MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Friday, October 31, 2014

MABAKA MEUSI YAKO YALETE #AKCLASSIC

UKIWA#AKCLASSIC TUTAKUPA BIDHAA KWA KUZINGATIA TATIZO LAKO!!HII KIBOKO YA YALE MAKOVU SUGU YANAYOACHWA NA CHUNUSI!!AYA MUKUYE MUKUYE

Thursday, October 30, 2014

KAMA UNASWEAT SANA,HII INAKUHUSU!!

WATAALAM WA MAMBO WANASEMA JASHO LINA UMUHIMU WAKO LINAPOTOKA KUMWILI!!LAKINI KUNA ILE HALI YA KUTOKA JASHO KULIKO PITILIZA YAANI KIDOGO TU UMELOWA KAMA UMECHEZEA KOKI YAKHEE!!SASA TUMEKUJA NA HII #ABSOLUTORR HII ITAKUKAUSHA JASHO NA KUKUFANYA UWE MKAVU PASIPO KUWA MADHARA YAANI RAHA MUSTAREHE!!DEODRANT HII UNATUMIA MARA 2 KWA WEEK TENA USIKU!! KARIBU #AKC;ASSIC KINONDONI KWA MANYANYA AU SINZA KUMEKUCHA..0753482909..UNAWEZA PIA KULETEWA ULIPO!TUPIGIE

JAMANI EHEE WEUSI WA KWAPANI SASA BASIII!!

UNAJUA UNAPOKUWA NA KIKWAPA  CHEUSI CONFIDENCE HUSHUKA KABISA HATA UKIWA FARAGHA!!MATOKEO YAKE MTOTO WA WATU FULL KUSTRESIKA!!SASA #AKCLASSIC WAMELIONA ILO NA SASA WAMEKULETEA BIDHAA INAKWENDA KWA JINA #EXTRACT DEODRANT YAANI HII NI NOUMA!!UTAKUBALI MWENYEWE NDANI YA MUDA MCHACHE KWAPA LIMEIMPROVE VIBAYA!!KARIBUNI

ILE HALI UNAPOICHUKIA MIGUU YAKO!!KISA HARUFU

UTAMU NI PALE UNAPOOGOPA KUVAA KIATU FLANI KWA SABABU TU UKIKIVAA JASHO LINAKUTOKA SANA MIGUU NA KUABABISHA HARUFU KALI KIDOGO WAKATI WA KUKIVUA!!SASA #AKCLASSIC WAMELIONA ILO NA SASA JIACHIE DADA/KAKA KWANI TUNA BIDHAA HIYO HAPO #TOSIKUIVA UNAPANGUSA TU MIGUU YAKO MARA MOJA KWA WEEK MAMBO YANAKUWA POA KABISA..UTASKIA HARUFU HATA!!

ILE HALI BAADA YA KUTUMIA VITU VIKALI!!

HIZI HALI PICHA HULETWA NA SABABU TOFAUTI KUNA WALE WA ILE MIKOROGO MIKALI,KUNA HALI YA KUJIFUNGUA LAKINI PIA CHUNUSI SUGU...HALI ZOTE HUFANYA NGOZI KUHARIBIKA KUONEKANA KAMA IMEUNGUA KULETA MAKUNYANZI N.K!AK CLASSIC SAFARI HII TUMEKUJA NA BIDHAA KWA AJILI YA KUTATUA HALI IZO..BIDHAA HIZI NI ORGANIC 100% KUTOKA SWEDEN..TUNA ANTIAGING CREME,MUSK,SERUM NA CLEANSERS MAHUSUSI KWA AJILI YA HILO TATIZO!!MAMBO YAKO #AKCLASSIC

Sunday, October 26, 2014

TANGAZO TANGAZO TANGAZO....

