MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Tuesday, September 30, 2014

>>>WALE MNAOSWEAT SANA KUPITILIZA HII INAWAHUSU!!

KUNA ILE INATUTOKEA BAADHI YETU HASA KIPINDI HII NA HILI JUA KAMA LIMETUMWA NA ISRAEL!!UNAKUTA MTU UNASWEAT HATARE!!VIBLAUZ BIN VITOP PALE KWENYE KWAPA ACHILIA MBALI HARUFU VIMECHORA ALAMA FLANI HIVI..ENHEEE HIYO HIYOO!!BASI SASA MSIWE NA STRESS #AKCLASSIC TUMEWALETEA SULUHU YA TATIZO LENU!! INAITWA #DRICOR KIBOKO YA WALE WANAO OVER SWEAT!!INAKATAJE JASHO SASA!!!

>>WAIST TRAINING CORSET AVAILABLE @AKCLASSIC

MANENO HUWONI HATA PICHAAA???HAYA SASA EXCUSE ZA OOHOO SINA MUDA WA MAZOEZI,MARA BUSY NA KAZI HAZIPO TENA!!KITU IKO HAPOOO KINASHUSHA TUMBO IN FEEW WEEKS!!

ENHEEE NDIOOOO

Friday, September 19, 2014

KAMA UNA NGOZI YA MAFUTA USONI!!ZINGATIA HAYA

MARA NYINGI KUTOTUMIA VITU SAHIHI HUSABABISHA TATIZO LA CHUNUSI LIWE SERIOUS ZAIDI!!POWDER NYINGI TUNAZOPAKA ZINA KEMIKALI AMBAZO HUFUNGA PORES NA KUSABABISHA NGOZI KUTOPUMUA MATOKEO YAKE..TATIZO JUU YA TATIZO!!NINI CHA KUFANYA SASA?? PENDELEA SANA KUTUMIA POWDER ZA MINERAL NA FOUNDATION ZILIZOTENGENEZWA SPECIAL KWA AJILI YA NGOZI ZA MAFUTA(HIZI HUWA NA MANENO KABISA NO MORE BLEMISH<OIL FREE N.K!!)

Thursday, September 18, 2014

THE MAGIC OF JAMAICAN BLACK CASTRO OIL IS HERE!!

KAMA ILIVYO ILE NYINGINE(T444Z) HII PIA INA MAAJABU YAKE TENA YA MCHANA KJWEUPEEEE!!YAAANI BALAAAA!!JAMAICAN BLACK CASTRO OIL INGAWA WENGI HAWAPENDI HARUFU YAKE SHUGHULI YAKE HUKO KUMKICHWA TAKATIFU!!WEE IAMBIE MATATIZO YAKO YOTE YA NYWELE ALAFU TULIA... ITAKUJIBU VIZURO MUNOOO!!ALAFU SASA INAKWENDA MBALI YAANI MPAKA KUKUZA KOPE NA NYUSI...JAMANI HII SI HATARE HII!!DAAAH!!

MY CUSTOMER IN #BODYSHAPER

USIJE UKALALAMIKA OHHOO ME NNA TUMBO AFU HUCHUKUI HATUA!!WENZIO WASHAANZA!!NA MATOKEO WANAYAONAAA!!MAELEZO??AHAH JAMANI

MAMBO YA CANTU SHEA BUTTER HAYOOOO!!@

SIO LAZIMA SWAG ZIPATIKANE KWA UNYWELE FAKE,HATA NYWELE ZAKO HIZI HIZI ZINAWEZA KUWEKA SWAG WATU WAKADUWAAA..ILA ILA UKIPATA VITU SAHIHI LAKINI!!ENHEEE NDIOOO!!HIYO HAPO CANTU IPO #AKCLASSIC

Tuesday, September 16, 2014

>>>SAY NO TO MICHIRIZI < KIPILIPILI< TUMBO < NGOZI MPAUKO < MIWANI <...CHUKUA HATUA!!

