MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, March 26, 2015

KILE MLICHOKUWA MNAKIMISS SASA KIMERUDI TENAAA!!

AYA AYA AYA SASA MZIGOOO UMETUA!!SASA ILE HABARI YA KULA PILAU BILA KACHUMBARI HAIPO TENA ILE KACHUMBARI MATATA IMEWASILI!! WENGI MLIOPITA #AKCLASSIC KUPATA KITU CHA SERUM KWENYE QUEEN ELIZABETH MNAIFAHAU VIZURI HII!!SASA BAADA YA KUADIMIKA KWA MUDA IPO AK CLASSIC... KARIBUNI MUJE KUPENDEZA SASA...

KITU KIPYAAAA CHA MAKARI NDANI YA #AKCLASSIC

AYA SASA WALE MLIOCHOKA KUTUMIA VITU VINAWAPA RANGI SITA SITA!!HIKI KITU NI SHEEDA!! INAITWA MAKARI EXTREME....WOTE NATUMAI MWAIJUA SHUGHULI YA CARROT LINAPOKUJA SWALA LA NGOZI  SASA HUMU IMENAKSHIWA NA ARGAN OIL!! WEE ACHA TU YAANI!! SASA HAPA KITU KIKO FULL SET  YAANI NAUKISKIA URANGI WA KITAJIRI BASI NDO HII!!

MTOTO WA KIKE MSHAPE MNAHUSU BAB ENHEE!!!

KISA CHA KUFUGA KITAMBI CHA CHIPS I WAKATI #AKCLASSIC MACORSET YA KUMWAGA TENA BEI CHEEE BONGO NZIMAA!UNAAMBIWA KWA 135000 UNAPATA KITU CHA COLOMBIA!! NI SHEEDAAH!!

KITAMBI HAKIHUUU BAB!! MAMBO YOTE AK CLASSIC TENA KWA BEI MWELELE KABISAA HII UNAIPATA KWA 75000/= TU!!

IPI INAKUBAMBA KATI YA IZI? MAMBO YA HAWAVUMI LAKINI WAMOO...

WAMETIMIA HAPO WAZEE WA UFARANSA!!JAMANI ENHEE KILA MOJA INA AKZI YAKE HAPOOO!!  WALE WAKUPIGA MSASA MPO HAPO?>MAMBO YAKO #AKCLASSIC

AM SURE KILA MMOJA ALISHAWAI KUTANA NA PALMERS!!ISHU SIO IYO!JE ULOKUTANA NAYO NDO YENYEWE KUTOKA KWA ANKO OBAMANYA?ASEE UKIPATA KITU CHENYEWE KUTOKA US LAZIMA UTAITAFUTA TENA!!HAIONGOPI ASEE,MLIOKUTANA NA MOJAWAPO KATI YA HIZI MTAKUWA MASHAHIDI!!

UKIGUSA HAPO LAZIMA UNASEE!!

Thursday, March 12, 2015

WALE NDUGU ZANGU WALIOHARIBIWA NA MACREAM MAKALI(MIKOROGO) SIJAWASAHAU!!

HII NI KWA AJILI YENU WOTE AMBAO MNATESEKA NA KUUNGUA KWA KUTUMIA MIKOROGO... SASA STRESS BASI!!WENGINE MTAIKUMBUKA ILE MONTY GLOW NILIKOKUWA NIMESHUSHA KIPINDI CHA NYUMA IKAWA IMEISHA SASA IMEFIKA TENA!!WAHI WAHI KWANI ZIKO CHACHE NA MAHITAJI NI MENGI MNOOO. PIA WALE WA KUPENDA KUNG'AA,WENYE CHUNUSI HAPA PIA MMEFIKA.JAMANI BIDHAA IZI UZURI WAKE NI KUWA NI 100% ASILIA(ORGANIC) KWAHY HUNA CHA KUHOFIA.

UNAKICHUKIA KITAMBI? FANYA MAZOZEZI BASI...

JAMANI ENHEEE HALI SI HALI HUKU MTAANI NYIE WOTE MASHAIDI... CHIPS MAYAI ZINATUONDOLEA FIGURE ZETU!!HIVI  UNAKUMBUKA ILE FIGURE YAKO MIAKA 8 ILIYOPITA?DAAAH NI SHEEDA!! SASA HII NDIO #WAISTTRAINER CORSET YAANI HII UNAIWAMBA AFU UNAENDA IWE GYM AU UWANI KWAKO AU UWANJANI.. UNAPIGIA MAZOEZI YAANI KITAMBI FASTAAA KINARUDI KWAO..MWENYEWE UTASHANGAAA!!KWANZA ILE UNAPOIVAA TU UIYO SWEAT YAKE NI BALAAA!! ASEE UKIAMUA HICHO KITAMBI INAWEZEKANA KIKAONDOKA TENA FASTA..NAKWAMBIA ASEEE!! ZINGATIA MAZOEZI, TENA UKIWA NA GADGET KA HIZI,CHAGUA UNAKULA NINI NA WAKATI GANI, KUNYWA MAJI MINGIII,ACHA MAJUNK FOOD!!!

