MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, March 28, 2013

Hii inatuhusu sie warembo,,nimekataaaaaaa kabisaaaa,naomba usirudie tena!!!

What Was She Thinking? Fashion Fail
 
Hot mama/dada ngozi yako imewaka,unanukia vizuri na mengineyo uwe pia on top of the game.

>>UKIZUNGUMZIA MABAKA/SPOT HASA ZINAZOTOKANA NA CHUNUSI HII PIA IMO KWENYE ORODHA YA ZILE ZINAZOFANYA VIZURI KUYAONDOA!!

INAITWA TERMINATOR 10,KAMA ILIVYO NADINOLA HII PIA HUONDOA MABAKA KWA KIASI KIKUBWA,TOFAUTI YAKE NA NADINOLA NI KWAMBA WAKATI NADIDOLA INAONDOA MABAKA HUKU IKIKUNG'ARISHA BASI TERMINATOR 10 ITAKUACHA KAMA ILIVYOKUKUTA!!

>>JAMANI MSISAHAU ILE #CAMPAIGN YA KUPUNGUA 2013 INAENDELEA...

KAMA ILIVYO ADA,KATIKA SAFARI HII LAZIMA KUWASHIRIKISHA WALE MASWAIBA WATATU ILI KUPATA MATOKEO YA UKWELI NAO NI 1. DIET 2. MAZOEZI 3. KUNYWA MAJI MENGI SAANA!!

Tuesday, March 26, 2013

>>>KWA KAWAIDA BAADA YA KUITUMBUA CHUNUSI MATOKEO YAKE NI MABAKA!!HAYA MABAKA HUARIBU SANA USO!!TUMIA HII:-I

INAITWA NADINOLA!!NI KIBOKO YA MABAKA BAKA NA NGOZI ILIYOFUBAA!ITAKUONDOLEA MABAKA YAKO NA KUKUTENGENEZEA MNG'ARO WA KIPEKEE!!i google basi!!

Monday, March 25, 2013

>>HUU WEUSI WA HIZI SEHEMU USIKUPE TABU!!RELAX!!

DR NI PRODUCT KUTOKA MAREKANI,KAZI YAKE NI KUREKEBISHA SEHEMU ZILIZOSHINDIKANA KWA KUJA NA KUPIGA MSASA,UNAWEZA KUKUTA SEHEMU YOTE YA MWILI NI RANGI MOJA LAKINI UKIANGALIA MAGOTI,VIDOLE VYA MIKONONI RANGI NI TOFAUTI!!

Sunday, March 24, 2013

>>USIZIFICHE STRETCH MARKS!!ZITIBU NA TIBA ZENYEWE HIZI HAPA!!

HII NI TIBA AMBAYO TUMEKUJA NAYO NCHINI SISI WENYEWE WANA AK-CLASSIC,BAADA YA KUFANYA RESEARCH NA KUPATA REVIEWS ZA WALIOITUMIA!!NI MCHANGANYIKO WA UNREFINED SHEA BUTTER KUTOKA GHANA NA BIOIL!!KWA HAKIKA IMEKUWA MSAADA MKUBWA KWA WALE WOTE AMBAO WALIKUWA WAMEKATA TAMAA NA MICHIRIZI ISIYOTIBIKA!!

UKIMGOOGLE  SKINCEPTION ATAKWAMBIA HIVI:-
 • Reduce Stretch Marks By Up to 72.5%
 • Results Beginning in Just 4 Weeks
 • Fades Stretch Marks of Many Origins
 • No More Hiding Under Clothes
 • Industry-Leading 90 Day Guarantee

UKIJARIBU KUMUULIZA GOOGLE DAWA KIBOKO YA MICHIRIZI ANAKULETEA HII!!KWANINI?
 • Visible results in as little as 3 weeks
 • Effective on all types of scars
 • Helps prevent stretch marks from occurring
 • Formulated for both men and women to treat new or existing stretch marks
 • Effective on all skin types of varying color
 • Exclusive SDDS – Sequenced Diffusion Delivery System enhances formula effectiveness
 • Non-greasy, Unscented, Hypoallergenic Formula
 • Risk free 60 day money-back guarantee
 • Made in the USA

HAWA NDIO WABABE WA MICHIRIZI!!MATESO NA AIBU SASA BASI!!
Hapa ni KABLA hajaanza dozi.            Hapa ni week 6 BAADA ya dozi.   Hapa ni miezi 4 baada ya dozi.

