MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Tuesday, October 9, 2012

>>>NJIA RAHISI YA KUNG'ARISHA NGOZI YA USO WAKO WATU WAKAPAGAWA!!

TUTAKUPA SABUNI YA MEDIMIX,HII NI SABUNI ILIYOTEGENEZWA KWA MIMEA ASILI,NI NZURI KWA WATU WA RIKA ZOTE NA NGOZI AINA ZOTE...

UTTUMIA HII KATIKA HATUA YA KWANZA KABISA YA KUNG'ARISHA NGOZI YA USO WAKO.

HII YAITWA ULTRA GLOW FADE CREAM,MARA YA KWANZA TUNAILETA LAKINI KAMA KAWAIDA HUWA HATUBAHATISHI...HII ITAIFANYA NGOZI IWAKE NA KUPENDEZA PIA HUSAIDIA KUTOA MABAKA NA  KUIFANYA NGOZI IWE NA RANGI  MOJA.

1 comment: