MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Tuesday, February 23, 2016

#PALMERS SKIN THERAPY OIL FOR FACIAL AND BODY... We got it Too

Umegundua Tofauti?

Je izi ‪#‎skintherapy‬ zimekuwa zikikuchanganya??
Ipi huwa unatumia zaidi?
Ok ni hivi;
Kama ulikuwa unatumia hii skin therapy oil kubwa kwa usoni either kwa kujua ama kutokujua basi ulikuwa unakosea!
Sasa kuna FACIAl skin therapy
Hii ni mahsusi kwa ajili
Ya
✔mikunjo ya usoni
✔mabaka
✔rangi mbili

🔓 Recommended for all skin types.
Pia inapendeza na inafaa sana ukiwa unazitumia in collaboration na kitu chako flani amazing... matokeo yake hutojutraa

LOOKING THE BEST LIVING CONDITIONER FOR YOUR HAIR?

Cantu shea butter leave in conditioner repair creme...

✔mends hair breakage
✔repairs split ends and reduce frizz
✔protect hair from heat damage
✔Hydrate and moisturizes with shea butter and natural oils.

🔓 Recommended for; Relaxed, natural, texturized, colored or permed hair.
Available
@ak_classic_cosmetics
‪#‎Mlimanicity‬

Thursday, February 4, 2016

TUMEKUJA TENA KUWASHIKA.... SAFARI HII NI SPECIAL KWA AJILI YAKO!!

MADINI MAPYAAAA YAMETUA #AKCLASSIC KUANZIA UNYWELENI HADI UNYAYONI USHINDWE WEWE TU!

AJAJAJAJA T444Z KAPATA COMPETITOR WA KUMTOA KIJASHO CHEMBAMBA!! MZIGO UNAITWA  #OJOJOO  UKO FULL SET KUANZIA MAFUTA,CONDITIONER,SHAMPOO NA SERUM.WALE WOTE WENYE  TATIZO LA KUKATIKA KATIKA KWA NYWELE,KUTOJAA,MBAA N.K HII NDO HABARE YA TOWN!!

IMEKUWEPO TOKA ENZI IZO MPAKA SASA BADO INATESA!! HII NDIO CLEAR ESSENCE BANA. WALE NDUGU ZANGU WENYE NGOZI YA MAFUTA HASA USONI WATAKUBALIANA NA MIMI KUWA UKIPAKA CLEAR ESSENCE CREME AMA KWA HAKIKA VICHUNUSI VIMABAKA KWISHNEY!!UNANGOJA NINI #AKCLASSIC TUKO NAYO FULL SET

SASA BACK IN STOCK!! #PALMERS MOISTURIZING GEL OIL YENYE SUNSCREEN NDIO MPANGO MZIMA KWANI HUACHA NGOZI IKIWA LAINI,NYORORO NA ANG"AVU!!

IMEFIKA ILE POWDER MAALUM NA MAHSUSI KWA AJILI YA NGOZI ZETU WASWAHILI!! AISEEE #BLACKOPAL HUKIITUMIA HUTOJUTA. ZINAPATIKANA KWETU TU #AKCLASSIC MCTY 0753482909

MWEZI WA MALUV DAVI NDO HUU NA #AKCLASSIC BILA HIYANA TUMEKUJA NA VITU VYA KUMTOA NYOKA PANGONI...!!HATARE TUPU

WALE WA ODA ZENU, KITU #QUEENHELEN IMEFIKA MUKUYE MUKUIYE MCHUKUE MIZIGO YENU ZIKO CHACHE!!

WAINGEREZA WANASEMA SELF EXPLANATORY!! YAANI RANGI INAJIELEZA KUNA HAJA YA KUONGEZA?OK NYONGEZA NI IPO #AKCLASSIC MCTY WAHIIIIIIII

U WANNA BE VERRY SEXY ON THIS VALENTINE?OFCOURSE YES!!

NI MWENDO WA MALUV DAVI..HAKUNA NAMNA!!!

Monday, February 1, 2016