SULUHISHO LAKE ILI HAPA!!!!

HII INAITWA MELADERM,HII NI KIBOKO YA AINA YOTE YA MABAKA,ALAMA ZA USONI NA MELASMA.

ACNE FREE TERMINATOR ADUI NO. 1 WA VIDOTI VYEUSI VIBAKIAVYO BAADA YA KUTUMBUA CHUNUSI USONI!!

SPOT GEL BY ABSOLUTE CARE HII HUFUTA MARKS ZOTE ZA USO NA KUIACHA NGOZI NYOROROOO!!!

SPOT GEL CORRECTOR HUFANYA KAZI MASAA 24.

MARKS ZA NINI!!?NO NO NO NO NO NO MARKS JAMANI!!WEE NJOO TU,HATA VIJANA WENU NYUMBANI MSIWASAHAU TENA WAO ZINAWAKERA ZAIDI KULIKO WATU WAZIMA @AK CLASSIC UTIBIWE!