MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Wednesday, March 26, 2014

>>>MADINI MAPYA NDANI YA NYUMBA!! #AKCLASSIC

KINAJULIKANA KAMA KIPENZI CHA WENGI 55H+ HIKI HAPA,SET NZIMA SASA IMEWASILI..KWA MAHITAJI YAKO YA NGOZI SOFTIIIIIIIIIIIIII BASI HAPA NDO UMEFIKAAA!!

BAADA YA MAOMBI MENGI KUTUA MEZANI KUWA WENGI MNATAKA NA SHAMPOOO YAKE HAYA SASA WALE #TEAMNATURALHAIR KITU CHA SHEA MOISTURE KIMETUA MPAKA NA SHAMPOOO!!

CHIPS KUKU ZINAHARIBU SANA ILA TUTAKURUDISHA KULEEE KANA KWAMBA KITAMBO HUNA!! STRESS ZA NINI?

KATIYA SET NILIZO NAZO ZA KUNG"AZA NGOZI YAKO BILA KUIBADILI RANGI LKN IKABAKI NA MVUTO WAKE HUKU IKIKUPA CHOCOLATE YELLOW COLOUR BASI NI HII YAANI IKO VIZURI MNO MNO MNOOOOOO!!AYA SASA SET NZIMA HIYO HAPO USHINDWE WEWE

BAADA YA KUONA MAAJABU YA LOTION YAKE WATU WENGI WAKAOMBA WAPATE SET NZIMA...NAMIE BILA HAJIZI NIMEISHUSHA!!CHEZEIYA #AKCLASSIC WEYE!!satisfication guarantee

NA INGINE HIYO HAPO!!IKIDUNDAAA RUDIII NTAKURUDISHIA ELA YAKO...NI SHIDAAAAA

WALE WALIOKATA TAMAA NA NGOZI ZAO ZA MAFUTA YALIOPITILIZA KWA USONI...CHUNUSI ,HARARA,MABAKA KILA IITWAPO LEO..EM TUONANE NIWAPE SULUHUUUU!!

Thursday, March 13, 2014

KAMA HUNA HII KWENYE DRESSING TABLE CHONDE CHONDE ITAFUTE!!

INAITWA SECRET DEODRANT YAANI ME NAOMBA TU UITAFUTE UITUMIE!!ALAFU PLz USINISHUKURU NDO KAZI YANGU ATIII!!bye

>>>SAY NO MANYAMA UZEMBE!! KIBOKO YA KUPUNGUA HII HAPA!!

KIBOKO YA MANYAMA UZEMBE HII HAPA!!UKIITENDEA HAKI INAKUTENDEA MAAJABU WATU WANAKUSHANGAAA!! SIKU 30 TU

Tuesday, March 11, 2014

TOKA ENZI LAKINI IZO BADO INATIKISA!! #PURESEDUCTION

NI MOJAWAPO YA MAJINA YANAYOWINDWA SANA...IMEKUWEPO TOKA ENZI IZO NA INAPENDWA SANA!!JE ULISHAIJARIBU?

>>KWAPA JEUSI LISIKUPE STRESS NJOO #AKCLASSICOSMETICS

HII NI FEEDBACK KUTOKA KWA MTEJA WANGU,YEYE AMETUMIA KAMA VIWILI IVI NDIO VIMEMFIKISHA HAPOO!!AYA SASA KAMA NA WEWE UNA WEUSI NJOO UTUONE...!!!

Sunday, March 9, 2014

MAPIGO HAYA YANAPATIKANA #AKCLASSIC TU...

KITU KIPYA KABISA MJINI HIKI KINAITWA SKINLIGHT!! KAMA AMBAVYO MMEONA MAAJABU YA COCOA SASA HII IMETIWA NAKSI NAKSI ILI KUKUPA MNG'AO UNAOUTAFUTAAA!!!gusa unase

KIBOKO YA KUOGA!!!WARNING: KAMA UNA HARAKA UNASHAURIWA KUTOTUMIA SHAOWEGEL HII MAANA LAZIMA UTACHELEWA!!

MALI MUPYAAA ZINAENDELEEEAAAA!!....

Bikini zone medicated gel is specifically formulated to provide fast relief from bump, irritation and pain that occurs in the sensitive bakini area after shaving, waxing or depilating. Available #akclassiccosmetics


THIS IS WHAT BLACKOPAL FOUNDATION CAN DO!!!!

THE MOST WANTED PARIS AMOUR SET  IS AVAILABLE NOW!!1

Sunday, March 2, 2014

KIMYA KINGI KINA MSHINDO...MALI MPYAAA IMEWASILIII #AKCLASSIC

MADINI MAPYA YAKISHUSHWA......WALE WENYE ODA ZENU MUWAHIIII

JE UNAFAHAMU MAAJABU YA CARROT INAPOTUMIWA MWILINI?LOTION ZOTE HIZI TATU NI ZA CARROT!!CARRPT INAFANYA TONE YAKO IONEKANE,MNG'AO ASILIA WA NGOZI YAKO HATA KAMA UMEFUBAA KIASI GANI KWA KAROTI IZI UTARUDI NDUGU YANGU!!KAMA UNABISHA JARIBUUUU!! #MAKARI #H26 #CARROTGLOW

WALE WA MAKE UP MAMBO HAYO HAPOOO IZI NDO THE BEST FOUNDATION AISEEE EM GOOGLE HAPO #MARYKAY #BLACKOPAL

UKIAMUA KUFUBAA FUBAA TU ILA USIJE UKASEMA OOOH MIE NIMETUMIA KILA KITU LAKINI WAPI!!HAMNA KITU KAMA HICHO!!VITU HIVI VYA UKWELI SASA WEWE TUMIA VYA BEI RAHISI UTAISHIA KUUNGUA TU NA BAADA YA MUDA UNAKUWA BORA HATA ULIVYOKUWA KABLA HUJAANZA KUTUMIA!!VITU VIMEPIMWA HIVI KILA KITU KIMEBALANSIWA KIUTAALAM!!MAMBO IKO HUKUUU! ! #TEAMAKCLASSIC

KAMA RANGI YAKO YA ASILI IMEPOTEA NA UNATAKA KUIRUDISHA PLUS ULE UCHOCOLATE FLANI BASI NAKUWEKA UMOO FULL SET!!USHINDWE WEWE TU!!

MAMBO YA KUNUKIA KUTOKA VICTORIA SECRETS NA BBW HAPA NDO MAKAO MAKUUU!!

KAMA MAZOEZI UMEKUWA MVIVU,DIET NAYO MGOGORO BASI HATA HII ISIKUPITE BISHOSTI!! KITAMBI NOOOMAAA!!!

NGUVU YA AJABU YA SCARZONE...JARIBU UONE...

AYA SASA #TEAMFLATSCREEN NDO MPANGOSASA,TV ZA MACHOGO HAZINA SOKO!! bye