>>SIRI YAKE NI...???@AK CLASSIC WANAYO SIRI YAKE!!


Thursday, March 21, 2013

>>SASA UNAWEZA LETEWA BIDHAA ZETU HAPO HAPO ULIPO!!!"hapo hapo ulipo campign!

HAYA SASA WALE MAGWIJI WA VIPODOZI VYA UKWELI KUTOKA MAJUU KUANZIA BIDHAA ZA VICTORIAs SECRET,BBW,BIDHAA ZA NGOZI KAMA DAWA ZA CHUNUSI,STRETCH MARKS,BIDHAA ZA KUKUNG'ARISHA SASA WANAKWAMBIA UNAWEZA PATA BIDHAA ZAO HAPO HAPO ULIPO IWE OFISINI AU NYUMBANI!!!UNAAMBIWA UNALETEWA BIDHAA MPAKA MLANGONI!!TENA BILA GHARAMA ZA ZIADA!!
  CHA KUFANYA:
       1.INGIA KWENYE BLOG YETU (www.akclassic.blogspot.com) CHAGUA BIDHAA UNAYOIPENDA
       2.WAPIGIE KWENYE NAMBA ZAO (0713468393/0753482909) KUPATA MAELEZO YA BIDHAA HUSIKA NA BEI YAKE,TOA ADRESS YAKO KAMILI
       3.BIDHAA UTAKAYOORDER ITAKUFIKIA NDANI YA MASAA 2!!
 


Tuesday, March 19, 2013

>>>JE KILA KITU CHA KUPAKA UKITUMIA KINAKUKATAA??

KWA RESEARCH YANGU NDOGO NIMEGUNDUA KUNA WATU WENGI NGOZI ZAO NI OILY ALAFU SENSITIVE HIVYO MTU WA NAMNA HIYO AKITUMIA KITU KIPYA NGOZI HUREACT!!REACTION HII NI YA KAWAIDA SANA KWA WATU WENGI KWANI BAADA YA MUDA NGOZI HUZOEA NA KUENDELEA KAMA KAWAIDA!!ILA KWA WALE AMBAO HAWAWEZI KUPAKA CHOCHOTE HII MADRE-PERLA HUPAKWA KWA DK. 30 NA BAADAE KUTOLEWA!!IMESAIDIA SANA WALE WENYE NGOZI YA MAFUTA NA WAOGA WA KUPAKA KITU. BASI NAWASHAURI WATUMIE HII KWANI HUPAKWA NA KUOSHWA HAPO HAPO!!PIA INASAIDIA SANA  KUNG'ARISHA NGOZI!

Monday, March 18, 2013

>>>RESEARCH ISIYO RASMI INAONYESHA BIDHAA HIZI ZIMECHAKACHULIWA SANA!!WADAU WA AK CLASSIC WAKANISHAURI NIWALETEE VIWANGOOOO KAMA KAWAIDA YETU!!

THESE LIGHTLY SCENTED FEMININE WIPES ARE SOFT AND MOIST TO HELP YOU FEEL CLEAN ANYTIME OF THE MONTH.MADE WITH SOOTHING NATURAL ALOE AND VITAMIN E,THEY ARE PORTABLE AND CONVINIENT TO USE WHENEVER YOU WANT TO FEEL FRESH AND CLEAN.THEY ARE ALCOHOL FREE AND SUITABLE FOR WOMEN OF ALL AGES.

