MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, December 30, 2013

>>>THE BEUTY TRANSFORMATION!! THIS IS HOW WE DO @AK CLASSIC COSMETICS!!

NDANI YA AKCLASSIC UTAPATA LIPSTICK ZENYE VIWANGO VYA HALI YA JUU LAKINI KWA BEI ZA KITANZANIA!!

MWIGIZAJI MAARAFU MONALISA AKIWA AMETOKELEZEA BAADA YA KUTUPIA MADINI YA AKCLASSIC KAMA YA NAVYOONEKANA KATIKATI!! #LOREAL POWDER + #NKLIPSTICK.

Sunday, December 29, 2013

>>>>WEEK HII TULIKUWA NA SHINDANO SIMPLE TU AMBALO LILIKUWA LINAHITAJI UFUNGUKE CHOCHOTE KUHUSU AKCLASSIC,WASHINDI WAWILI WALIJISHINDIA SET YA VICTORIAS SECRET NA BATH AND BODY WORKS.

SET YA VICTORIAS SECRETS ILIYOKUWA INASHINDANIWA NI HII.NDANI KUNA SPLASH YA PURE SEUCTION,BODYCREAM NA SHOWERGEL YAKE

SET YA BATH AND BODY WORKS ILIYOKUWA INASHINDANIWA NI HII..

MAMBO YA ZAWADI HAYOOO!

SHINDANO LILIFANYIKIA  KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM & FACEBOOK AMBAPO HUYU NI MMOJA WA MSHINDI AMBAYE ALISHIANDIKA VIZURIIII KHS AKCLASSIC NA BIDHAA ZETU.UNATAKA KUONA ALIANDIKA NINI?FOLLOW US @AK_CLASSIC_COSMETICS ON INSTAGRAM

MSHINDI WA PILI ALIKUWANI ROSE CHITTALLAH NAE KAMA MWENZIE PAULINE ALIANDIKA VIZURI SANA KHS #AKCLASSIC KWENYE MTANDAO WA INSTA... UKITAKA KUONA NINI KILICHOANDIKA PLZ FOLLOW US @AK_CLASSIC_COSMETICS.

Monday, December 9, 2013

>>VICTORIAs SECRET'S LAUNDRY SOAP NOW AVAILABLE @AKCLASSIC

SABUNI MAALUM KWA AJILI YA ZILE NGUO ZAKO MUHIMU MUHIMU KUPINDUKIA!!,ILE HABARI YA KUFUA NANIINO AFU UNATAFUTA PERFUM UZIPULIZIE SASA HATA HUITAJI TENA KUFANYA IVOO,KITU IKI HAPA UKIFULIA TU PERFUM TOSHA HAITOKI MPK UTAKAPOFUA TENA!!YAAANI RAAHA!!DAAH

>>VICTORIAs SECRET'S HANDBAG NOW AVAILABLE @AKCLASSIC

UKITAKA UNAWEZA KUJIPATIAKITU KIKIWA NA FULL SET YA VICTORIAS SECRET SET YENYE LOTION,SHOWERGEL NA BODYMIST,KAMA HUTAKI UNACHUKUA PEKE AKE...

Thursday, December 5, 2013

>>>NDIOO!! WAKATI UNALALA WENGINE WANAAAMKA...HII NI KWA AJILI YAO

USIHANGAIKE MAISHA YAMERAHISHWA SANA AISEEE!!!

>>THE SUPPLIMENTS FOR YOUR ATTRACTIVE HAIR,NAIL & SKIN @AK CLASSIC

HII LIFESTYLE YETU YA KIDIGITAL IMECHAKACHULIWA SANA,HATA MISOSI NI YA KIDIGITAL TU MATOKEO YAKE MWILI HAUPATI VIRUTUBISHO VINAVYOTAKIWA KWA AJILI YA KUWEKA NGOZI,KUCHA NA HATA NYWELE SAFII!!WEE UNAKUWA UNAINGIZA JUNKS FOOD TU..HII INASABABISHA NGOZI INAKAKAMAA KWA SABABU MWILI HAUPATI VITAMIN HUSUKA KWA AJILI YA KURUTUBISHA NGOZI NA VINGINEVYO!!KWAHIYO IZI SUPPLIMENTS ZINAKUJA KUWEKA MAMBO SAWA NA KUKUPA VIRUTUBISHO MWILI VINAVYOKOSEKANA!!MATOKEO YAKE NGOZI,KUCHA NA NWELE A+++ YAANI BAB KUBWA!!

