MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Tuesday, March 12, 2013

>>>JE UNAFAHAMU UMUHIMU WA KUPAKA/KUTUMIA SUN-SCREEN LOTION???

SUNSCREEN AU SUNBLOCK LOTION KAMA WENGI WANAVOZIITA NI LOTION AMBAZO HUPAKWA KUZUIA UKALI WA MIONZI YA JUA KWA MWILI!!JUA LINAPOKUPIGA MOJA MOJA KWA MWILI  HUSABABISHA NGOZI YA JUU(MELANIN) KUFUBAA,HII HUFANYA NGOZI KUWA NA RANGI ZAIDI YA AINA  MOJA(UNEVEN SKIN TONE).MADHARA HUWA MARADUFU KAMA MTU ATAKUWA ANATUMIA BIDHAA AMBAZO ZINABLEACH NGOZI KWANI NGOZI AMBAYO UBAKIA BAADA YA BLEACH HUWA LAINI NA ISIYO NA KINGA ZA KUWEZA KUZUIA MADHARA YA JUA HIVYO NGOZI HII HUONEKANA KUCHOKA,KUFUBAA,NA WAKATI MWINGINE KUTENGENEZA WEKUNDU MARA DUFU ZAIDI!!HIVYO NASISITIZA SANA MATUMIZI YA SUNSCREEN KWANI ZINALINDA NGOZI!!

No comments:

Post a Comment