 FRESH TIMES PANTLINERS  ARE SLIM LINERS SHAPED JUST THE WAY YOU ARE FOR A MORE COMFORTABLE FIT!!

FRESH TIMES ITAKUKAA VIZURI BILA KUJALI UKUBWA  AU UDOGO WA UMBO LAKO!!

>>LEO NIMEKUJA NA KITU KINGINE...WADADA HII NI KWA AJILI YA HUBBY,BOYFRENDO,RAFIKI,SHEMEJI N.K,HIKI KITU NACHO KIKO KATIKA ORODHA YA VITU VINAVYOTIKISA AK COSMETICS!!

KITU KINAITWA LACOSTE BOOSTER KUTOKA KWA MWINGEREZA,AMA KWA HAKIKA KIMETULIAA!!UTAMU WA NGOMA NI KUJARIBU..

Sunday, March 17, 2013

>>CHUNUSI ZINGINE NI CHRONIC!!KILA KITU UKITUMIA KINADUNDA!!

KUNA CHUNUSI ZINGINE MTU ANAKWAMBIA AMESHATUMIA KILA AINA YA DAWA LAKINI HAMNA KITU,JIBU NI RAHISI TU ZIMESHAKUWA CHRONIC!!UKIPAKA DAWA UNAKUWA UNACHEZA RHUMBA JUU JUU TU NDO MAANA ZINADUNDA!!SOLUTION YA CHUNUSI ZA AINA HIYO NI KWENDA KWENYE SOURCE(MIZIZI) NA HII NDIO MAANA YAKE!!

>>>TOP TIGHT HUPUNGUZA UKUBWA WA TUMBO LAKO HADI 25%!!NOW @AK COSMETICS

INAITWA TOP TIGHT AU WENGINE WANAZIJUA KAMA TUMMY TIGHTENING TUNK TOPS,UNAPOIVAA HUPUNGUZA UKUBWA WA TUMBO LAKO KWA KIASI KIKUBWA HUKU IKIKUACHA COMFO KABISA!!HAYA MUKUYE @AK COSMETICS

HAPO NI BAADA YA KUVALIWA!!NADHANI UNAWEZA KUONA JINSI INAVYOFANYA KAZI!!

MAMBO IKO @AK CLASSIC COSMETICS

Thursday, March 14, 2013

>>>Skincare Confessions.......A big part of being a beauty blogger is the process of trial and error. This is how we learn what works and what doesn’t right? It’s basically my job to try out beauty products and tell you how they work. But even at 3 years in the game, I’m not a beauty saint. Even though I know better, I still find myself committing all kinds of skincare sins.

Aaaahhh kwa wale wanaopenda kunukia vizuri siku nzima kazi kwenu,,,!!,

Bodycology Cabo Coconut Fragrance Mist

>>VICTORIAs SECRET KUMBE WAMEFIKA MPAKA HUKU!!DUUUH

MAMBO YA VICTORIA SECRETS HAYO JAMANI USIJE UKAKOSA KUJISEXISHA UKASEMA VIFAA VIKO MBALI!!VIFAA HAPA HAPA @AK CLASSIC COSMETICS

ONE, TWO,ONE TWO MICROPHONE TEST!!LOL

INAHUSIKA SANA JIONI BAADA YA KUMALIZA PILIKA PILIKA ZAJIKONI UNAKOGA,UNAIPIGA HII...SAAAFIIIII!!!AYA ZIMEBAKI CHACHE DUKANI MUWAHI WAHI!!

Wednesday, March 13, 2013

>>>UZEE MWISHO CHALINZE MJINI WOTE BABE BABE!!AYA WALE VIJANA WA ZAMANI MAMBO YETU HAYA HAPA!!

