MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, May 5, 2016

UNA NGOZI YENYE MAFUTA HASA USONI>?UNATESWA NA CHUNUSI SANA?

KOSA KUBWA HUWA WATU WENYE OIL FACE TUNAFANYA NI KUPAKA CREME/LOTION YENYE MAFUTA USONI!!EPUKA SANA LOTION ZA NAMNA HII KWANI HUZIDISHA TATIZO!!NINI UFANYE?PENDELEA KUPAKA CREME/LOTION ZISIZO NA MAFUTA(OIL FREE0 MOISTURIZER!!! WATAALAM WA NGOZI WANAIPA GREENLIGHT BRAND YA NEUTROGENA... #AKCLASSIC UTAZIPATA

KAMA KUNA KITU MUHIMU PENGINE KULIKO VYOTE NI KUHAKIKISHA UNAOSHA NGOZI YAKO YA USO WA MAFUTA WALAU MARA MBILI KWA SIKU...HII HUSAIDIA MAFUTA,JASHO<VUMBI, NA ZAIDI KUFUNGUA ZILE PORES KWANI KWA KAWAIDA NGOZI YA MAFUTA HUWA INATABIA YA KUZIBWA MATUNDU NA YAKE MAFUTA YA ZIADA ULIYO NAYO. PENDELEA CLEASNER ZA JAMII YA #NEUTROGENA HUTOJUTRA!!!

OIL FREE MOISTURIZER

No comments:

Post a Comment