Tuesday, December 3, 2013

>>aARE YOU LOOKING FOR CURE FOR STRETCH MARKS?THIS IS SKINCEPTION:

HIKI NDICHO SKINCEPTION INACHOWEZA KUFANYA NDANI YA MUDA WA WEEK 6-8, NJOO UTUONE TUKUPE SULUHISHO LA MATATIZO YAKO!

#SENSUAL AMBER FULL SET @AK CLASSIC COSMETICS~!!

KITU KIMETIMIA ICHO KUANZIA BODY LOTION,SPLASH,PERFUM,BODYCREAM,SHOWERGEL MPK BODYBUTTER!!

Sunday, December 1, 2013

NAOMA NIWATAMBULISHE BONUS CARDS ZETU!!SASA UNAWEZA JIPATIA ZAWADI..

KILA UNAPOKUJA @AKCLASSIC UNAPATA PUNCH ZIPOTIMIA PUNCH TIME UNAJIPATIA ZAWADI KIULAINIIII!!KARIBUNI SANA

Thursday, November 28, 2013

>>>WHICH ONE IS YOUR FAVOURITE FROM AVON?

AVON WANASIFIKA KWA KUWA NA PERFUMES NZURI ALAFU ZINAZOLAST KWA MUDA MREFU KIDOOGO!! UNAAMBIWA THE OLD IS GOLD!! AVON AMEKUWEPO TOKA MIAKA IYOO LAKINI HAJACHUJA WALA NINI!!

>>THE BEST ACNE TREATMENT PROACTIV SOLUTION NOW AVAILABLE @AK CLASSIC!!

KATI YA TIBA ZA CHUNUSI AMBAZO ZINASIFIKA NA KUTAFUTWA KILA MAHALI TOKA ENZI IZO BASI NI HII.INAFANYA KAZI NZURI SANA LINAPOKUJA SWALA LA KUSAFISHA ,KUTONE KISHA LOTION YAKE AMBAYO NDO INACT KAMA TIBA UNAPOIPAKA.PACKAGE HII INA BONUS PACK YA MUSK BUREEE KABISA.USHINDWE WEWE TU.

Wednesday, November 27, 2013

>>>HIKI NDICHO INACHOWEZA KUFANYA MAXIPEEL...(MAAJABU YA MAXI PEEL)

HII SET INAJUMUISHA VITU VITATU: SABUNI- KWA AJILI YA KUONDOA VUMBI,UCHAFU,NA KUNYONYA MAFUTA,LAKINI PIA ZAIDI HUSAIDIA KUFUNGUA VILE VINYWELEO ILI NGOZI IWEZE KUPUMUA VIZURI ZAIDI,SERUM- HII NI KWA AJILI YA KUONDOA MABAKA NA KUIFANYA NGOZI KUWA RANGI MOJA NA MWISHO NI SUNSCREEN AMBAYO HII HUSAIDIA KUKINGA /KUZUIA MIONZI YA JUA.

>>>ZAWADI SI MPKA BIRTHDAY YAKE JAMANI...MSUPRISE ILI NAE AKUSUPRISEE!! MADINI NDO HAYA HAPA...Tuesday, November 26, 2013

>>NAOMBA KUSHARE NAMIE NACHOTUMIA MAANA MASWALI MENGIII NAULIZWA!!

WAKATI MWINGINE KUMBE UNATAKIWA UONYESHE MFANO!!BAADA YA MASWALI KUWA MENGI NAOMBA NISHARE SIRI YA KANGOZI KANGU...AISEE  HII SABUNI IKO VIZURI SANA KWA WALE WENZANGU NAMIE TULIO NA NGOZI ZA MAFUTA MAFUTA,YAANI INAKAUSHA MAFUTA VIBAYA MUNOOO,THEN BAADA YA HAPO NATUPIA KITU CHA Q10 NIVEA AISEE HII RAHA UIPATE ORIGINAL,BAADA YA HAPO NI KUAHKIKISHA LITRE MBILI ZINAKATIKA KWA SIKU.MAJI MAJI MAJI MAJI MAJI MUHIMU SANA ASIKWAMBIE MUTU.