MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Tuesday, October 30, 2012

>>WENGI MMENIPIGIA KUULIZA JINSI JERGENS INAVYOFANYA KAZI,NAMI BILA HIYANA NAOMBA NIWAELEZE HATUA 3 MUHIMU ZA KUPITIA ILI INOGEE!!

1.UNAANZA NA SABUNI,HII NI BODY WASH,INAITWA GLYTONE UNAOGEA HII MWILI MZIMA,THEN UNAKUJA HATUA YA PILI!(HII SABABU INAKAA MUDA MREFU)

2.BAADA YA KUOGEA GLYTONE UNAPAKA SASA JERGENS YAKO KAMA KAWAIDA MWILI MZIMA(HII JERGENS MIX YAKE NIPIGIE),THEN BAADA YA KAMA DK. 30-40 HIVI UNAINGIA HATUA YA 3. 

3.HATUA YA TATU NA YA MWISHO UNATUPIA HIKI KITU KINAITWA MILK PROTEIN,HIKI PAMOJA NA MAMBO MENGINE KINAKUKINGA NA MIONZI YA JUA(SUN PROTECTIVE FACTOR) AMBAYO NI MUHIMU SANA KWA NGOZI.
N:B VITU VYOTE VINAPATIKANA @AK COSMETICS.
KUMBUKA HILI NI PENDEKEZO LA WATAALAM ILA NA WEWE WAWEZA KUJA NA UTAALAM WAKO UKACHUKUA VYOTE NA ZAIDI AU UKAPUNGUZA.

No comments:

Post a Comment