MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, February 28, 2013

>>JE UNAJUA UMUHIMU WA TONER MWILINI MWAKO?

Loreal Cleanser and powder,Baada ya kusafisha ngozi kwa kawaida cleanser maara baada ya matumizi huacha njia za kupumia wazi,lakini kiutaalam zile njia zinatakiwa kuzibwa zikae wazi kwani zikikaa wazo vile nazo pia huchangia kusababisha muonekano mbaya!!

Toner za aina tofauti tofauti ambazo pia zimekuwa approved na wataaalm wa magonjwa ya ngozi(dermatologist)  zinaoatikana @AK classic.

Wednesday, February 27, 2013

>>2013 HAMNA KUFUBAA, NI MWENDO WA KUNG'ARA TU!!

SET NZIMA YA OTENTIKA YENYE MADIKO DIKO YOTE KUANZIA SABUNI(EXFOLIATING SOAP),SERUM,MAXITONE LOTION NA FADE OUT CREAM.SET HII NI MAHSUSI KWA WATUMIAJI WENYE NGOZI KAVU(DRY SKIN).WAJUZI WA MAMBOZ WANAKWAMBIA UKITAKA MNG'ARO SAWA SAWIA SHURTI UTUMIE SET NZIMA,LAKINI KAMA MFUKO UNARUHUSU MOJA BADO INAFANYA YALE INAYOPASWA KUFANYA.

SET HII NI KWA AJILI YA WATU WENYE NGOZI YA KAWAIDA KABISA(COMBINATION SKIN),KAMA ILIVYO YA NGOZI KAVU HII PIA INAJUMUISHA SABUNI,SERUM,MAXITONE LOTION,FADE OUT CREAM.UNAPOTUMIA OTENTIKA MABAKA YA MWILINI HUPOTEA KWA KIASI KIKUBWA,HARARA NAZO HUKAUKA NA ZAIDI HUKUACHA NA MNG'AO SAFI WA RANGI FLANI YA CHOCOLATE!!!

OTENTIKA NA FADE OUT CREAM HIZI KWA WATUMIAJI WA NGOZI ZA KJAWAIDA.

NADHANI KWA PICHA HII UNAWEZA KUONA KWA KARIBU TOFAUTI ZAO KATI YA OTENTIKA YA WATU WENYE NGOZI KAVU NA WALE WA NGOZI YA MCHANGANYIKO(MAFUTA + KAVU).YA KWANZA KUSHOTO NI KWA AJILI YA WATU

Tuesday, February 26, 2013

>>OIL BLOTTING FACIAL TISSUE NOW @AK COSMETICS

VILE VIKARATASI MAHUSUSI KWA AJILI YA KUWEKA NGOZI YAKO SAWA HASA KWA WALE WENZANGU TULIO NA NGOZI ZA MAFUTA SANA,VIMEFIKA,KAZI KWENU.UNAPOKUWA NA HII HUITAJI KIOO WEWE NI KUFUTA TU USO WAKO,NGOZI UNASHANGAA YENYEWE IMEJIRUDI SAAAFI KAMA VILE NDIO KWANZA UMETOKA KUPAKA POWDER!!

>>VICTORIA'S SECRET LIPGLOSS NOW WITH A NEW LOOK NOW AVAILABLE @AK COSMETICS


Monday, February 25, 2013

>>NO. 1 BEST SELLING SKINCARE (MELADERM) @ AK CLASSIC COSMETICS

MARA NYINGI BAADA YA KUTIBU CHUNUSI HUWA ZINAACHA ALAMA ALAMA (SPOT),NA NGOZI ILIYOFUBAA,MELADERM HUTUMIKA KUREKEBISHA NGOZI NA KUWA NA RANGI MOJA(EVEN SKIN TONE).IMEKUWA PRODUCT INAYOUZWA SANA MAGHARIBI KULIKO PRODUCT NYINGINE YOYOTE TOKA 2004.

Thursday, February 21, 2013

>>JE UNATAKA JICHO LAKO LIWEJE??