LEO NIMEAMUA KUWAGUSA PIA WALE VIJANA WA ZAMANI WASIJE KUSEMA AK CLASSIC  NI KWA VIJANA WA SASA TU!!HII INAITWA KOLLAGEN INTENSIV NI CREAM AMBAYO IMETENGENEZWA KWA AJILI YA WATU  WENYE UMRI MKUBWA,CREAM HII HUISAIDIA NGOZI KUHARAKISHA MFUMO UNAOCHOCHEA HORMONE ZITOE CELL ASILIA AINA YA  COLLAGEN AMBAZO HUISAIDIA KUIFANYA NGOZI IONEKANE  ILIYOWAMBIKA VIZURI,NYORORO NA ANG'AVU!!HIVYO CREAM HII HUSAIDIA KUPUNGUZA MIKUNJAMANO USONI(WRINKLES),MABAKA MABAKA NA WEKUNDU/WEUSI UNAOZUNGUKA
SEHEMU ZA MACHO (MIWANI).

L'OREAL AGE PERFECT HIZI NI BIDHAA AMBAZO ZINASIFIKA KWA MUDA SASA KWA SWALA ZIMA LA KURUDISHA NGOZI UJANANI!!VIJANA WENGI WA ZAMANI WATAKUWA MASHAHIDI WAZURI WA KAZI KUBWA AMBAYO IMEKUWA IKIFANYA NA L'OREAL PRODUCTS.CREAM HIZI ZIPO ZA AINA MBILI YAANI YA KUPAKA ASBH(DAY) NA YA USIKU (NIGHT).CREAM YA ASBH(DAY) IMEWEKEWA KABISA SUN-BLOCK ILI IWEZE KUKUKINGA NA MIONZI MIKALI YA JUA NA KUIFANYA NGOZI YAKO IONEKANE FRESH NA YAKUPENDEZA!

LAKINI KWANINI L'OREAL AGE PERFECT????INAAMINIKA KUWA BAADA YA MWANAMKE KUACHA KUPATA MZUNGUKO WA KAWAIDA WA MWEZI(MENOPAUSE) NGOZI HUPOTEZA HADI ASILIMIA 30 YA VIRUTUBISHO HII NI KUTOKANA NA KUBADILISHANA KWA MAJUKUMU YA HORMONES..HII HUPELEKEA NGOZI KUWA KAVU SANA,NGUMU NA WAKATI MWINGINE KUTOKEA HATA MBAKA MABAKA!! NDIPO WATAALAM WALIPOKUJA NA LOREAL AGE PERFECT!!

NANI ASIYE IJUA UFANISI NA UBORA WA BIDHAA ZA MARY KAY!!??

MARYKAY TIMEWISE AGE FIGHTING MOISTURIZERS,MARYKAY KWA MUDA MREFU SASA WAMEKUWA WAKITOA BIDHAA MAHSUSI NA PENDWA KWA NGOZI.MARY KAY AGE FIGHTING MOISTURIZER KAMA ZILIVYO ZINGINE PIA HUSAIDIA KUONDOA MIKUNJO MIKONJO YA USONI(WRINKES) NA KUIWAMBA NGOZI IKAONEKANA BADO WAMO...WATAALAM WA MAMBO WANASHAURI SANA UNAPOTAKA MATOKEO MAZURI BASI UTUMUE NA BIDHAA ZAKE ZINGINE KAMA DAY&NIGHT SOLUTION...ZOTE ZINAPATIKANA AK COSMETICS!! SASA UZEE BASI!!

Tuesday, March 12, 2013

>>>JE UNAFAHAMU UMUHIMU WA KUPAKA/KUTUMIA SUN-SCREEN LOTION???

