MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Wednesday, March 13, 2013

>>>UZEE MWISHO CHALINZE MJINI WOTE BABE BABE!!AYA WALE VIJANA WA ZAMANI MAMBO YETU HAYA HAPA!!

LEO NIMEAMUA KUWAGUSA PIA WALE VIJANA WA ZAMANI WASIJE KUSEMA AK CLASSIC  NI KWA VIJANA WA SASA TU!!HII INAITWA KOLLAGEN INTENSIV NI CREAM AMBAYO IMETENGENEZWA KWA AJILI YA WATU  WENYE UMRI MKUBWA,CREAM HII HUISAIDIA NGOZI KUHARAKISHA MFUMO UNAOCHOCHEA HORMONE ZITOE CELL ASILIA AINA YA  COLLAGEN AMBAZO HUISAIDIA KUIFANYA NGOZI IONEKANE  ILIYOWAMBIKA VIZURI,NYORORO NA ANG'AVU!!HIVYO CREAM HII HUSAIDIA KUPUNGUZA MIKUNJAMANO USONI(WRINKLES),MABAKA MABAKA NA WEKUNDU/WEUSI UNAOZUNGUKA
SEHEMU ZA MACHO (MIWANI).

L'OREAL AGE PERFECT HIZI NI BIDHAA AMBAZO ZINASIFIKA KWA MUDA SASA KWA SWALA ZIMA LA KURUDISHA NGOZI UJANANI!!VIJANA WENGI WA ZAMANI WATAKUWA MASHAHIDI WAZURI WA KAZI KUBWA AMBAYO IMEKUWA IKIFANYA NA L'OREAL PRODUCTS.CREAM HIZI ZIPO ZA AINA MBILI YAANI YA KUPAKA ASBH(DAY) NA YA USIKU (NIGHT).CREAM YA ASBH(DAY) IMEWEKEWA KABISA SUN-BLOCK ILI IWEZE KUKUKINGA NA MIONZI MIKALI YA JUA NA KUIFANYA NGOZI YAKO IONEKANE FRESH NA YAKUPENDEZA!

LAKINI KWANINI L'OREAL AGE PERFECT????INAAMINIKA KUWA BAADA YA MWANAMKE KUACHA KUPATA MZUNGUKO WA KAWAIDA WA MWEZI(MENOPAUSE) NGOZI HUPOTEZA HADI ASILIMIA 30 YA VIRUTUBISHO HII NI KUTOKANA NA KUBADILISHANA KWA MAJUKUMU YA HORMONES..HII HUPELEKEA NGOZI KUWA KAVU SANA,NGUMU NA WAKATI MWINGINE KUTOKEA HATA MBAKA MABAKA!! NDIPO WATAALAM WALIPOKUJA NA LOREAL AGE PERFECT!!

NANI ASIYE IJUA UFANISI NA UBORA WA BIDHAA ZA MARY KAY!!??

MARYKAY TIMEWISE AGE FIGHTING MOISTURIZERS,MARYKAY KWA MUDA MREFU SASA WAMEKUWA WAKITOA BIDHAA MAHSUSI NA PENDWA KWA NGOZI.MARY KAY AGE FIGHTING MOISTURIZER KAMA ZILIVYO ZINGINE PIA HUSAIDIA KUONDOA MIKUNJO MIKONJO YA USONI(WRINKES) NA KUIWAMBA NGOZI IKAONEKANA BADO WAMO...WATAALAM WA MAMBO WANASHAURI SANA UNAPOTAKA MATOKEO MAZURI BASI UTUMUE NA BIDHAA ZAKE ZINGINE KAMA DAY&NIGHT SOLUTION...ZOTE ZINAPATIKANA AK COSMETICS!! SASA UZEE BASI!!

No comments:

Post a Comment