HAPO UTAKUTANA NA NOURISHING,VOLUMINIZING,PLUM IT UP,SUPER FLIRT,DEFINITION NA WATERPROOF MASCARA!!

Wednesday, February 20, 2013

>>>KAMA CHUNUSI ZAKO ZIMESHINDIKANA BASI HAPA NDIO KIGOMA MWISHO WA RELI!!

NO RESEARCH NO FREEDOM TO TALK,KWA RESEARCH YANGU KATIKA KUDEAL NA TATIZO LA CHUNUSI BRAND HIZI 3 ZIMEKUWA NA FEEDBACK NZURI SANA KWA WATU WENGI SANA AMBAO WAMEKUWA NA NGOZI ZA MAFUTA SANA AMBAO IMEPELEKEA WAO CHUNUSI KUWA TATIZO SUGU!!KATIKA SET HII UTAKUTANA NA BLACK OPAL AND BLEMISH WASH,PORE MINIMIZER TONER NA ANTI ACNE LOTION.

KWA MATUMIZI YA SABUNI HII TU IMEKUWA GUMZO SANA KWA WATUMIAJI WAKE!!

NEUTROGENA NI MOJAWAPO YA SET ZINAZOTAFUTWA SANA KWANI KAZI YAKE IMEKUWA NZURI NZURI NZURI!!HUMU UTAKUTA CLEANSER,OIL FREE LOTION NA ACNE CONTROL LOTION

HII NI FULL SET YA ACNE GONE,HAPO KUNA SABUNI,SERUM NA MEDICATED HEALER!!

>>>HII NI JINALESS LAKINI INAFANYA VIZURI SANA KATIKA SWALA ZIMA LA KUWEKA NGOZI YAKO SAWA SAWIA!!

Karatasi limetolewa lakini haki zote zimehifadhiwa!!

Tuesday, February 19, 2013

>>NOW VERY SEXY,DREAM ANGEL,NOIR TEASE PERFUME IN small PACKAGE!GRAB YOURs @AK CLASSIC!!

KAMA ULISHATUMIA MIST MOJAWAPO KATI YA HAYA MAJINA BASI SASA UNAWEZA PATA PERFUME KABISA KATIKA UJAZO MDOGO NA BEI NAFUUU SANA!!UNANGOJA NINI?

>>NEW VICTORIA SECRET'S FACE PRIMER @AK CLASSIC COSMETICS

WENYEWE WATALAAM WANAKWAMBIA UKITAKA MAKE UP IKAE MWAKE MWAKE SHURTI UANZE NA PRIMER,HII HUINDAA NA KUIWEKA TAYARI NGOZI YA USO WAKO ILI POWDER NA WENZIWE WAKAE VIZURI ILI UONEKANE MTOTO NATURALL

>> BAADA YA KUADIMIKA,BUTT LIFTER PANTY NOW AVAILABLE @AK CLASSIC

2 IN 1

Monday, February 18, 2013

Sunday, February 17, 2013

>>>KINGINE KUTOKA AK CLASSIC COSMETICS!!

The Softsoap Body Butter-Body Buff Wash is designed for daily use. The ultra-rich formula with jojoba butter and crushed coconut extracts gently exfoliates your skin. This coconut scrub body wash renews your skin's surface, while retaining the moisture. This jojoba butter body wash is a moisturizing body scrub suitable for all types of skin that include dry, oily, and normal. To use this coconut scrub body wash, squeeze a small amount into a Loofah and work out a rich lather in your body. Rinse with water and experience a rich fragrance for the rest of the hours.

Thursday, February 14, 2013

>>WHEN YOU ARE LOOKING FOR THAT CHOCOLATE LOOK @AK CLASSIC IS THE PLACE!!

ITS CALLED ULTRA GLOW HII HUNG'ARISHA NGOZI BILA KUICHUBUA NA KUIFANYA ITOKEE KICHOCOLATE CHOCOLATE,ZAIDI HII IMEONGEZEWA SUNBLOCK,ILI KUILINDA HIYO CHOCOLATE ITAKAYOKUWA IMELETWA!!

