MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, December 17, 2015

JE UNASUMBULIWA NA WEUSI CHINI YA MACHO(MIWANI)???

KAMA UNASUMBULIWA NA WEUSI CHINI YA MACHO  BASI RELAX KIBOKO YAKE TUNAE  #AKCLASSIC YAANI HAPA NDIO KIGOMA MWISHO WA RELI...KARIBU MLIAMNI CITY STRESS FREE ZONE..0753482909

AK TUTAKUPA SABABU YA KUNUKIA!!

MAMBO YA SIGNATURE HAYOOO..UKITUPIA HIZI KILA MTU ATAKUULIZA UNAPAKA NINI??

Tuesday, December 1, 2015

LOOKING FOR NO.8 FIGURE?? GET IT @akclassic

MAMBO YA #WAISTRAINER HAYOO!! KITU KIUNO NYIGU NAMBA NO.8 IYOOO NINI TENA UNATAKA? #ANNCHERRY ORIGINAL FROM COLOMBIA ZINAPATIKANA #AKCLASSIC TU TENA KWA BEI NAFUU  MNOOO!!!

UKIAMUA KUNUKIA SHURTI UNUKIE HASWAAA... MADINI HAYOOOO

HIZI NI KWA AJILI YA WABEBEZ WAKALI WOTE WA MUJINI... TUMEWACHAGULIA ZILE HARUFU HATA UKIPULIZIA JAMAA WANAGEUKA KUANGALIA HUYU NANI HUYU??

HIZI NDO ZILE KWA AJILI YA KIUMENI...MAJINA YA UKWELI TUPU!! WAHI AKCLASSIC 0753482909

LOOKING FOR THAT GOLD AMAIZING COLOUR????

HII NDO CARROTGLOW !! HII NI MAHSUSUSI KWA WALE NDUGU ZANGU WANAOTAKA KUWA CHOCOLATE BILA KUBADILIKA SANAAA YAANI RANGI FLANI YA CARROT MATATA BASI HIKI NDIO KITU CHENU!!WALE WANAOUJUA SHUGHULI YA CARROT KWENYE NGOZI WATAKUBALIANA NA MIE CARROT HUWA HAINA MPINZANI!!

WALE WA RANGI YA MTUME MPOO??KITU HICHOOO!!! INAITWA EXPRESSGLOW SHUGHULI YAKE SIO YA KITOTO YAAANI MTOTO NG'ARING'ARI..AYA SASA ZIMEFIKAA #0753482909

HII SASA NI TOLEO JIPYA KABISA SOKONI..UNAAMBIWA WAMECHUKUA EXPRESSGLOW NA PUREGLOW KISHA WAKAIBORESHA KITU KIKATOKEA #DIAMOND GLOW SASA IYO SHUGHULI YAKE SASA...!!KAMA UNAZIFAHAMU IZO ZA NYUMA MAJIBU UTAKUWA NAYO!!

Thursday, November 26, 2015

THE #BLACKFRIDAYSALE IS ON ...

KAMA HII KITU HAIKO KWA DRESSING TABLE YAKO NA FURAHI DAY HII IKAPITA HUJAIPATA BASI UMEPITWAAA!! HII NI THE MOST WANTED DEODRANT #SECRET NZURI MNOOOO MNOOO #FRIDAY HII UTAIPATA KWA 20,000/= TU BADALA YA 25000/- BEI YAKE.

HII NI MAHSUSI KWA FAMILIA NZIMA, BABA ,MAMA NA WATOTO YAANI NGOZI ZENU ZITAKUWA LAINI,NYORORO NA NG'AVUUUUU INAITWA #VASELINE INTESIVE CARE IJUMAA HII UTAIPATA KWA 28,000/= TU BADALA YA 35,000/= TUPO MLIAMNI CITY MKABALA NA SUBWAY 0753482909

WAHI WAHI .....THE BLACK FRIDAY SALE @AK CLASSIC

ILE HABARI YA MUJINI SASA UNAIPATA KWA SALE BEI CHEE KABISA IJUMAA HII.. KUTOKA 105,000/= MPAKA 70,000/= TUPO MLIMANI CITY OPPOSITE NA SUBWAY #0753482909

HAPA SASA NDIO KIVUMBI... HABARI YA MUJI INGINE... MAMBO YA #KIUNO NYIGU. KITU ANNCHERRY ORIGINAL KABISA KUTOKA COLOMBIA IJUMAA HII UTAIPATA KWA 145,000 TU BADALA YA 170,OOO/=- WAHI OFA HII NI IJUMAA HII TU BASI(BLACK FRIDAY)

