MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, March 17, 2016

LOOKING FOR SOMETHING KUKUPA MNG'AROO??

KAMA UNAJUA MAAJABU YA ARGAN OIL UTAKUBALIANA NA MIMI,HUWA HAINA MPINZANI UNAPOITUMIA IWE KWENYE NYWELE AMA MWILINI!! WENGI MMEKUWA MKIIONA MAAJABU YAKE KWA KICHWANI(NYWELE) SASA IMEKUJA NA YA MWILINI..NI SHEEEDA!NGOZI LAINIIII,NYORORO INAYONG'ARA.

ILIPOTEA KITAMBO SASA IMERUDI, #HT26 FULL SET, KUANZIA LOTION,SABUNI NA SERUM.HII MAHSUSI KWA WALE WOTE WASIOPENDA MAKUU...MAMBO FLANI YA KUSHINE BILA KELELE MTOTO RANGI YA CHOCOLATE MTAMUUUUU!!!

LADIES MAKE SURE YOU DONT MISS THIS...

NILISHASEMA NA NARUDIA TENA...KAMA HUNA HII KITU KWA HANDBAG YAKO PLEASE ITAFUTE HII.INAITWA SECRET DEODRANT NI NZURI MNOOO!!MAMBO YETU YA WIZARA YA NDANI KWAKWELI YANAKUWA YAKO VIZURI 100/100.

PATA VITU VYA UKWELI KUANZIA UNYOYONI MPAKA KICHWANI

@AKCLASSICOSMETICS NO FAKE ZONE

PATA MWONEKANO...NA #AKCLASSIC

AYA SASA WALE WADAU WA RANGI FLANI KALEE ZA KITAJIRI MPANGO NDO HUU!!