MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, October 31, 2013

>>>KARIBUNI @AKCLASSIC MADINI MAPYA YAMESHUKA KAMA KAWAIDA YETU BANDIKA BANDUA..

AYA KITU CHA KUKUFANYA UWE CHOCOLATE CHOCOLATE MTOTO RANGI NYORORO NA LAINI AFU NATURAL COLOUR HIKI HAPA KIMETUA!! KUANZIA USONI,MIKONO HADI MWILI MZIMA.

HII MAXIPEEL INA SIFA NYINGIII SANA ILA HAPA NTAGUSIA KIDUCHU TU: KAMA UNA CHUNUSI ZINAKUSUMBUA AFU KILA UKIPAKA KITU HASA VILE VYA KUKUNG'AZA  KINAGOMA VINAKUJA VICHUNUSI KAMA VIMETUMWA,BASI JIWEKE HAPA,ITAKUTOA VICHUNUSI NA KUKUPA MNG'AO (TWO IN ONE) ULIONA WAPI??ONLY @AKCLASSIC

NDANI YA SIKU 56 VIBAKA VYEUSI VINAKUWA VIMEPOTEA NA HII EQUATE BEAUTY!!

USIPOMJALI WAKO WENGINE WATAKUSAIDIA... AYA MAMBO YA MUME/BOYFRENDOO HAYO HAPO!!

BAADA YA KIM K KUJA NA SPLASH YAKE SASA NI ZAMU YA RIHANA, KITU HICHO HAPO CHA MOTOOOOOOO!!! PEMBENI NI UNBREAKABLE BOND WOTE MNAJUA PERFUMES YAKE ILIVYO MOST WANTED.

THE MUST HAVE FROM AVON, TODAY & TOMMOROR. OLD IS GOLD

Wednesday, October 30, 2013

Tuesday, October 29, 2013

>>HIZI NDIO ZILE KIBOKO YA CHUNUSI SUGU:-

KILA MOJA INA SIFA YAKE YA KIPEKEE KULINGANA NA VITU VILIVYOTUMIKA KUITENGENEZA(INGREDIENTS) IPI INAKUFAA KWA AINA YA NGOZI YAKO NJOO @AK CLASIC TUTAKUPA MAELEZO INDETAILS!!!Monday, October 28, 2013

HAVE YOU EVER TRIED MARY KAY PRODUCTs?

KATI YA MADINI YAMEKUWA YAKIFANYA VIZURI TOKA KIPINDI HICHOO BASI NI MARY KAY PRUDUCTs HAWA JAMAA WAKO VIZURI SANA,KUANZIA CLEANSERS,AGE FIGHTING MOISTURIZER,DAY SOLUTION,NIGHT SOLUTION,FOUNDATION,LIPSTICK,POWDER YAANI KILA IDARA.NAKUSHAURI UJARIBU PRODUCT ZAO HUTAJUTA!!zipo @ak classic

Wednesday, October 23, 2013

>>>Gold Bond Diabetic Skin Relief Lotion

Gold Bond Diabetic Skin Relief Lotion

Haya mali mpya, wewe mwenyewe unajua una matatizo gani kiafya kwa wale wenye kisukari special lotion yenu hiyo.

Monday, October 21, 2013

>>NEW ARRIVALS @AK CLASSIC COSMETICS, COME ONE COME ALL!!

MADINI YAKISHUSHWA KAMA IFUATAVYOOO...SIO VYOTE VINAPATA FURSA YA KUFIKA HUKU JAMANI ILA UKIJA DUKANI UNAVIONA VYOOOTE!!

WALE WALIOKOSA MWANZO JAMANI SAFARI HII MSICHELEWE LAWAMA LAWAMA OHOO OHOOO!!

NA WALE WALIOMISS PIA NARUDIA LAWAMA STAKI SFARI HII MSICHELEWE BASI WAPENZI WANGU!!

UKIFUBAA UMEAMUA MWENYEWE,LAKIJA UKASEMA OHOO KILA NACHOTUMIA KINADUNDA AHA WAPI!! KUNA VITU VY AMPK SIKU HIZO HAPO.LOL

WALE WA KUNUKIA NUKIA TUNAWASAHAUJEE SASA!!??

MANENO HUONI HATA PICHA BASI!!??LOL

DINI LIMEKAMILIKA KAZI KWAKO!! MNG'AO MNG'AO!!

PROSHAPE KAZI YAKE HIYO HAPO ME SISEMI SANA!!