HIZI CHIPS MAYAI BALAA SANA..YAANI VITAMBO DAH!ANYWAY CORSET ITAKUSAIDIA KURUDISHA TUMBO KADRI UNAVOIVAA NDIVYO LINAVYORUDI..AS LNAKUKUWA INAKUSAIDIA KUCONTROL CHAKULA NA VITU KAMA IVYO..AYA SASA NI WAKATI WA KURUDISHA MVUTO WAKO!!WALE TULIOTOKA KUJIFUNGUA HAO HATA NISIPOSEMA NYIE NDIO NO. 1 WAHANGA!!SIZE ZOTE ZIPO!!

KATI YA BIDHAA CHACHE SANA ZA NWELE AMBAZO UKIZITUMIA..LAZIMA USEME WOW!!YAANI HUTOJUTA HATA KIDOGO!!CANTU HUYU BWANA SIJUI NIMSEMEJE ILA UKITAKA UNYWELE USIMAME FULL KUNG"AA HUYU NDIEE,T444Z HII HABARE YA MUJINI KILA MTU ANAMJUA.SASA HUYU JAMAICAN BLACK CASTRO OIL NADHANI NDIO ANAKUJA KUFUNIKA OMG..YEYE ANAENDA DEEP MPAKA KUKUZA KOPE NA NYUSI...DAH EM NJOO #AKCLASSIC HARAKA UNAPITWA UJUE!!

NANI ASIYEJUA BALAA LA CARROT KWENYE SUALA ZIMA LA NGOZI!!WENGI HUWA TUNATUMIA VITU NUSU NUSU...YAANI UNAKUTA UNA LOTION TU AMA SABUNI TU!!NI SAWA ILA KAMA UNATAKA KUPATA MATOKEO MAZURI SHURTI UPATE SET!!NDIO MAANA UNAKUTA MTU ANANG'AA SAWA LAKINI NGOZI NGUMUUUU!!UKIIPIGA MBAO RANGI MBAO BILA KUANZA NA MSASA UNATEGEMEA NINI?NADHANI IMEELEWEKA UMUHIMU WA KUWA NA SABUNI,SERUM,CREME NA LOTION!!HATA RANGI YA CHUNGWA HIYO!

MAMA MIO HII NI KIBOKO YA MICHIRIZI!HASA HASA  MICHIRIZI AMBAYO HAIJAKAA MUDA MREFU NA HASA ILE YA UZAZI....IMETHIBIKA KUFANYA KAZI KWA KIWANGO CHA HALI YA JUU..WATU WENGI WALIOTUMIA MAMA MIO WAMEZIKUBALI.. ZITUMIE KWA PAMOJA AMA KWA HAKIKA HUTOJUTA!! ..NAJUA MPO WENGI MLIOKATA TAMAA LAKINI KWA HII ITARUDISHA SMILE LENU!!NJOO DUKANI UPATE VITU TOFAUTI UTAKUBALI!!

KUNA WAKATI UNATUMIA CREME INAFANYA VIZURI LAKINI KUNA SEHEMU ZINAGOMA,MARA NGOZI INAUNGUA,MARA MIWANI,MARA SHINGO NYEUSI,MARA KWAPA JEUSI WALE MLIOTOKA KUJIFUNGUA MNANIELEWA ZAIDI KUHUSU HII!!LAKINI HATA SIE WENGINE...SASA HII IMEKUJA KUFUTA VILIO VYETU!!HII KITU IKO SET KAMILI UKIJA DUKANI TUTAKUELEZEA JINSI GANI UTAFANYA!!

Saturday, September 13, 2014

.... Rosewater and Glycerin@AK Cosmetics.....

Heritage Products Rosewater and Glycerin


Essential Oils
 • Vor-Mag Water for Higher Vibrations
 • Natural Vegetable Glycerin • Here is a flower water formula with a twist: an old fashioned skin lotion and protectant made only from pure rosewater and natural vegetable glycerin.
  Our aromatherapy waters are now made with Vor-Mag water which is water that has been vortexed and magnetized to raise the energy to a higher vibration that we believe to be most beneficial.

