MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, September 10, 2015

TEAM FIT LADIES MUPOOO?

Aya aya Aya sasa.... Wale wapenzi wa mazoezi na wanapenda kukata vitambi...Hii ndo shughuli ake
Inaitwa #waistrainer yaani unaitupia unaenda zako mazoezi. ..haijalishi ni gym, uwanjani ama uko nyumbani kwenye ule ubize wa kihom hom... Hii itakuswetisha lakini nzuri zaidi kadri unavoivaa ndio tumbo lako linapunguaaa yaani rahaaje! !

Em fika @ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity #0753482909 upate yako unapitwaaa...
Wale wa mikoani tunawatumia

No comments:

Post a Comment