MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Saturday, October 17, 2015

HEALTH HAIR TIPS FROM #AKCLASSIC

MOJA YA MAMBO TUNAYOYAFANYA EITHER KWA KUTOKUJUA AU KUJUA NI KULALIA MITO YA COTTON HUKU TUKITEGEMEA MAMBO YA NYWELE KUWA SAWA!! PAMOJA NA UZURI WAKE WOTE (COTTON) WATAALAM WA MAMBO WANASEMA LINAPOKUJA SWALA LA NYWELE AISEEE WEKA MBALI NA KICHWA KWANI HUSAIDIA NYWELE KUKATIKA KATIKA...SO KUZUIA HII HALI UNASHAURIWA KUTUMIA MITO YA VITAMBAA VYA MATERIAL YA SATIN AMA LAH ULALIE COTTON SAWAAA ILA KICHWANI UVAE SLEEP CAP YA MATERIAL YA SATIN KAMA ILIVYO KWA PICHA!!KOFIA HIZI MBALI NA KULINDA NYWELE ZAKO PIA ZITAKUONGZEA MNG'AO PILA KUZIFANYA ZIWE NA UNYEVU UNYEVU...KOFIA HIZI ZINAPATIKANA #AK CLASSIC COSMETICS #O753482909. KITU MUHIMU AMBACHO HAUSHAURIWI KUFANYA INGAWA NDIO TUMESHAZOEA NI PALE UNAPOMALIZA KUOSHA NYWELE UKAFUTA NYWELE NA TAULO AISEEE HILI NI KOSA LA JINAI LINOKUJA SWALA LA KUITUNZA NYWELE YAKO!!!!

No comments:

Post a Comment