NAJUA WENGI MNATUMIA HAYA MAFUTA SASA MAANA YAMEKUWA GUMZO YA JIJI,KILA KONA UKIPITA YAPO..SAFIIII,ILA SASA NIMEKUWA NIKIPOKEA MALALAMIKO MENGI KWA BAADHI YA WATU KUWA HAWAONI MATOKEO YALE AMBAYO WAMEKUWA WAKIYASKIA KWA WATU.... SITAKI KUSEMA ULINUNUA AU UNATUMIA FEKI HAPANA ILA NACHOTAKA KUWAAMBIA NI HIVI  KAMA MAFUTA YAKO HAYAJAKUPATIA MATOKEO NA BADO UNAYO NJOO NAYO #AKCLASSIC KINONDONI ME NTAFANYA KAZI MBILI: MOJA KUYACHEKI KAMA NI YENYEWE NA  PILI NI KUKUWEKEA SERUM ILI UWONE MATOKEO AMBAYO WENGINE WANAONA!! WALE #TEAMAKCLASSIC WANAJUA VILE SIE HUFANYAGA!! KAMA HUJAANZA HUJACHELEWA NJOO UJIPATIE #QUEENELIZABETH MATATA @AKCLASSIC NGOZI NYORORO,LAINIII NA INAYONG'ARA

KIBOKO YA MANYAMA UZEMBE ISIYO NA MADHARA HII HAPA!!

NAJUA WENGI TUNATAFUTA SULUHISHO LA KUPUNGUA LAKINI HATUJAPATA  KITU SAHIHI,VINGI TUNAVYOKUTATANA NAVYO VINAKUWA NA MADHARA KWAHY UNAKUTA TUNAOGOPA!! SASA HII HAPA #PROSHAPE NI 100% ORGANIC KWAHY HAINA MADHARA KABISA!! NI SUPPLIMENTS AMBAZO UNAMEZA VITATU KWA SIKU KWA MFULULIZO WA SIKU30(MWEZI).MASHARTI YAKE NI SIMPO TU UNATAKIWA UZINGATIE MAZOEZI,DIETI NA KUNYWA MAJI MENGI...ASEE UKIFZINGATIA HIVI VITU NA UKAJIZUIA KULA JUNKS FOOD ASEE MATOKEO UTAYAPENDA MWENYEWE!!

KIBOKO YA KUOVASWEAT HII HAPA... NA HUU NDIO USHUHUDA!!

KAMA NA WEWE UNA TATIZO LA KUSWEAT KULIKO PITILIZA,NA UNATAFUTA SULUHISHO BASI #AKCLASSIC WANA KITU CHA UKWELI KUKUMALIZIA HIZI STRESS..KITU KINAITWA #ABSOLUTORR NI DEODRANT UNAPAKA MARA MBILI 2 KWA WEEK TENA USIKU ISHU ZA KUSWEAT SWEAT NDO BASI TENA UTAKUWA UNAZISKIA KWA WENZIO SIO WEWE TENA!! HUYO HAPO NI MTEJA WETU ALIYEITUMIA NA HAYO NDO MANENO YAKE..UNASUBIRI NINI?

JE UNAPENDA KUNG'ARA BILA KUBADILIKA RANGI YAKO..ILE CHOCOLATE FLANI HIVI??

HAWA JAMAA WANAKWENDA KWA JINA ALA HYPECREME UKIWAPATIA MIX YAO HAWA ASEE HATARE YAAAMI UNGA'AA VIZURI KABISA BILA KUBADILIKA RANGI..YAANI UKISKIA ILE CHOCOLATE NDIOO HII

KUNA HAWA WENGINE SASA 55H+ HII NI KIBOKO KWA KUTENGENEZA RANGI NYORORO CARROT NA YENYE MVUTO YAANI UKIIPATIA HII SET KAMA ILIVYO WALAHI UTOJUTAA!! SERUM UNAMIX KWENYE LOTION KIDOGO SABUNI KWA AJILI YA KUANDAA NGOZI..SERUM INAYOBAKI INAFANYA KAZI ZINGINE...ZIPIII?NDO UJEEE @AKCLASSIC

Thursday, October 9, 2014

QUALITY SYNTHETIC AVAILABLE @AKCLASSIC

QUALITY SYNTHETIC HAIR,ZIKIWA NA UREFU TOFAUTI KUANZIA INCH 12,14,16 & 18 NA UNAPATA FREE BANG NA CLOSURE ZIKIWA PIECE TANO AMBAZO ZINATOSHA KABISAAA ALAFU KWA STYLE ZA KILA AINA UTAKAZO!!!ZIPOOO #AKCLASSIC

WHAT SHEA MOISTURE & CANTU CAN DO....

