MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, August 20, 2015

#AK CLASSIC COSMETICS TUMEKUFIKIA....

Mabibi na mabwana wale mnaotafuta vitu vya kipekeee na vyenye ubora wa hali ya Juu kutoka mbele.. sehemu pekee ya kupata vitu sahihi tena kwa gharama nafuu kabisa! Hatutakuuzia tu...kwanza tutakushauri kisha tukupe bidhaa sahihi inayoendana na ngozi yako. KARIBUNI SANA #akclassic #Mlimanicity #0753482909 wale wa mikoani tunawatumia huko huko na basi...wee fanya kukong'oli hiyo no. Hapo juu

ILE SHAPE NAMBA NO.8 UNAWEZA KUIPATA TENA KWA SHORT CUT MOJA MATATA.... NJOO #AKCLASSIC UWONE...

Inaitwa latex corset original from Colombia... Itakupa mwonekano ule ulikuwa unausaka kwa udi na uvumba! Wale wenzangu mliotoka kujifungua afu mnatafuta kitu cha kuwarudisha tumbo fasta...habari ndo hii! Fanya kutembelea #akclassic0753482909 na kama uko mkoani hakijaharibika kitu tutakutumia kwa bus kwa gharama nafuu kabisa...

NAJUA WENGI MLIZIMISS HIZI LAKINI SASA UNAWEZA ZIPATA TENA!