MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Tuesday, February 23, 2016

#PALMERS SKIN THERAPY OIL FOR FACIAL AND BODY... We got it Too

Umegundua Tofauti?

Je izi ‪#‎skintherapy‬ zimekuwa zikikuchanganya??
Ipi huwa unatumia zaidi?
Ok ni hivi;
Kama ulikuwa unatumia hii skin therapy oil kubwa kwa usoni either kwa kujua ama kutokujua basi ulikuwa unakosea!
Sasa kuna FACIAl skin therapy
Hii ni mahsusi kwa ajili
Ya
✔mikunjo ya usoni
✔mabaka
✔rangi mbili

🔓 Recommended for all skin types.
Pia inapendeza na inafaa sana ukiwa unazitumia in collaboration na kitu chako flani amazing... matokeo yake hutojutraa

No comments:

Post a Comment