Saturday, October 19, 2013

>>>Foundation For Very Dark Skin Tone
* Face Atelier Ultra Foundation in Zero Plus Plus
* Becca Foundation Stick in Chocolate, Molasses, and Espresso
* Black Opal True Color Foundation in Ebony Brown
* Illamasqua Rich Liquid Foundation in #335, #340, and #345
* Make Up For Ever HD Invisible Cover Foundation in #185
* Make Up For Ever Mat Velvet + Matifying Foundation in #90
* Black Radiance Perfect Blend Crème Foundation Stick in Cafe Black
* MAC Mineralize Foundation in NW55
* MAC Studio Fix Fluid Foundation in NW55
* MAC Studio Tech Foundation in NW55
* MAC Studio Sculpt Foundation in NW55
* Inglot Cosmetics AMC Cream Foundation in DC400
* Smashbox Hight Definition Healthy FX Foundation in Dark 02

Finding your perfect shade can be as simple (or as hard) as knowing your undertones and skin type. Common undertones found in very deep skin are blue, red, and olive.

Thursday, October 17, 2013

>>>KWANINI UFUBAE WAKATI @AK CLASSIC WAPO!!

HII NDIO EXTREMEGLOW SET NZIMA!!YAANI UKIAMUA KUFUBAA UMEAMUA WEWE USIJE UKASEMA MIE OHOO KILA KITU NIKITUMIA KINAKATAA!!HAPANA!! UNAWEZA KUTUMIA HATA LOTION PEKE AKE NA MAMBO YAKAWA SUPER ILA KWA MATOKEO MAZURI ZAIDI UNASHAURIWA UTUMIE SET NZIMA!!

Wednesday, October 16, 2013

>>>How about this look?

Neutral Eye + Bold Orange Lips


Nadhani anaonekana simple tu...something like this might be okay for everyday wear....mana wakina kaka wanalalamika mnapendeza mkienda kwenye harusi tu...siku nyingine mnatoka kama mnaelekea kariakoo!

Tuesday, October 15, 2013

>>>MSISAHAU KUKUMBUKA!! HAPO HAPO ULIPO MADINI YA @AKCLASSIC YANAKUFATA!!!

NDUGU WATEJA WETU MSISISHAU KUKUMBUKA KUWA UKIWA HAPO HAPO OFISINI AU NYUMBANI AK CLASSIC TUNAWEZA KUKUFIKISHIA BIDHAA UNAYOITAKA HAPO HAPO ULIPO!! CHAKUFANYA ANGALIA BIDHAA UITAKAYO KWENYE MTANDAO WETU KISHA TUTWANGIE KWENYE 0713468393/0753482909 UTATUELEKEZA ULIPO THEN TUTAKUFIKIA NDANI YA MUDA MFUPI!

Monday, October 14, 2013

>>>How To Shrink Enlarged Pores..


Radiant, glowing skin can be yours with the right creams.


Want tips on shrinking enlarged pores? Are you embarrassed by yours?
When there is a buildup of oil and debris they get bigger. Untreated blackheads are usually the main cause of big pores. The good news is that once you remove the blockage they will shrink back to normal size. You can keep them clear and blockage free by doing regular treatments. Oily skin and big pores go hand in hand. Keep your pores from stretching beyond repair by controlling excess oils.
  • Use a non-creamy cleanser and refreshing toner to keep your skin clean.
  • Use a deep cleansing mud mask three to four times a week. They cut oil and tighten skin without over-drying.
  • Drink a glass of orange juice with two heaping tablespoons of brewer's yeast. The B Vitamins help control oils internally.
  • Take vitamins that stop your body from overproducing oil from the inside.

Pore Shrinking Facial Treatment

Here is a simple treatment to shrink enlarged pores. This facial eliminates excess oil, and keeps your skin and pores nice and tight.
  • Add two tablespoons of baking powder to a pot of water. Cover and boil for five minutes.
  • Remove the cover and use a towel to make a “tent”. Cover your head and steam your face for fifteen minutes.
  • Beat an egg white and add a few drops of lemon juice to it.
  • Apply the egg mask to your face and let dry for 20 minutes.
  • Remove the mask with a mild toner (like witch hazel) on a cotton ball.
Regular blackhead extractions help to keep your pores clear and reduces the chances of your pores getting too big. Any treatment that helps to exfoliate your skin also makes your pores smaller. Micro dermabrasion or a simple easy to get facial scrub will go a long way to help shrink pores if you do them 2-3 times a week.


Sunday, October 13, 2013

How to Clear Up Back Acne on Dark Skin

Untreated back acne can lead to keloid scarring.
 
