![]() |
| kama kuna vitu lazima uwe navyo kwenye handbag yako ya makeup basi ni hii MARY KAY FOUNDATION!! yaani hii unapoipaka kwanza inakaa vizuri alafu inadumu mpk masaa 24!!hatareee |
![]() |
| Kila mtu anajua MAYBELLINE powder lakini je foundation yake mnaijua?basi leo naileta kwenu faundation yao ni matata sana!! |


No comments:
Post a Comment