ULTRA GLOW FADE CREAM THIS IS FOR NORMAL SKIN WITH NO SUNSCREEN!!

Tuesday, February 12, 2013

>>WHAT LADIES LIKE MOST!!!!KAZI KWENU WANAUME KAZI YANGU NI KUWARAHISISHIA KAZI!!

Bath & Body works products there  are superb

Sensual amber full set,unaweza kupick moja sio lazima iwe set ila inanoga ikiwa set aisee!!

Juicy berry set

Wakati mwingine sio mpaka mfuko ukutoboke saaaana,La hasha!!

>>LADIES HIVI NDIO VITU VYA KUMWEKEA SIKU YETU ILEEEE!!!
Sunday, February 10, 2013

>>>MABIBI NA MABWANA NAILETA KWENU "NADINOLAAAAAAAAA!!"

KAMA KUNA BIDHAA AMBAYO MPAKA SASA IMEFANYA KAZI KUBWA NA YA KUPENDEZA NA IMEKUWA KIVUTIO CHA WATEJA WENGI HASA WENYE NGOZI ZENYE MABAKA MABAKA BASI NI HII!!

Tuesday, February 5, 2013

>>>je WEWE NI MPENZI WA SCRUB?HII INAKUHUSU SANA:-

HII NI SCRUB INAYOTOKANA NA ULE MMEA AMBAO MARA NYINGI KAMA SIO ZOTE NIMEKUWA NIKIUZUNGUMZIA(SHEA) HUU MMEA UNAFANYA KAZI NZURI SANA KATIKA NGOZI YA MWANADAMU.SASA BIDHAA HII IMEKUWA CERTIFIED KAMA ORGANIC SHEA BUTTER,HUTUMIKA MWILINI NA KUIACHA NGOZI MWANANA NA NYORORO!!!"utamu wa ngoma uingie ucheze"

>>AVEENO PRODUCTS AVAILABLE @AK COSMETICS

AVEENO PRODUCTS SIKU ZOTE HUTENGENEZWA NA VITU VYA KIASILI KWA AKILI KAMA UNATAFUTA BRAND AMBAYO NI CHEMICAL FREE KWA HAKIKA TUMIA BIDHAA ZA AVEENO! UTAKUBALI MANENO YANGU!!

Monday, February 4, 2013

>>>KAMA UNASUMBULIWA NA VISPOT SPOT(VIBAKA) VYA CHUNUSI,FIKA AK COSMETICS UPATE TIBA!!!

HII INAITWA ACNE FREE TERMINATOR IMETIWA NGUVU YA ZIADA KATIKA KUTOA MAKOVU YA CHUNUSI

NI MAFUTA MAALUM KWA AJILI YA MABAKA,HII HATA WALE WENYE NGOZI ZA MAFUTA SANA ALAFU SENSITIVE WANATUMIA.

HUSAIDIA SANA KUONDOA MAFUTA!!

Sunday, February 3, 2013

:MAMBO YA DOT.COM UNAWEZA UKAJISEXISHA BILA KEMIKALI ZA KUKUDHURU MWILI WAKO!!!

HII INAITWA BUTTY LIFTER PANTY KAZI YAKE NI KUBANA TUMBO NA KULIFT WHAT YOUR MAMA GAVE U IKIKUACHA UKITENGENEZA NA 8 KIULAINIIIII!!!(MCHINA WA NINI HAPA??)

HII NI COSET WENGI TWAZIJUA,SHUGHULI YAKE NI KURUDISHA TUMBO UKATOKA SEXYYYYY!!!

Friday, February 1, 2013

"HAYA MLIOKUWA MMEKOSA ZIMEINGIA WAHI WAHI ZIKO CHACHE!"

"BINAFSI SINA MAELEZO MENGI YA KUIELEZEA HIKI KITU ILA NACHOONA NI KILA ANAYEICHUKUA LAZIMA ARUDI ABEBE MBILI MBILI!!"SIRI YA NGOMA UINGIE UCHEZE"