MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, November 12, 2015

KIMYA KINGI KINA MSHINDO,MADINI MAPYAAA NDANI YA #AKCLASSIC!!!!

WALE MLIOKUWA MMEMISS SIZE ZENU #WAISTTRAINER SASA ZIMEFIKAA!!MKUYE MKUYE #AKCLASSIC MAANA KUNA SIZE ZIKO CHACHE...!!

MTOTO WA KIKE SHURTI UNUKIE TENA UNUKIE VITU VYA UKWELI BIBIE!!

ILE HABARI YA MUJINI NAYO IMETINGA TENA SAFARI HII IKIWA FULL SET YAANI KUANZIA YA KUOGEA,LOTION,SPLASH,BODY CREME NA PERFUM, KAMA HUJATUMIA HII UNAPITWA SANA,, RAHA YA NGOMA UINGIE UCHEZE!!

ENHEEEEE KINA RIHANA HAOOO!!MLIOKUWA MNAWAULIZIA MUWAHI WAHI WAPO WACHACHE SANA!!

MAMBO MAPYA KUTOKA VICTORIA SECRET HAPA BONGO  UTAYAPATA @AK CLASSIC TU!!

NILISHAWAHI KUSEMA HUMU NARUDIA TENA,MAAJABU YA MAFUTA YA ARGAN OIL KAMA HUJAWAHI KUYASHUHUDIA IWE KWA MWILINI AU KWENYE UNYWELE BASI UNACHELEWA SANA!! HII NDIO CERTIFIED ARGAN OIL KUTOKA MORROCO HAWA CREME OF NATURE WAO WAMEAMUA KUITUMIA KUSPECIALIZE KWENYE NYWELE...SHUGHULI YAKE SASA?NJOO #AKCLASSIC

IF YOU ARE MAD ABOUT SOMEONE THIS IS THE TIME TO SHOW HIM/HER BY ACTION!!LOL

NEW SCENT IN TOWN....VICTORIA SECRET WAMEKUJA UPYAAAAAAAA SAFARI HII NI MWONEKANO,CHUPA IMEBADILIKA KABISA SASA UWAHI KUJA KUSHUHUDIA USIJE UKAKUTANA NAO UKASEMA FEKI!!

VICTORIA SECRET LIPGLOSS JIRAMBEEEEEEE!

AYA SASA VICTORIA SECRET WAMETOA VIPORTABLE PERFUM KWA WALE WAVIVU KUBEBA MACHUPA MAKUBWAA...KITU VERY PORTABLE AFU UNAGUSAA TU KITU KINANUKIAJE SASA!!

KAZI YETU NI KUPICK ZILE BIDHAA AMBAZO ZINAFANYA VIZURI SANA,MFANO MZURI UTAONA KATIKA HII LIST YA HIZI PALMERS,HIZI NI KATI YA BIDHAA ZA PALMERS ZINAZOFANYA VIZURU SANA KWENYE NGOZI KUTOKA PALMERS!! HIZI ZOTE UTAZIPATA KWETU

HIZI NI MAALUM KWA WAPENDWA WANGU WOTE WANYE NYWELE ZINAZOKATIKA KATIKA HASA MWISHONI,NYWELE KAVUUU MNOO MPAKA UNASHINDWA KUCHANA KWA AMANI HIZI ZITAWAFAA SANA KWANI ZITAWASAIDIA KUTATUA MATATIZO YENU HAYO YOTEEE NA KUZIACHA NYWELE LAINI ,NYORORO NA ZINAZOSHIINE...!!!

No comments:

Post a Comment