HII NDO SHUGHULI INAYOFANYWA NA HAWA JAMAA WAWILI SHEA MOISTURE NA CANTU!!HUYU WA PEMBENI KULIA KATUMIA SHEA ILA YEYE ALIONGEZA DAWA,MAMBO NI MSWANO!! #TEAMNATURAL HAIR MUPOOOO?

PERUVIAN HAIR AVAILABLE @AKCLASSIC COSMETICS

KITU CHA PERUVIAN HIKO100% VIRGIN REMI HAIR , ZIKO PIECE 7 AFU UNAPAKA CLOSURE FREE KABISAA!!MUNGU AKUPE NINI?TEEEH

WEUSI WA MAPAJANI USIKUPE STRESS... TUTADEAL NAO!!!

KUNA ILE HALI UKIWA UNATEMBEA MAPAJA YAKIGUSANA YANATENGENEZA FICTION AMBAYO HUSABABISHA WEUSI FLANI HIVI MAENEO HAYO YA MAPAJA!!SASA HII NDIO KIBOKO YA KUDEAL NA WEUSI WA NAMNA HIYOOO!!INAITWA EXPERT SCAR SERUM

Wednesday, October 8, 2014

TEATREE PRODUCTS AVAILABLE @AKCLASSICOSMETICS

JE WEWE NI MUHANGA WA CHUNUSI NA UMETUMIA KILA K2 KIMEDUNDA?SWALI LANGU MOJA TU?UMETUMIA TEATREE PRODUCTS?????

KAZI YANGU KUWATAFUNIA...!!!! SASA MSISHINDWE BASI HATA KUMEZA

ME SILALI UJUE KWA JILI YENU!!SHIDA YANGU MUPENDEZE ILA TTZ WENGI MNATAKA SHORT CUT AFU MNALALAMIKA!!JAMANI ENHEEE SHOTCUT MARA NYINGI ZINAPONZA...SASA WEWE UWEKE RAMI JUU YA NYASI AFU UTEGEMEE BARABARA NZURI?AHA WAPI!! NDIO HICHO MNAFANYA KWA IZO NGOZI YAANI UKISKIA MAFUTA WEE UNAPAKA AFU HATA HUIANDAI NGOZI,YAANI HUTAPATA MATOKEO ASEE...NGOZI KAMA ILIVYO WATENGENEZA BARABARA LAZIMA WAKWANGUE MANYASI WAWEKE UDONGO VZR AFU WANAMALIZIA NA KUMWAGA LAMI...HAPO KITU KITAKAA SAWA VIVYO HIVYO NGOZI PATA SABUNI MURUA YA KUEXFOLAITE NGOZI ILI HATA UKIJA NA LOTION/CREME INAKUWA NGOZI ISHAANDALIWA!!MAMBO KAMA UNAVYOYAONA HAPO JUU KUNA IYO KILA MTU ANAIJUA INAWEKWA SERUM AFU KUNA MAFUTA YA KUWEKA NGOZI MURUA PLUS SABUNI...UNAKUWAJE?TUMIA UWONE!!!!

KIBOKO YA KUSWEAT KULIKOPITILIZA HII HAPA!! #ABSOLUTTORR

PATA PICHA HILI JUA LA BONGO ALAFU LILE JOTO LAKE NDO UKO BARABARANI...YAANI NI KUSWEAT KAMA UMELOGWA...UKIACHA JUA KUNA WAKE NDUGU ZANGU NA MIE AMBAO SIE HATA LISIWE JUA KUTOKWA JASHO NI ASILI YETU YAANI KIDOGO TU LAKINI UNAVYOTOKA JASHO KAMA UMECHEZEA KOKI YAAANI!! BASI WAPENZI MSIPATE TENA STRESS NIMEWALETEA KITU KIBOKO YA KUZUIA ILO JASHO!!UNAPAKA MARA MBILI TU TENA USIKU KWA WEEK!!YAANI UTASKIA HIYO HABAREEE!!INAITWA ABSOLUTTORR...NDIO HII YA KWANZA KUTOKA KWETU #AKCLASSIC CHEZEIYAAA

