MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, March 11, 2013

>>LEO @AK CLASSIC COSMETICS TULIPATA MGENI AMBAYE ALIKUWA NA PRODUCT ZA UNHWA KUTOKA KOREA!!BAADA YA KUNIELEZEA NIKAWA INTERESTED :-


NI SET NZIMA YENYE CLEANSER,TONER,SERUM NA CREAM!!NI PRODUCTS ZINAZOSADIKIWA KUTENGENEZEWA KWA MIMEA ASILIA!! NI PRODUCTS ZINAZOWEZA KUTUMIWA NA WATU WA  AINA ZOTE ZA NGOZI YAANI KAVU,MAFUTA NA ZILE SENSITIVE KABISA!!

HAPA NI PRODUCTS ZENYEWE BAADA YA KUTOLEWA KWENYE BOX,HUU NI MUONEKANO HALISI!!

HAPA MTAALAM WA PRODUCTS ZA KIKOREA AKIFANYA DEMONSTRATION KWA MTEJA WA AK COSMETICS!!MTEJA HUYU ALITOA FEEDBACK NZURI BAADA YA KUMALIZA INGAWA ILIKUWA SIKU YA KWANZA!!


HAPA MTAALAM WA PRODUCTS ZA UNHWA(MARIZA) AKIWA AMEPOUZI BAADA YA KUMALIZA KAZI YA KUDEMONSTRATE BIDHAA ZAKE!!AYA SASA UKITAKA NA WEWE KUJUA YALIYOMO HUMO UJAGE @AK CLASSIC COSMETICS

No comments:

Post a Comment