KISA CHA MTOTO WAQ KIKE KUFUBAAA?? IJUMAA HII hYPECREME @AK CLASSIC UTAUZIWA KWA 65,000/= TU BADALA YA 90,000/= IWE LOTION AMA CREME WEWE TU

HAPA SASA NI KAMA TUNATOA BURE,INGAWA HAYA NI MAJINA MAKUBWA YA RANGI ZA KUCHA IJUMAA TUTAKUPA KWA 3000/= TU BADALA YA 8,000/=

ARE YOU READY FOR BLACK FRIDAY SALE!!?

THE GOOD NEWS NI KWAMBA KESHO 27/11/15 THIS FURAHI DAY KUTAKUWA NA CRAZY #BLACK FURAHI DAY SALE!! KAA MKAO WA KULAAAA!! MPAKA 70% OFF

Thursday, November 19, 2015

THE BEST LIPSTICK IN TOWN!!! #JORDANA lipstick

NILISHAWAHI KUSEMA HUMU,LEO NARUDIA BAADA YA WATEJA WANGU KUTHIBITISHA MANENO YANGU KUWA "aysee ni kweli hakuna kama #jordana" HII NI KUTOKANA NA KUKUBALI KILE AMBACHO NILIKUWA NIKIPREACH KUWA KAMA UNATAKA LIPSTICK YA UKWELI ISIYOKUWA DRY WALA NA MAFUTA,INAYOWEZA KULAST MUDA MREFU SANA,ISIYO KERA MDOMONI,,, INAPATIKANA @AKCLASSIC #0753482909

SUFFERING FROM DARK KNUCKLES?? SEE SKINCARE GURE #AKCLASSIC

JE WEWE NI MIONGONI MWA WALE WANAOSTRESISHWA NA WEUSI WA KWENYE VIDOLE VYA MIGUUNI,MIKONONI NA KWENYE MAGOTI?? RELAX!   @AK CLASSIC TUMEKULETEA KITU SAHIHI KWA AJILI YA TATIZO LAKO, NDANI YA WEEK 4-6 TATIZO LAKO LINAKUWA HISTORIA..NJOO UTUTEMBELEE KWANI AK HATUIISHII HAPO TU TUNA MAMBO KEDE WA KEDE KUTOKA UNYAYONI MPAKA KICHWANI KUHAKIKISHA NGOZI YAKO IMEKUWA AMAZING KABISA!!! TUPO #MLIMANI CITY CONTACT 0753482909

KAMA UNASUMBULIWA NA DARK SPOT(MABAKA) HII ISIKUPITE

WALE WENZANGU WANAOSUMBULIWA NA CHUNUSI WATAKUBALIANA NA MIMI MARA NYINGI CHUNUSI HUACHA MABAKA..MABAKA HAYA YAMEKUWA TATIZO KWA WATU WENGI!!JE WEWE NI MMOJA WAO? BASI USIPATE SHIDA NJOO #AKCLASSIC TUTAKUSAIDIA #0753482909

MTOTO WA KIKE KUNUKIA SIO OPTION!!NI LAZIMAAA

KWA WALE WANAOTAKA WATU WAJUE UWEPO WAO PINDI WANAPOPULIZIA UNYUNYU  FLANI BASI KITU HIKI HAPA!! #JAPANESE FULL SET

ENHEEEE WALE WENZANGU NA MIE WANAOPENDA HARUFU FLANI FLANI TAMU TAMU,KITU HICHII HAPA #PARIS AMOUR FULL SET KUANZIA LOTION,MIST NA PERFUM

Thursday, November 12, 2015

KIMYA KINGI KINA MSHINDO,MADINI MAPYAAA NDANI YA #AKCLASSIC!!!!

WALE MLIOKUWA MMEMISS SIZE ZENU #WAISTTRAINER SASA ZIMEFIKAA!!MKUYE MKUYE #AKCLASSIC MAANA KUNA SIZE ZIKO CHACHE...!!

MTOTO WA KIKE SHURTI UNUKIE TENA UNUKIE VITU VYA UKWELI BIBIE!!

