HII INAITWA OBAGI(OBAJI)BY Dr. Obagi from USA no. 1 CERTIFIED SKIN LIGHTENING PRODUCT SET. |
HII INAITWA CELABRIGHT SKIN LIGHTENING HAINA hydroquinine LAKINI SHUGHULI YAKE BAB KUBWA!! |
CELABRIGHT IKIWA IMECHONGA BARA BARA...HII NDIO KAZI YA LIGHTENING PRODUCTS!! |
ANNA FEELING THE CELABRIGHT!! |
HII YAITWA SO WHITE by FAIR AND WHITE from FRANCE habari yake nayo NTAWAPA!! |
HIZI SASA NDO ZILE PRODUCTS ZA BRIGHTENING,HIZI HAZINA MAKUU KAZI YAKE NI KUING'ARISHA COLOUR YAKO NA KUICHA KAMA ILIVYOOO!!Kama vile tunsvypogiga KIWI kwenye ndula zetu ZANG'ARA TU!! |
HUMO KUNA MADINI YA DEAD SEA KUICHA NGOZI YAKO IBAKI KITOTO TOTO NA VITAMIN C. |
HII NDO INAKAMILISHA SET,PEMBENI NI SERUM AMBAYO NI KAMA CATALYST YAKE..Ukivitumia pamoja matokeo yanakuwa SUPERB!! |
KAMA ILIVYOKAWAIDA YA NGOZI ZA MAFUTA SANA,HUWA ZINAINGILIWA NA CHUNUSI MABAKA,SASA HII INAONDOA MABAKA NA KUIACHA NGOZI YAKO IKING'ARA!!HII PIA NI BRIGHTENING CREAM mwendo wa kung'arisha tu basi!! |
No comments:
Post a Comment