SUNSCREEN AU SUNBLOCK LOTION KAMA WENGI WANAVOZIITA NI LOTION AMBAZO HUPAKWA KUZUIA UKALI WA MIONZI YA JUA KWA MWILI!!JUA LINAPOKUPIGA MOJA MOJA KWA MWILI  HUSABABISHA NGOZI YA JUU(MELANIN) KUFUBAA,HII HUFANYA NGOZI KUWA NA RANGI ZAIDI YA AINA  MOJA(UNEVEN SKIN TONE).MADHARA HUWA MARADUFU KAMA MTU ATAKUWA ANATUMIA BIDHAA AMBAZO ZINABLEACH NGOZI KWANI NGOZI AMBAYO UBAKIA BAADA YA BLEACH HUWA LAINI NA ISIYO NA KINGA ZA KUWEZA KUZUIA MADHARA YA JUA HIVYO NGOZI HII HUONEKANA KUCHOKA,KUFUBAA,NA WAKATI MWINGINE KUTENGENEZA WEKUNDU MARA DUFU ZAIDI!!HIVYO NASISITIZA SANA MATUMIZI YA SUNSCREEN KWANI ZINALINDA NGOZI!!

Monday, March 11, 2013

>>LEO @AK CLASSIC COSMETICS TULIPATA MGENI AMBAYE ALIKUWA NA PRODUCT ZA UNHWA KUTOKA KOREA!!BAADA YA KUNIELEZEA NIKAWA INTERESTED :-


NI SET NZIMA YENYE CLEANSER,TONER,SERUM NA CREAM!!NI PRODUCTS ZINAZOSADIKIWA KUTENGENEZEWA KWA MIMEA ASILIA!! NI PRODUCTS ZINAZOWEZA KUTUMIWA NA WATU WA  AINA ZOTE ZA NGOZI YAANI KAVU,MAFUTA NA ZILE SENSITIVE KABISA!!

HAPA NI PRODUCTS ZENYEWE BAADA YA KUTOLEWA KWENYE BOX,HUU NI MUONEKANO HALISI!!

HAPA MTAALAM WA PRODUCTS ZA KIKOREA AKIFANYA DEMONSTRATION KWA MTEJA WA AK COSMETICS!!MTEJA HUYU ALITOA FEEDBACK NZURI BAADA YA KUMALIZA INGAWA ILIKUWA SIKU YA KWANZA!!


HAPA MTAALAM WA PRODUCTS ZA UNHWA(MARIZA) AKIWA AMEPOUZI BAADA YA KUMALIZA KAZI YA KUDEMONSTRATE BIDHAA ZAKE!!AYA SASA UKITAKA NA WEWE KUJUA YALIYOMO HUMO UJAGE @AK CLASSIC COSMETICS

Sunday, March 10, 2013

>>>KAMA NI MDADA MSHAURI HUBBY,B/F,BROTHER AU RAFIKI YAKO WA KIUME YOYOTE AUTUMIE HUU UNYUNYU!!

WANAUMEEEE!!HICHI KITU KINAITWA VERSACE,AISEE NI NOMAA,UKIKIPILIZIA UKAINGIA MTAANI YAANI WEE UNASHIA KUPATA COMPLIMENTS KUTOKA KWA .....,"u smell guuud"!WHAT ELSE DO U WANT FROM THIS WORLD GUYS? MAUJANJA HAYO!!

>>WALE NDUGU ZANGU WENYE NGOZI KAVU NAZIDI KUINGIA DEEP KUHUSU VITU GANI MNAWEZA TUMIA...HII HAPA NAYO INAWAHUSU!!

KITU COCOA BUTTER KAMA ILIVYO SHEA BUTTER INAPOKUJA KWENYE NGOZI WANAHUSIKA SANA,SASA HII COCOA INAPOWAKUTA WATAALAM WA KUIUNGA LAZIMA UKIITUMIA UPATE MAJIBU MAZURI LABDA WEWE UWE NA ALLEGY NA COCOA,KAMA HUONI MATOKEO BASI UJUE WAUNGAJI WAMECHAKACHUA NDO ZILE COCOA ZA JIRANI ZETUs.SASA HII INA MCHANGANYIKO WA SHEA BUTTER,BETA HYDROXY NA ALPHA!!EM NAMBIE HAPO!!

