MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Sunday, October 21, 2012

>>>Nchi nyingine wanaita PAMPERS lakini MAREKANI wanaita DAIPERS ila ndio kitu kilekile...


 


Hii mambo ipo AK Cosmetics.Jamani kwa sasa hivi DAR kuna joto kwa wale ambao mnatumia PAMPERS kwa watoto unahitaji hii product nyumbani kwako,kuna vi rash vingine havionekani kwa macho unashangaa mtoto kakojoa mara moja lakini analia kweli,anaungua.

No comments:

Post a Comment