MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Wednesday, October 2, 2013

###NEW ARRIVALS @AKCLASSIC COSMETICS,MADINI MAPYA MAPYA TUPU!!

KAMA UNA TATIZO LA WEUSI WA KWENYE MAKWAPA SASA TATIZO LAKO LIMEFIKA KIKOMO!!DEODORANT ZA KUWEKA KITU SAAFI NDO IZO HAPO!!SCENT UNAYOTAKA WEWE!!

WALE WANAOTAKA MATOKEO YA FASTA FASTA HII KITU HAICHELEWESHI MAMPBO KUANZIA WEEK YA KWANZA MTOTO UNAANZA KUWAKA MPK RAHA!!!

VITU VYA KIM K NAVYO TUNAVIACHAJE SASA KWA KIPINDI HIKI AMBACHO VINAMAKE HEADLINES??AYA USHINDWE WEWE TU KUNUKIA!!

CIVIC LIGHTENING LOTION INAENDA KIDOGO KIDOGO IKIKUNG'ARISHA KUANZIA JUU MPAKA CHINI!!KWANINI UFUBAEE WAKATI @AK CLASSIC WAPO!!

KITU KUTOKA PARIIII,KINAITWA CLEAR QUICK AKA GUSA UNASE!!UKITAKA KUONA MAAJABU KIGUSE UONE

THE OLD IS GOLD HAPA NI HT 26 MUPYA NA YA ZANAI!! JAMANI HII YA KWANZA KUSHOTO NDIO LILE TOLEO JIPYA LINALO MAKE HEADLINE HAPA MJINI,KITU KIMEONGEZEWA NAKSI NAKSI ZA MAANA ZOTE SIJUI MAZIWA SIJUI CARROT IVO IVO UNAGUSISHA TU KITU KINAPAA!!

No comments:

Post a Comment