MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, September 22, 2016

#Newarrivals @ak_classic_cosmetics #Mlimanicity

Karibu sana #akclassicosmetics tumeshusha mzigo mupyaaaa.kuanzia nywele, bidhaaa za nywele, bidhaa za ngozi, bidhaa za Chunusi, bidhaa za kung'aza. KARIBUNI SANA. #0753482909

Je una chunusi Sugu zinakusumbua mara kwa mara??

Hii ndo #acnefreeclearingsystem kiboko ya chunusi sugu zinazopenda kujirudia. Kama una chunusi na umeshatumia vitu vya kila aina lakini hupati matokeo mazuri kiboko yake hii hapa...njooo #akclassic0753482909 tutatatua changamoto Hii.

Thursday, September 15, 2016

MTOTO WA KIKE KUFUBAA INAHU?

SET HII #CARROTGLOW NI MAHSUSI KWA WALE WOTE WANAOPENDA KUNG'ARA KUWA NA RANGI FLANI YA DHAHABU. UZURI MMOJA WA SET HII HUWAFAA SANA HASA CREME YAKE WALE WOTE WENYE NGOZI YA MAFUTA,WENYE CHUNUSI NA MABAKA!!KARIBU aK CLASSIC #0753482909 MLIMANI CITY

IS no. 8 born or made?/?

we got #Bodyshaper for you!!

Friday, September 9, 2016

WEEKLY CUSTOMER'S BEST CHOICE THIS WEEK!!

AS YOU CAN SEE.THIS CHOICE IS AMAIZING GOT THE NATURAL COCOA BUTTER AND SHEABUTTER,YOU KNW HOW GOOD IT BECOME WHEN THE TWO IS MIXED ADDING THE ALMOND OIL INSIDE!!OOOPS I WONT TALK ABOUT THE REST BECAUSE THEY CAN BE EASLY SEEN AND WE ALL KNW THEIR CAPACITY AREN'T WE?

T444Z HAIRFOOD AVAILABLE @AK COSMETICS

NEED I TO SAY MORE?

Thursday, September 8, 2016

COCA BUTTER YA AJABU!! #AMERICANDREAM

Kama mjuavyo utumiaji wa #cocoabutter✔ wa mara kwa mara husaidia kuondoa taraaatibu michirizi itokanayo na Ujauzito, pia Cocoa butter hutibu Ngozi kavu kupitiliza.
ZAIDI na zaidi matumizi ya #Cocoabutter huifanya Ngozi iwe nyororo na Ng'avu.

Basi Bana Baada Ya Ile INGINE tuliyoizoea wamekuja na Hawa #AmericanDream Cocoabutter Cream. ✔Hawa kwanza wameichukua ileile #cocoabutter wakaongezea kitu kinaitwa VitaminE (nishaielezea sana hii humu) balaa lake!!
Kisha hii wamepunguza kwa Kiasi kikubwa yale Mafuta yanayokufanya ukipaka Ile uwe kama KitumbuaπŸ˜…πŸ˜… ✔Kutokuwa na Mafuta kunafanya hii tuipe 🚦 ( Greenlight) kupaka usoni. Wale ndugu zangu wa OIL + sensitive skin bado tutaitaji kushauriana Zaidi. ✔Wale Wenye Ngozi kavu kuliko kawaida hapa, yaani mtu Anakwambia anapauka mpk basi iwe shauri ya Hali ya hewa ama Asili yako, aisee hii kwa Ajili yako✔!! Mzigo baada Ya Kuuthibitisha
SASA nnao Kwa Shop
#Mlimanicity
Opposite #subway

Thursday, August 25, 2016

THE MUST HAVE!! #PALMERS MOISTURIZING GEL WITH SPF 15

Kama umebahatika kusoma #maelezo yangu ya #skintherapyoil Sasa katika hii copy yote yale KISHA mimi naongezea neno moja hili HII ni πŸ‘ ZE
#musthave

Tofauti ya hii na ile hii iko nzito kidogo.
Alafu hii sitakuuliza zile maswali za pale juu.Hii nakwambia beba tu.

Hakuna aliyewahi Jutia kuwa ha hii sana sana ni lawama wakikutaga nimeishiwaπŸ˜•πŸ˜•

TaHADhaRI: Usiqoute maneno yangu ukienda chukua za MafunguπŸ™ˆπŸ™ˆ


SASA ziko Kwa Stock
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity
Opposite #subway
#SurveyRoad

#call&whatsup0753482909
#DOOR2DOORDELIVERY

LOOKING FOR FACE THERAPY?HERE WE GO....

