MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Sunday, March 10, 2013

>>IMEKUWA NI KAWAIDA SASA AK CLASSIC KUWATAMBULISHA VITU VINAVYOFANYA VIZURI AU VIPYA KUTOKA DUNIANI...AYA SASA LEO NAOMBA NIWATAMBULISHE KWENU DEODRANT ZA UKWEE KABISA...

GILLETTE GEL DEODRANT NI DEODRANT TOLEO JIPYA AMBAZO ZIMEKUJA KAMA MBADALA WA ZILE DEODRANT ZA POWDER(NGUMU) AMBAZO TULIKUWA TUMEZIZOEA,HIZI ZINAKUWA NA UMAJI MAJI AMBAO HUKUFANYA UWE MKAVU MUDA WOOOTE!!HIZI NI MAALAUM KWA AJILI YA WANAUME..AYA MASHOST SHEMEJIIII ANUKIE TAFADHALI!!
AYA SASA HII NI KWENU WADADA,HII INAITWA SECRET CLEAR GEL IMENAKSHIWA NA FLAVOUR ZA AINA TOFAUTI,KAMA ILIVYO HIYO YA JUU NA HII NAYO NI GEL,AMBAYO KWANZA HAIWEKI UTANDU KWAPANI,INA HARUFU NZURIII,PIA INAKUFANYA KUWA MKAVUUU HATA UKIVAA NGUO YA MIKONO MIFUPI FULL MACONFIDENCE!!SIJUI UNANGOJA NINI..@AK COSMETICS NDO HABAREEE YA MUJINI!!


No comments:

Post a Comment