WANAUME NAO WAMEKUWA WAKILALAMIKA NAPENDELEA UPANDE MMOJA HAYA SASA HII NI KWA AJILI YENU,MAMBO YA NIVEA LAKINI HII YA KWA OBAMA AISEE,KAMA UNA NGOZI KAVUUUUU,ILETE AK CLASSIC TUKUONYESHE!!

>>IMEKUWA NI KAWAIDA SASA AK CLASSIC KUWATAMBULISHA VITU VINAVYOFANYA VIZURI AU VIPYA KUTOKA DUNIANI...AYA SASA LEO NAOMBA NIWATAMBULISHE KWENU DEODRANT ZA UKWEE KABISA...

GILLETTE GEL DEODRANT NI DEODRANT TOLEO JIPYA AMBAZO ZIMEKUJA KAMA MBADALA WA ZILE DEODRANT ZA POWDER(NGUMU) AMBAZO TULIKUWA TUMEZIZOEA,HIZI ZINAKUWA NA UMAJI MAJI AMBAO HUKUFANYA UWE MKAVU MUDA WOOOTE!!HIZI NI MAALAUM KWA AJILI YA WANAUME..AYA MASHOST SHEMEJIIII ANUKIE TAFADHALI!!
AYA SASA HII NI KWENU WADADA,HII INAITWA SECRET CLEAR GEL IMENAKSHIWA NA FLAVOUR ZA AINA TOFAUTI,KAMA ILIVYO HIYO YA JUU NA HII NAYO NI GEL,AMBAYO KWANZA HAIWEKI UTANDU KWAPANI,INA HARUFU NZURIII,PIA INAKUFANYA KUWA MKAVUUU HATA UKIVAA NGUO YA MIKONO MIFUPI FULL MACONFIDENCE!!SIJUI UNANGOJA NINI..@AK COSMETICS NDO HABAREEE YA MUJINI!!


Thursday, March 7, 2013

>>>KAMA HUJAWAHI KUITUMIA BIOIL BASI USHAISKIA,SIFA ZAKE ZIDISHA *2 UNAPATA HII!!

PALMERS SKIN THERAPY OIL NI MAFUTA AMBAYO YANAWEZA KUTUMIWA MWILI MZIMA PAMOJA NA USO.MAFUTA HAYA YANA cetesomate AMBAYO HUPENYA KATIKA NGOZI NA KUISADIA NGOZI KUPUNGUZA MAKOVU,UKAVU,KUIREJESHA NGOZI ILIYOHARIBIKA NA KUZEEKA NA KUIFANYA IWE RANGI MOJA KUONDOA MICHIRIZI NA MIKUNJO!!

Wednesday, March 6, 2013

>>>WALE WENZANGU NAMIE WAOGA WA VIDONGE ,SLIM TEA ZIPO @AK CLASSIC COSMETICS!!

ULTRA SLIM TEA NI MIONGONI MWA MAJANI YANAYOFANYA KAZI UZURI SANA YAKIFUATISHWA MASHARTI YAKE KWA UFASAHA,MASHARTI HAYO WALA SI MAGUMU,TENA KUKURAHISISHIA KATIKA HII PACT UMEWEKEWA FULL MENU JINSI YA KULA,NINI NA NINI NA WAKATI GANI!!

BIBIE SARAH YEYE NI MDAU MKUBWA WA AK CLASSIC,UNAVYOMUONA AKING'ARA HIYO NI KAZI YA BIDHAA ZETU...>>YEYE PIA AMAKUWA AKITUMIA ULTRA SLIM TEA NA BADO ANAENDELEA LAKINI HAJUTII MAAMUZI YAKE KWANI MATOKEO ANAYAONA SASA!!

KAMA UNAVYOMUONA SARAH MATOKEO HAYOOOOOOOOO TARAAATIIIIBUU!!HATA ROME HAIKUJENGWA KWA SIKU MOJA!!KANYAGA TWENDE MAMA!!