ILE HABARI YA MUJINI NAYO IMETINGA TENA SAFARI HII IKIWA FULL SET YAANI KUANZIA YA KUOGEA,LOTION,SPLASH,BODY CREME NA PERFUM, KAMA HUJATUMIA HII UNAPITWA SANA,, RAHA YA NGOMA UINGIE UCHEZE!!

ENHEEEEE KINA RIHANA HAOOO!!MLIOKUWA MNAWAULIZIA MUWAHI WAHI WAPO WACHACHE SANA!!

MAMBO MAPYA KUTOKA VICTORIA SECRET HAPA BONGO  UTAYAPATA @AK CLASSIC TU!!

NILISHAWAHI KUSEMA HUMU NARUDIA TENA,MAAJABU YA MAFUTA YA ARGAN OIL KAMA HUJAWAHI KUYASHUHUDIA IWE KWA MWILINI AU KWENYE UNYWELE BASI UNACHELEWA SANA!! HII NDIO CERTIFIED ARGAN OIL KUTOKA MORROCO HAWA CREME OF NATURE WAO WAMEAMUA KUITUMIA KUSPECIALIZE KWENYE NYWELE...SHUGHULI YAKE SASA?NJOO #AKCLASSIC

IF YOU ARE MAD ABOUT SOMEONE THIS IS THE TIME TO SHOW HIM/HER BY ACTION!!LOL

NEW SCENT IN TOWN....VICTORIA SECRET WAMEKUJA UPYAAAAAAAA SAFARI HII NI MWONEKANO,CHUPA IMEBADILIKA KABISA SASA UWAHI KUJA KUSHUHUDIA USIJE UKAKUTANA NAO UKASEMA FEKI!!

VICTORIA SECRET LIPGLOSS JIRAMBEEEEEEE!

AYA SASA VICTORIA SECRET WAMETOA VIPORTABLE PERFUM KWA WALE WAVIVU KUBEBA MACHUPA MAKUBWAA...KITU VERY PORTABLE AFU UNAGUSAA TU KITU KINANUKIAJE SASA!!

KAZI YETU NI KUPICK ZILE BIDHAA AMBAZO ZINAFANYA VIZURI SANA,MFANO MZURI UTAONA KATIKA HII LIST YA HIZI PALMERS,HIZI NI KATI YA BIDHAA ZA PALMERS ZINAZOFANYA VIZURU SANA KWENYE NGOZI KUTOKA PALMERS!! HIZI ZOTE UTAZIPATA KWETU

HIZI NI MAALUM KWA WAPENDWA WANGU WOTE WANYE NYWELE ZINAZOKATIKA KATIKA HASA MWISHONI,NYWELE KAVUUU MNOO MPAKA UNASHINDWA KUCHANA KWA AMANI HIZI ZITAWAFAA SANA KWANI ZITAWASAIDIA KUTATUA MATATIZO YENU HAYO YOTEEE NA KUZIACHA NYWELE LAINI ,NYORORO NA ZINAZOSHIINE...!!!

Saturday, October 17, 2015

HEALTH HAIR TIPS FROM #AKCLASSIC

MOJA YA MAMBO TUNAYOYAFANYA EITHER KWA KUTOKUJUA AU KUJUA NI KULALIA MITO YA COTTON HUKU TUKITEGEMEA MAMBO YA NYWELE KUWA SAWA!! PAMOJA NA UZURI WAKE WOTE (COTTON) WATAALAM WA MAMBO WANASEMA LINAPOKUJA SWALA LA NYWELE AISEEE WEKA MBALI NA KICHWA KWANI HUSAIDIA NYWELE KUKATIKA KATIKA...SO KUZUIA HII HALI UNASHAURIWA KUTUMIA MITO YA VITAMBAA VYA MATERIAL YA SATIN AMA LAH ULALIE COTTON SAWAAA ILA KICHWANI UVAE SLEEP CAP YA MATERIAL YA SATIN KAMA ILIVYO KWA PICHA!!KOFIA HIZI MBALI NA KULINDA NYWELE ZAKO PIA ZITAKUONGZEA MNG'AO PILA KUZIFANYA ZIWE NA UNYEVU UNYEVU...KOFIA HIZI ZINAPATIKANA #AK CLASSIC COSMETICS #O753482909. KITU MUHIMU AMBACHO HAUSHAURIWI KUFANYA INGAWA NDIO TUMESHAZOEA NI PALE UNAPOMALIZA KUOSHA NYWELE UKAFUTA NYWELE NA TAULO AISEEE HILI NI KOSA LA JINAI LINOKUJA SWALA LA KUITUNZA NYWELE YAKO!!!!