Baada Ya Kuona Palmers #skintherapyoil Imefanya vizuri sana na kuwa NA demand kubwa.
Watu wengine hasa wale wenzangu na mie #teamoilface wanaipaka Mpk usoni lakini wanakuwa na Negative reviews Palmers Wakaja na Hii
#skintherapyoil For Face
Hii ni mahsusi kwa ajili ya Uso tu.

HII ITAKUPA
a Balanced Tone✔
Toa madoa✔
Moisturizer✔

Wahi @ak_classic_cosmetics ziko chache
Tunapatikana
#Mlimanicity
Opposite #subway
#SurveyRoad

#call&whatsup0753482909
#DOOR2DOORDELIVER

JE NGOZI YAKO KAVU,INA MABAKA,MICHIRIZI NA RANGI ZAIDI YAMOJA?

Wengi wanaijua kama BIOL ya palmersπŸ˜†
Hii ndo
#skintherapyoil
Aisee kama wewe ngozi yako tata kidogo, kavu kupitiliza, mjamzito, una michirizi hii sio ya kukosa kwa Dressing table!!
Uzuri wa Hii Oil, haikubani kwamba usitumie kitu chako ulichokizoea na aunachokipenda hapana!!
Wee kuwa na Mafuta yako hayo unayoyapenda sana lakini hii pia Kuwa nayo, Paka pamoja ama changanya matokeo yako kwa Ngozi hutajutia!!
Tena kama una michirizi nitafute personally nkupe siri kubwa ya Hii utumie na nini uone matokeo ya Ajabu, ila tu uaitegemee matokeo ya Usiku mmoja.

Itafute...
KAZI KWAKO.

KWETU Ipo
@ak_classic_cosmetics

ARE YOU OIL SKIN? UNA CHUNUSII? KITU HIKI HAPA!!

Wale ndugu zangu Na mie Hapa, Nyuso za Mafuta.
Tumepata Mkombozi.πŸ’ƒπŸ’ƒ
No research no data
Hapa mambo ndo yanakoanziaπŸ˜†πŸ˜†

ZILE chunusi zisizoisha, Uso kama Kitumbua.
Kitu iki hapa
Cha
#antiacne from #Skinsuccess
Yaani hapa hutojutia pesa yako kwa kweli.
Ijaribu leo.
#teamoilface
#teamacneprone
#Roughskin


Angalizo: Kama una allergy na Sulphur inaweza isikukubali.


Bado Nasisitiza kupata Palmers Original kwani kwenye #Ubora hazifanani na hazijawahi kufanana!!

Kwetu @ak_classic_cosmetics
Tumeshakufanyia Kazi. JUS come And pick it.

KIBOKO YA MABAKA IKIKUACHA UNANG'AA!! #ANTIDARKSPOT

Wataalam wa Mambo wanakwambia Ukikutana na kitu cha Kupaka kina
#retinol
#vutaminE
#VitaminC
#Sunscreen
#allskintypes
Aisee usijiulize mara mbili beba fastaaa!!

Sasa Hii creme ya #antidarkspot ina vyote hivi.What a Product!!
Inafanya Vizuri sana Sokoni.
Inakupa rangi moja, inayoshine tena sio kushine kule kwa keleleeee! Hapana.
Wale ndugu zangu wenye Mabaka, itakusaidia sana huku ikifanya rangi iwe Moja uso mzima.
Kama shughuli zako no outdoor itakusaidia sana kukukinga na mionzi mikali ya Jua kwani ndio hufanya watu muonekane mmefubaa.

NiNi TEna UNaTaKa?
ZAidi Ya Hii

Angalizo
Cheap is Expensive!!!
Tafuta Palmers Original,Mwili Hauna Spea.

Hujui kutofautisha
NJOO kwetu @ak_classic_cosmetics tumeshakufanyia Kazi!!

Tunapatikana
#mlimanicity
Opposite #subway
#universityroad
#call&whatsup0753482909

BEST CHOICE THIS WEEK IS FROM #TANGA

MY Customer's are better than Yours!!😝

Jus Look their Choices!

#Happycustomer
Natural cocoa butter✔
Natural shea butter✔
T444z hair foof✔
Revlon foundation✔
Pure paradise b/lotion ✔

#Bestchoices
#goingnatural


On transit to #Tanga
Kudos to You mamito @hosiana99
— at Mlimani City.

MTOTO WA KIKE KUFUBAA KUNAHUSU??

Kitu kipya kitaa kinasumbua vilivyo
#PalmersAntidarkspot fade milk

Hii mahsusi kwa ajili ya mwilini ingawa kuna watu inawakubali mpaka Usoni.
Yale mambo sijui mwili una rangi zaidi ya mbili, mpka Tatu.NO

Humu

Utapata Rangi moja mwili mzima✔
Ngozi ya mwili itang'aa uzurii✔
Itakusaidia mabaka ya mwilini✔
Ngozi itakuwa moisturized✔
Itakukinga dhidi YA mionzi mikali ya Jua (sunscreen) ✔

IWahi Leo, hazikai hizi!!😈
#antidarkspot
#Newthing imekubalika
#Palmers
#Skinsuccess
#Fademilk


Back In stock

MTOTO WA KIKE KUFUBAA KUNAHUSU??

