MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Wednesday, September 12, 2012

>>>SIKU ZOTE UNAPOPAKA MAKEUP HAKIKISHA UNATUMIA "MAKE-UP REMOVER" KUZITOA KWANI UTAFITI UNAONYESHA KULALA NA MAKEUP KUNAHARIBU USO NA KUSABABISHA CHUNUSI KWA ASILIMIA KUBWA!!

Make-up remover from Olay zinapatikana @AK cosmetics

Makeup remover kutoka E.L.F zipo pia @AK cosmetics

Hii ni 2 in 1 cleanser na pia ni make-up remover
***Kwa wale wanaojirusha hadi night kali hizo "Make-up Cleansing Cloths must have",nani anataka kunawa uso night kali?hiyo ipo ready to go***.

No comments:

Post a Comment