EXTRACT WHITENING DEODORANT SASA ZIMEWASILI @AKCLASSICOSMETICS

JAMANI LILE DINI LILOKUWA LIMEADIMIKA SASA LIMEFIKA!!WALE WA ODA ZENU PLZ MNITAFUTE MAPEMA LAWAMA SITAKI MAANA MANGI NIKISHAONA CHAPAA,NGASHTUKA!!ENHEE MSIOIJUA HII INAITWA EXTRACT WHITENING DEODRANT KIBOKO YA KWAPA JEUSI!! KAMA UMESHAJARIBU VITU VINGI VIKAGOMA BASI HII KIGOMA MWISHO WA RELI!!BALAAA

THE WAIST TRAINER CORSET AVAILABLE @AKCLASSIC


ZILE CORSET MLIZOKUWA MKIZIULIZIA KWA HAMUUUU SASA ZIMEWASILI!! #WAIST TRAINING CORSET HII MANENO JAMANI HATAREE UNAIVAA UKIWA UNAENDA MAZOEZI UNAKAMUKA HATAREEEEE!!YAAANI LAZIMA KIELEWEKE?NAJUA WENGI MNBAKI KUULIZA VIPI KUHUSU OFISINI?EM MUJE BASIIII MUWONE MADINI YAMETULIAAAAA!!

QUEEN ELIZABETH COCOA BUTTER AVAILABLE @30,000/=

JAMANI ENHEE HAYA SASA MAFUTA YENU NIMEMAUA KILA MTU APATE SASA!!!BEII CHEEE KABISAA!!!

Wednesday, October 1, 2014

.....6 Nutrients that are Good for Hair Growth AND Body Health.....

                                                 
Biotin
When most people first look for a vitamin or supplement to work on hair growth from the “inside”, they are pointed in the direction of Biotin. Biotin aka Vitamin H supports the growth and strengthening of healthy hair and nails. It is also beneficial in metabolizing fats and amino acids (energy production), and can help stabilize blood sugar levels. So if you’re feeling sluggish, consider Biotin to give your hair and your metabolism a boost!
MSM aka Methylsulfonylmethane
When you visit a health store like The Vitamin Shoppe, you’ll find MSM in the section for supplements related to joint health. We’ll learn why in a second. As far as hair is concerned, MSM has shown some promising effects on hair growth. The life cycle of your hair consists of 3 phases: growing, resting, and shedding. Not only is sulfur a building block for your hair, it also has been shown to lengthen the growing phase of your hair. A longer growing phase (before resting and shedding) means longer hair. Now back to the first point. MSM is often found in the joint health section, generally alongside Glucosamine and Chondroitin. It provides the essential sulfur foundation that the body needs to form proteins and connective tissue. It also helps synthesize and activates vitamins, and maintain the immune system. MSM is helpful in relieving swelling, inflammation and pain. So think of all the conditions that are a result of inflammation in the body. Yeah. MSM has the potential to solve that (it has done wonders for my joints and allergies). Note: I am not a licensed medical professional, and do not take my advice as a prescription for MSM. As with any supplement, check with your healthcare provider first.
H2O
Everyone knows, or at least I think everyone knows, that our bodies are comprised of over 70% water. Water is simply put, essential to the functioning of our bodies. I started out drinking more water when I learned about its hydrating effects on the hair (our hair is relatively 25% water). In the process of increasing my water consumption, I have not only slashed the sugary calories I’d normally chug (which totally helps with this whole getting healthy thing), my skin is clearer, and it supports my insides running like clockwork (tmi? perhaps). If you’re not a fan of plain ol’ water, try tossing in a few slices of citrus like lemon, lime, or orange. It makes for a great daytime refreshing beverage. Alternatively, have a cup of tea — just don’t add sugar and cream and whatnot…that totally defeats the purpose. Right now I’m sipping on a mug of Tazo “Zen” spearmint lemongrass green tea with a wedge of lemon.
Coconut Oil
Coconut oil is hands down one of the best moisturizing and nourishing oils out there. It is my personal favorite, and an undeniable staple (although Vatika Oil is clamoring for the top spot something fierce!)… In addition to being one of the few oils that is able to penetrate the hair follicle and actually moisturize, it is versatile enough to use on your skin, and in your food! Coconut oil as a health supplement is believed to support healthy cholesterol levels, weight loss, promote immune system and metabolism functions, and more. I haven’t exactly made the switch to eating it but…if I cook with it, I will let ya’ll know. I do however, use it on my face every day. I also did a small experiment with my elbows (rough skin + psoriasis), and they are ridiculously smooth — after about 2 weeks of use!
Aloe Vera
I’m still trying to wrap my brain around this one. But in addition to being a moisturizing and sealing agent in hair, Aloe Vera promotes internal health and digestion (and some claim it supports weight loss), and has external healing properties. It’s no wonder most skin rejuvenating and healing products include Aloe Vera in their ingredient list. It is an anti-inflammatory (great for cuts, burns, psoriasis, eczema and other skin conditions), full of minerals, can help fight dandruff and dry scalp, and even helps fight acne and blemishes. Are you really waiting for another reason to grab some Aloe Vera?
Castor Oil
Castor oil isn’t just great for sealing moisture into hair, it’s also great for treating a variety of skin conditions, reduce pain, stimulating the immune system and as a natural laxative.