Wednesday, October 14, 2015

LADIES MOST WANTED 2015 BODY CREAM!!

WIDELY KNOWN AS QUEEN ELIZABETH COCOA BUTTER MADE IN IVORY COAST BUT LARGELY IMPORTEDD FROM UK.....IN TANZANIA ITS NUMBER ONE LADIES CHOICE WHEN IT COMES TO BODY CREAM!!WE GOT IT @AK CLASSIC COSMETICS STORE #MLIMANI CITY & KINONDONI MANYANYA? YOU WANNA KNOW WHAT IT DOES? CHECK MY PREVIOUS POST!

LOOKING FOR OVERSWEATING PROBLEM???

GUYS NILIWAHI KUSEMA HAPA... NA LEO NAOMBA NIRUDIE KAMA UNA TATIZO LA KUSWEAT KULIKO PITILIZA KUSIKO KUWA KWA KAWAIDA SASA KUNAWEZA KUWA HISTORIA...MREJESHO WA HII KITU KUTOKA KWA WATEJA WANAGU WANAOTUMIA HII KITU NI AMAIZING...KILA MTU ANAAPRECIATE HAKUNA ALIYEKUWA DISPOINTED NA HII!! INAITWA #ABSOLUTORR KUTOKA SWEDEN NI DEODRANT YA MAAJABU!!

Thursday, September 10, 2015

TEAM FIT LADIES MUPOOO?

Aya aya Aya sasa.... Wale wapenzi wa mazoezi na wanapenda kukata vitambi...Hii ndo shughuli ake
Inaitwa #waistrainer yaani unaitupia unaenda zako mazoezi. ..haijalishi ni gym, uwanjani ama uko nyumbani kwenye ule ubize wa kihom hom... Hii itakuswetisha lakini nzuri zaidi kadri unavoivaa ndio tumbo lako linapunguaaa yaani rahaaje! !

Em fika @ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity #0753482909 upate yako unapitwaaa...
Wale wa mikoani tunawatumia

YA NINI USHINDWE KUPIGA KIMINI CHA!!

Aya sasa wadada wa Mujini, kama kawaida #akclassic siku zote tunakuondolea stress... ile ya hali ya vinyweleo vya miguuni vinakosaje stress unashindwa kujiachia na kinguo chako kikali cha mtoko kisa tu miguu ama mikono itaonekana sasa ndo mwisho.
NJOO TUKUPE #hairemover ya #nair iko vizuri mnooo

Thursday, August 20, 2015

#AK CLASSIC COSMETICS TUMEKUFIKIA....

Mabibi na mabwana wale mnaotafuta vitu vya kipekeee na vyenye ubora wa hali ya Juu kutoka mbele.. sehemu pekee ya kupata vitu sahihi tena kwa gharama nafuu kabisa! Hatutakuuzia tu...kwanza tutakushauri kisha tukupe bidhaa sahihi inayoendana na ngozi yako. KARIBUNI SANA #akclassic #Mlimanicity #0753482909 wale wa mikoani tunawatumia huko huko na basi...wee fanya kukong'oli hiyo no. Hapo juu

ILE SHAPE NAMBA NO.8 UNAWEZA KUIPATA TENA KWA SHORT CUT MOJA MATATA.... NJOO #AKCLASSIC UWONE...

Inaitwa latex corset original from Colombia... Itakupa mwonekano ule ulikuwa unausaka kwa udi na uvumba! Wale wenzangu mliotoka kujifungua afu mnatafuta kitu cha kuwarudisha tumbo fasta...habari ndo hii! Fanya kutembelea #akclassic0753482909 na kama uko mkoani hakijaharibika kitu tutakutumia kwa bus kwa gharama nafuu kabisa...

NAJUA WENGI MLIZIMISS HIZI LAKINI SASA UNAWEZA ZIPATA TENA!

Thursday, July 23, 2015

MADINI MAPYAAAA

KIMYA KINGI KINA MSHINDI, TUMERUDIIII UPYAA KUWAPA KITU ROHO INAPENDA... BIDHAA MUPYAA NA ADHIMU KAMA KAWAIDA YETU, FIKA AK CLASSIC UJIONEE TOFAUTI NA WENGINE... BIDHAA NI ORIGINAL KUANZIA UTOSINI MPAKA UNYAYONI.....