  .....Ultimate Antioxidant Creme....kwa wale wanaojali ngozi zao...must have!!!!


  A blend of Shea Butter, Coconut Oil, Argan Oil, Baobab Oil, Cocoa Butter and Red Palm Oil.


  Butters and oil are thoroughly blended to produce a super creamy product that works synergistically utilizing the
 • beneficial properties of both the oils and butters.100% Pure & Natural Shea Butter is an all-natural vitamin A cream. Shea Butter has been shown to be a superb moisturizer with exceptional healing properties for the skin.
 • Argan oil is most commonly used as a skin moisturizer to hydrate and soften skin. With its high vitamin E and fatty acid content, argan oil is the ideal product to give skin a natural boost. It absorbs easily and is non-greasy and non-irritating, which makes it a great natural moisturizer. Not only does argan oil act as an effective moisturizer, it can also give skin a youthful glow and reduce the visibility of wrinkles. Its anti-oxidant effect makes argan oil the ideal anti-aging product. It restores elasticity and leaves skin feeling plumper and softer.
  Baobad Oil(mafuta ya ubuyu) Rich in vitamins A, E, and F and sterols, baobab oil absorbs quickly and is a wonderful oil to use in dry skin treatments.
  Coconut oil is very good at hydrating skin. It sinks in deep, conditions, moisturizes, and softens skin.
  Cocoa Butter has been called the ultimate moisturizer, and has been used to keep skin soft and supple for centuries. It is one of the most stable, highly concentrated natural fats known, and melts at body temperature so that it is readily absorbed into the skin.
  Palm oil contains the hard to find toctrienols, which are members of the vitamin E family. The common form of vitamin E, tocopherol, has long been used to treat many skin ailments and is found in many anti-aging products. Vitamin E is a strong antioxidant that helps the skin to fight free radicals that damage the skin and cause fine lines and wrinkles

 • Saturday, September 6, 2014

  WALE NDUGU ZANGU WA NGOZI ZA MAFUTA HASA USONI..SIWAACHI!

   NANI ASIYEJUA MAAJABU YA TEE TREE KWENYE CHUNUSI??LEO NIMEAMUA KUWALETEA BIDHAA ZA THE BODYSHOP ZENYEE HII TEA TREE KUJA KUMALIZA TATIZO LA CHUNUSI!!!
  WENGI MNAIFAHAMU HII BIDHAA MAANA NI YA LONG TYIME ...SEMA IMACHAKACHULIWA SANA SASA NIMEWALETEA KITU ORIGINAL!!KAMA INAVOONEKANA KUNA MOISTURIZERMOISTURIZER NA KITU CHA MABAKA!!

  >>THE MUST HAVE FOUNDATION ARE HERE...

  kama kuna vitu lazima uwe navyo kwenye handbag yako ya makeup basi ni hii MARY KAY FOUNDATION!! yaani hii unapoipaka kwanza inakaa vizuri alafu inadumu mpk masaa 24!!hatareee

  Kila mtu anajua MAYBELLINE powder lakini je foundation yake mnaijua?basi leo naileta kwenu faundation yao ni matata sana!!

  Monday, September 1, 2014

  NEW ARRIVALS @AKCLASSIC.....KARIBUNI SANA

  MADINI HAYOOOO YANAPAKULIWAAA...NAMWONA EXPRESS GLOW AKA BABA LAO KWA MBALIIIIIII!!EHEHEHEEH

  JAMANI HII KITU NI HATARE!!INAITWA PROSHAPE...WENGI MNAIFAHAMU NI NOUMA SANA KWENYE KUPUNGUZA UZITO!!NI DOZI YA SIKU 30...MASHARTI YAKE NA MAELEZO NISHAISEMEA SANA!!KWA UFUPI TU NI KWAMBA UNAPOITUMIA INAKUPUNGUZIA APPETITE..UNAJISKIA HUNA NJAA!WEE CHA KUFANYA IPE MAZOEZI IPE DIET..KUNYWA MAJI MENGIII...HICHO KITAMBI KWISHA HABARE YAKE!!

