MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Saturday, October 17, 2015

HEALTH HAIR TIPS FROM #AKCLASSIC

MOJA YA MAMBO TUNAYOYAFANYA EITHER KWA KUTOKUJUA AU KUJUA NI KULALIA MITO YA COTTON HUKU TUKITEGEMEA MAMBO YA NYWELE KUWA SAWA!! PAMOJA NA UZURI WAKE WOTE (COTTON) WATAALAM WA MAMBO WANASEMA LINAPOKUJA SWALA LA NYWELE AISEEE WEKA MBALI NA KICHWA KWANI HUSAIDIA NYWELE KUKATIKA KATIKA...SO KUZUIA HII HALI UNASHAURIWA KUTUMIA MITO YA VITAMBAA VYA MATERIAL YA SATIN AMA LAH ULALIE COTTON SAWAAA ILA KICHWANI UVAE SLEEP CAP YA MATERIAL YA SATIN KAMA ILIVYO KWA PICHA!!KOFIA HIZI MBALI NA KULINDA NYWELE ZAKO PIA ZITAKUONGZEA MNG'AO PILA KUZIFANYA ZIWE NA UNYEVU UNYEVU...KOFIA HIZI ZINAPATIKANA #AK CLASSIC COSMETICS #O753482909. KITU MUHIMU AMBACHO HAUSHAURIWI KUFANYA INGAWA NDIO TUMESHAZOEA NI PALE UNAPOMALIZA KUOSHA NYWELE UKAFUTA NYWELE NA TAULO AISEEE HILI NI KOSA LA JINAI LINOKUJA SWALA LA KUITUNZA NYWELE YAKO!!!!

Wednesday, October 14, 2015

LADIES MOST WANTED 2015 BODY CREAM!!

WIDELY KNOWN AS QUEEN ELIZABETH COCOA BUTTER MADE IN IVORY COAST BUT LARGELY IMPORTEDD FROM UK.....IN TANZANIA ITS NUMBER ONE LADIES CHOICE WHEN IT COMES TO BODY CREAM!!WE GOT IT @AK CLASSIC COSMETICS STORE #MLIMANI CITY & KINONDONI MANYANYA? YOU WANNA KNOW WHAT IT DOES? CHECK MY PREVIOUS POST!

LOOKING FOR OVERSWEATING PROBLEM???

GUYS NILIWAHI KUSEMA HAPA... NA LEO NAOMBA NIRUDIE KAMA UNA TATIZO LA KUSWEAT KULIKO PITILIZA KUSIKO KUWA KWA KAWAIDA SASA KUNAWEZA KUWA HISTORIA...MREJESHO WA HII KITU KUTOKA KWA WATEJA WANAGU WANAOTUMIA HII KITU NI AMAIZING...KILA MTU ANAAPRECIATE HAKUNA ALIYEKUWA DISPOINTED NA HII!! INAITWA #ABSOLUTORR KUTOKA SWEDEN NI DEODRANT YA MAAJABU!!