MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, October 29, 2012

>>>Scrub-sessed! Bath & Body Works Into The Wild Smoothing Body Scrub
Body Scrub zipo aina mbalimbali AK Cosmetics,ukitumia vitu kama hivi mara moja kwa wiki inafanya ngozi yako kuwa nzuri maana inatoa dead skin(nadhani ndio ngozi iliyokufa kiswahili)kila mtu ana dead skin.Ukianza mapema kuhudumia vizuri ngozi yako hiyo miaka ya baadae utabakiza maintenance,wakati waliofanya kinyume watakapo kuwa wanakutamani.

No comments:

Post a Comment