1.
Avoid wearing backpacks or tight-fitting shirts, as they can irritate your back or cause it to sweat, resulting in more acne.
2.
Don't skimp on your workouts, but do wear clean gym clothes each time you go. Clean yourself properly afterward to ward off dreaded back acne. Do not pass go after your gym time without hopping in the shower for a scrub. Change into a clean bra and T-shirt afterward. Sweat that stays on your skin can clog pores and lead to back acne.
3.
Soap your whole body off each time you the shower, using an oil-free cleanser that won't clog pores. To reach your back, use a loofah with a long handle, or you may opt to get your special someone to lather it for you! If you use a loofah, the scrubbing action does double-duty as a mild exfoliant to slough off dead skin cells and help improve your back's appearance.
4.
Shampoo your hair to remove traces of hair products like pomade. Greasy substances found in black hair pomades and styling products can give you acne. If you're not rinsing the goo out fully, some of the products can be left on your back. Shampoo your hair until it's quite sudsy and feels grease-free; rinse until the water comes clean. Feel your back and make sure it's suds-free, too.
5.
Wash your bedding, towels and clothes with a gentle laundry detergent. Fragrance-creating additives in detergent could be irritating your skin, and irritated skin results in more back acne.
6.
Apply a benzoyl peroxide cream daily to encourage existing zits go away for good. This compound has long been a fave acne fighter, and it's especially good at shrinking those large back pimples.
7.
Talk to a dermatologist if you're still experiencing severe back acne; she can prescribe ointment or pills to help banish .


Thursday, October 10, 2013

>>COCOA BUTTER MOISTURIZING GEL OIL MMMMH!!!

JAMANI JAMANI RAHA YA NGOMA UINGIE UCHEZE,NAOMBA TU NIKUSHAWISH UINGIE UCHEZE UTAMU UTAUSKIA HUKO HUKO!!USIPOIPENDA NIRUDISHIE

>>>OTENTIKA MAXITONE SET ALL AVAILABLE @AKCLASSIC

KITU CHA OTENTIKA HUKUFANYA NGOZI YAKO CHOCOLATE COLOUR BILA KUKUBADILI TONE YAKO!!YAAANI UNAKWIVA TUH!!JARIBU UONE

Wednesday, October 9, 2013

>>JE UNATAKA NGOZI YAKO IWE LAINIIII!!,NYORORO NA YENYE KUWAKA?KITU HIKI HAPA

KITU KINAITWA CARROTGLOW UKIKITUMIA NGOZI YAKO UTAIPENDA!!NI LAINI,NYORORO,ALAFU INAKUPA ULE MNG'AO STAHIKI!!WEE JARIBU TU

Monday, October 7, 2013

Thursday, October 3, 2013

Wednesday, October 2, 2013

###NEW ARRIVALS @AKCLASSIC COSMETICS,MADINI MAPYA MAPYA TUPU!!

KAMA UNA TATIZO LA WEUSI WA KWENYE MAKWAPA SASA TATIZO LAKO LIMEFIKA KIKOMO!!DEODORANT ZA KUWEKA KITU SAAFI NDO IZO HAPO!!SCENT UNAYOTAKA WEWE!!

WALE WANAOTAKA MATOKEO YA FASTA FASTA HII KITU HAICHELEWESHI MAMPBO KUANZIA WEEK YA KWANZA MTOTO UNAANZA KUWAKA MPK RAHA!!!

VITU VYA KIM K NAVYO TUNAVIACHAJE SASA KWA KIPINDI HIKI AMBACHO VINAMAKE HEADLINES??AYA USHINDWE WEWE TU KUNUKIA!!

CIVIC LIGHTENING LOTION INAENDA KIDOGO KIDOGO IKIKUNG'ARISHA KUANZIA JUU MPAKA CHINI!!KWANINI UFUBAEE WAKATI @AK CLASSIC WAPO!!

KITU KUTOKA PARIIII,KINAITWA CLEAR QUICK AKA GUSA UNASE!!UKITAKA KUONA MAAJABU KIGUSE UONE

THE OLD IS GOLD HAPA NI HT 26 MUPYA NA YA ZANAI!! JAMANI HII YA KWANZA KUSHOTO NDIO LILE TOLEO JIPYA LINALO MAKE HEADLINE HAPA MJINI,KITU KIMEONGEZEWA NAKSI NAKSI ZA MAANA ZOTE SIJUI MAZIWA SIJUI CARROT IVO IVO UNAGUSISHA TU KITU KINAPAA!!