JE? UNA KASUMBA YA KUTOKA JASHO SANA ISIVYO KAWAIDA?HII ISIKUPITE

LABDA KUTOKANA NA HALI YA HEWA,WENGINE KUTOKA NA HALI YA HEWA HASA HILI JUA LA UTOSI LA SASA PLUS JOTO BASI WATU WAMEKUWA WAKITOKWA JASHO ISIVYO KAWAIDA!!WENGINE HATA HAYUKO JUANI MASKINI YA MUNGU LAKINI HILO JASHO LINALOMTOKA SI KAWAIDA!!SASA HII HALI ISIKUPE STRESS NJOO AKCLASSIC TUTAKUPA KITU HII (ABSOLUTORR) YAANI HUTAAMINI IYO SHUGHULI YAKE!!NA HII IMETHIBITISHWA UKOO ULAYA KWAHY WASIWASI TOAAA!!

WALE WAPENZI WA NYWELEZ SAFARII HATUJAWASAHAU!!..

TUMEKUWA TUKIPATA WADAU WENGI WAKITUOMBA TUWASHUSHIE UNYWELEZ SASA MAMBO YAMEIVA,NJOO UJIAPTIE WIG,LACE WIG,WEAVING N.K NYWELE HIZI ZINAINGIA MOTO MEANS  UNAWEZA KUBADILI STYLE YOYOTE UNAYOTAKA!!!

HAPO VIPI?

HAPA JE?

JE HAPA?

HII NAYO?

Wednesday, March 4, 2015

JE UNAPENDA KUWA NA UNYWELEEE AMAZING?HII ISIKUPITE!!

KAMA HUKUWAHI KUSKIA KUHUSU JAMAICAN BLACK CASTRO OIL (Jbco) BASI NAOMBA NKUJUZE KUNA KITU KIKUBWA UMEMISS!!JBCO NI MOJA KATI YA MAAJABU MANNE YANAYOFANYA MAAJABU KWENYE SWALA ZIMA LA NYWELE.UNAPOTUMIA JBCO UTASHANGAAA UNYWELE UNAJAA VIZURI,INAKUWA NDEFU KWA KASI,WEUSI ULE MZURI WA KUVUTIA,NA PIA HII JBCO HUONDOA UKAVU WA NYWELE AMBAO NDIO HUSABABIUSHA KUKATIKAKATIKA KWA NYWELE,UNAPOTUMIA JBCO NYWELE HUWA LAINI KAMA VILE UMEPAKA MAFUTA (C0NDITINER) NA KWA TAARIFA YAKO JBCO HUSAIDIA KUKUAJI WA KOPE!!!!. KUNA AINA TOFAUTI TOFAUTI ZA JBCO KATI YA IZO HII #EXTRA DARK NDIO THE BEST KWANI HATA GHARAMA YAKE HUWA JUU UKILINGANISHA NA ZILE ZINGINE.KWA KAWAIDA JBCO NI NZITO  HIVYO UNASHAURIWA UNAPOITUMIA UIMIX NA EITHER MAFUTA YA NAZI AU OLIVE OIL. TUNAZO AINA ZOTE #AKCLASSIC

HII KILA MMOJA ANAIJUA!!OK INAITWA T444Z... SHUGHULI YAKE WENGI WETU TUNAIFAHAMU SASA KAMA VILE HAITOSHI IMELETWA FULL YAANI SHAMPOO NA CONDINITER YAKE,AISEE SHUGHULI YAKE USIAMBIWEE..INGIA UCHEZE,KILA MMOJA ANATAKA UNYWELE BANA!! AYA MUKUYEEE #AKCLASSIC

MAMBO YA KUTWISTSI  NDIO HABARI YA MUJINI SASA... VITENDEA KAZI VYA KILA AINA TUNAVYO #AKCLASSIC KUANZIA #KINKYCURLY #CANTU #SHEARMOISTURE #BEAUTIFULTEXTURE NI WEWE TU YAANI USHINDWE MWENYEWEE!! SIFA ZA KILA MOJA NTAZIPA KWA UJAZO WAKE POST ZIJAZOOO...

Tuesday, March 3, 2015

USIISHIE KUSEMA UZEE MWISHO CHALINZE TU... NGAO ZINAZUHUSU!!

HUWA NAZUNGUMZA MARA KWA MARA HAPA,USISUBIRI MAMBO YAHARIBIKE NDO UANZE KUHANGAIKA!! NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI JIANDAEEE!! MADINI NDO KAMA IVO KITU CHA GARNIER NADHANI WENGINE WENU MNAFAHAMU SIZA ZA HAWA JAMAA!! UKIWATUMIA NDO UTAJUA NA KAMA HUJAWAHI KUWAJARIBU BASI WAKATI NDIO SASA!! MAKUNYANZI YA NINI BANA!!

>>MWANANMKE RECEPTION ATII,UNYWELE UNA MARKS ZAKE HAPOO!!

HAYA SASA NADHANI WENGI MSHAISKIA KINKY, HII SHUGHULI YAKE KWA WALE #TEAMNATURAL HAIR ASEE NI HATAREE, HII HUWA HAIKAI DUKANI,NA NDIO ZIMETUA WAHI WAHI... MAMBO YA KUTWIST OUT

AYA SASA YALE MASWALI YENU SHAMPOO NA CONDITINER ZA T444Z UNALETA LINI SASA YASHAJIBIWA!!SASA UNAPATA FULL SET KUANZIA MAFUTA YENYEWE,SHAMPOO NA CONDITIER ZA T444Z KWENYE MADUKA YETU YOTE LA MLIMANI CITY NA KINONDONI KWA MANYANYA!! SHUGHULI YA T444Z SI MNAIELEWAAAA???