Kitu kipya kitaa kinasumbua vilivyo
#PalmersAntidarkspot fade milk

Hii mahsusi kwa ajili ya mwilini ingawa kuna watu inawakubali mpaka Usoni.
Yale mambo sijui mwili una rangi zaidi ya mbili, mpka Tatu.NO

Humu

Utapata Rangi moja mwili mzima✔
Ngozi ya mwili itang'aa uzurii✔
Itakusaidia mabaka ya mwilini✔
Ngozi itakuwa moisturized✔
Itakukinga dhidi YA mionzi mikali ya Jua (sunscreen) ✔

IWahi Leo, hazikai hizi!!😈
#antidarkspot
#Newthing imekubalika
#Palmers
#Skinsuccess
#Fademilk


Back In stock

Thursday, August 11, 2016

REDUCE UP TO SIX INCHES"....!!WITH ANNCHERRY CORSET

ARE YOU LOOKIN' FOR THAT SEXY BODY BODY? NO.8  KINDA ??? JUS HOLLA #0753482909 AKCLASSIC  #MLIMANI CITY

Thursday, July 28, 2016

STRESSED WITH DARKSPOT??


KAMA MABAKA YANAKUNYIMA RAHA NAOMBA UTAFUTE HIKI KITU KIKIWA KIMEBORESHWA MARA DUFU IVYO NGUVU MARA DUFU!!UZURI WAKE  WATU WOTE KINAWAFAA UWE NA NGOZI YA MAFUTA ,KAVU AMA SENSTIVE. WAHI WAHI KWANI ZIKO CHACHE!! @AKCOSMETICS #0753482909

CUSTOMER'S CHOICE WHICH MADE HEADLINES THIS WEEK!!

HILI NI CHAGUO LA MTU WA #TEAMNATURALHAIR,UMEONA MAMBO HAYO EM CHEKI KWA MAKINI PLEASE VIGEZO NA MASHARTI VILIVYOZINGATIWA!! KWANZAKUNA SHAMPOO KWA AJILI YA KUOSHEA HUO UNYWELE WAKE,KISHA KUNA CONDITIONER TENA ILE LEAVE IN CONDITINER HIVI UNAJUA TOFAUTI YAKE NA ILE YA KUPAKA NA UKAOSHA LINAPOKUJA SWALA LA UNYWELE MATRATRA!!!??(ILO SOMO LINAJITEGEMEA) AYA SASA KISHA KATUPIA KITU CHA JAMAICAN BLACK CASTRO OIL HII NI KWA AJILI,YA NYWELE ZAKE ZIKUE KWA AFYA,ZIJAE VIZURI,ZISIKATIKE KATIKE LAKINI PIA ZISHINEEE!!ENHEE NDIO KISHA AKAMALIZA NA KITU CHA CANTU TWIST & LOCK GEL HAPA NDO NATURAL HAIR INAPOKAMILIKA SASA UKAKUWAJE NA NATURAL HAIR AFU HAZINAMAWIMBI BANA!! HAIWEZEKANI BANA!! MAMBO YOTE YAPO #AK COSMETICS #0753482909.

Wednesday, July 27, 2016

BE A MAN OF CLASSY!! WITH aK COSMETICS

KIND OF PRODUCT A MAN NEEDS!! CLASS PRODUCTS #GILLETE DEODRANT #BBWMENSPRAY #OLDSPICE DEODRANT #NAUTICA

THE POWER OF EXFOLIANT SOAP!!

JE WAJUA?
Sabuni hasa #exfloliantsoap zina nafasi kubwa sana juu ya kushine ama kufubaa kwa Ngozi yako???
NDIOOO SABUNI
Hizi huiandaa ngozi kabla ya kupaka iwe creme ama lotion...Wataalam wa Mambo wanasema ngozi iliyoandaliwa vizuri na Sabuni ina Nafasi nzuri zaidi ya kushine hata kama unapaka kitu cha kawaida kuliko yule ambae hutumii/haoshei ngozi yake na Uso.
Umuhimu Wa Sabuni unakuwa mkubwa zaidi kwa Uso kuliko sehemu yoyote ile ya mwili, Cha muhimu ujue wewe ni aina gani ya Ngozi na utumie Sabuni ya Aina Gani!

Fanya Maamuzi sasa.
#powerofexfoliation
#smoothskin
#mtelezo

More info
Visit us
@ak_classic_cosmetics #0753482909