  BAADA YA KUKOSEKANA KWA MUDA MREFU...SASA INAPATIKANA #AKCLASSIC, SASA SKIA HII KITU HASA WALE NDUGU ZANGU WA NGOZI ZA MAFUTA HII INAWAHUSU NA MTAIPENDAJE..REVIEWS ZAQKE WENGI WALIOUTUMIA WALI WANAIJUA VZR NA KILA SIKU WANAIULIZIA!!!EM IGUSE UNASE

  MOST WANTED HUYOOO!!BAADA YA KUHADIMIKA SASA ZIPO ZA KUTOSHA...UZURI WAKE ULIOTUKUKA NI PALE UNAPOIMIX NA ...... UKAMALIZIA NA  ......!!! NIKUMBUSHE KUJAZA IZI NAFASI ZILIACHWA WAZI UKIJA DUKANI N PLZ !!

  SAIVI KILA MTU ANAIJUA QUEEN ELIZABETH MPK NAOGOPA KUIWEKA HUMU NACHOTAKA KUSEMA SIO KUIPONDA ILAKUSEMA HIVI  INANOGA SANA UKIIJAZIA NA MAFUTA YA DEZAINI HII!!UNATAKA KUJUA KWA NINI?...NARUDI

  HAMUNA NARUDIA TENA HAMUNA MUTU HATA MMOJA ALIYETUMIA HAYA MAFUTA AKAJA ANALALAMIKA!!YAAANI KILA ANAYETUMIA ANARUDI KUONGEZA!!! HAYA WALE WA KIPILIPILI,NYWELE KUKATIKA,MBA SIJUI NINI NA NINI KUHUSU NYWELE.. HII INAWAHUSU ASEEE!!!WALE NDUGU ZANGU MLIOTOKA KUJIFUNGUA SI UNAJUA UNYWELE UNAKUWAGA UNAZINGUA FLANI BASI SAWA..SOLUTION HIII HAPA!!

  YAANI MADINI YA SAFARI HII HATARE TUPU!! HUYU SASA MWINGINE KWA USO KWA NDUGU ZANGU TENA WA USO MAFUTA...CREME YA MAKARI,SABUNI NA SERUM YAANI KAMA MZIGI ULIVYO HAPO MZIMA MZIMA UNAWAHUSU SANA!!UNAKUWAJE?? UNAVUTIA UNATAMANISHA EHEHEHEHEEE!!!

  HAYA SASA IMEFIKA WALE MLIOKUWA MMETOA ODA MUWAHI MAANA MPK SASA ZIMEBAKI CHACHE SANA!!INAITWA SUNNY ISLE JAMAICAN BLACK CASTROL OIL...ASEE HAYA MAFUTA NIMEPITIA REVIEWS ZAKE NI MAZURI SANA KWA UNYWELE!!YAANI SAFARI HII MTU UKILALAMIKA SIJUI NYWELE ZANGU HAZIOTI,HAZIJAI,ZINA MBU,..N.K LAZIMA UTAKUWA NA YAKO .HII JBCO UNAAMBIWA INASAIDIA MPK KUKUZA KOPE NA NYUSI CHEZEIYAAA!!SWALI NI NANI ZAIDI???ENHEHEHE

  MARY KAY FOUNDATION NDO HABARE YA MJINI...HAINA MAKUU UNAPAKA ASBH MPK JIONI VILE VILE!100% NATURAL. WALE WA NGOZI ZA MAFUTA EM MJE HUKU...

  KUPAUKA NA KUFUBAA MWISHO KIBAHAAA!! MUJINI DASLAM KUNA #AKCLASSIC!!