DARASA LA BURE KWA VIGOGO WA NYWELE MJINI> T444Z NA JAMAICAN BLACK CASTRO OIL!!

KWA WALE WAPENZI WA NATURAL HAIR!LEO NAOMBA NITOE DARASA KIDOGO KUHUSU HII MIAROBAINI MIWILI YA NYWELE AMBAYO IMEKUWA GUMZO MUJINI!!NIANZE NA T444Z HII NI STAND ALONE INAFANYA VZR IKIWA PEKE AKE,PAKA KWENYE NGOZI SUGUA DK 3-5!PAKA ENEO HUSIKA KUPATA MATOKEO MAZURI ZAIDI NA YA HARAKA,ZUIA KUOSHA NYWELE MARA KWA MARA KWANI KADRI UNAVOZIACHA MUDA BILA KUOSHA NDIO MATOKEO YANAVYOKUWA MAZURI ZAIDI.KUHUSU #JBCO HII NI NZITO SANA HALAFU INA HARUFU KALI KDG HIVYO UNASHAURIWA KUIMIX NA EITHER MAFUTA YA NAZI AU OLIVE OIL,INGAWA KUNA STYLE NYINGI ZA KUITUMIA HII NJIA NZURI UNASHAURIWA KUIPAKA KWENYE NGOZI MOJA KWA MOJA THEN SUGUA NI VZR UKIPATA KITU KAMA MSWAKI HIVI ALAFU VAA CAP YAKO YA NYWELE ILE PLASTIC ALAFU ZIWACHE MPK KESHO YAKE ASUBUHI,KISHA OSHA!!KAMA UNASUKA UNAWEZA FANYA ZOEZI HILI MPK MARA 3 KWA WEEK!!UNASHAURIWA KUIPAKA WAKATI NYWELE ZIKIWA KAVU ALAFU USIIPAKE WAKATI UNATOKA KUOSHA KWANI NYWELE ZITASHRINK!!!

CETAPHIL NOW AVAILABLE @AKCLASSICOSMETICS

NI MOJA KATI YA PRODUCT NZURI SANA KUMWILI!!KUANZIA CLEANSER YAKE LOTION N.K!!WALIOJARIBU WANAIJUA!!  #TEAMNATURAL SKIN

NARCISO RODRIGUEZ THE BEST OF THE BEST!!

 
KAMA KUNA PAFYUM KALI KWA WATOTO WA KIKE BASI HIKI KITU BALAAAAA!!NARUDIA BALAAA!!

>>>ULE WEUSI WA MIKONONI NA MIGUUNI VIDOLENI(KNUCKLES) KIBOKO YAKE HII!!

KITU KINAFANYA KAZI HATAREE!!HAYA SASA MKUYE #AKCLASSIC MPATE MAELEZO KIUNDANI