MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Friday, September 19, 2014

KAMA UNA NGOZI YA MAFUTA USONI!!ZINGATIA HAYA

MARA NYINGI KUTOTUMIA VITU SAHIHI HUSABABISHA TATIZO LA CHUNUSI LIWE SERIOUS ZAIDI!!POWDER NYINGI TUNAZOPAKA ZINA KEMIKALI AMBAZO HUFUNGA PORES NA KUSABABISHA NGOZI KUTOPUMUA MATOKEO YAKE..TATIZO JUU YA TATIZO!!NINI CHA KUFANYA SASA?? PENDELEA SANA KUTUMIA POWDER ZA MINERAL NA FOUNDATION ZILIZOTENGENEZWA SPECIAL KWA AJILI YA NGOZI ZA MAFUTA(HIZI HUWA NA MANENO KABISA NO MORE BLEMISH<OIL FREE N.K!!)

No comments:

Post a Comment