MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, September 30, 2013

WITH US UR FACE & SKIN WILL ALWAYS BE SHINING!!

AK CLASSIC GIVES U A VARIETY OF OPTIONS ON WHAT YOU SHOULD APPLY ON YOUR FACE AND BODY. IF YOUR LOOKING ONLY FOR A FRESH,GLOWING SKIN AND YOU HAVE  VERY OIL SKIN OTENTIKA CREME TUBE IS THE BEST CHOICE YOU CAN APPLY ON YOUR FACE

>>>VICTORIAS SECRET MAKE UP PRIMER &SETTING SPRAY @AK CLASSIC COSMETICS!!

KUNA WAKATI UNAPAKA MAKE UP BAADA YA NUSU SAA KILA KITU KINAYEYUKA KAMA VILE HUJAPAKA KITU!!SASA ILI MAKE UP IKUKAE VIZURI BIBIE UNAHITAJI HII KITU KWANI HUFANYA MAKE UP IDUMU SIKU NZIMA NA SI KUDUMU TU BALI KUKUACHA NA MNG'AO MADHUBUTI MAKEUP INAKUWA INAONEKANA KAMA NDO INATOKA KUPAKWA!!

Friday, September 27, 2013

>>>Si unajua tena ngozi nyingine ni za majaribio...kila kitu kinakataa......Get rid of old scars--
Eat food with collagen such as tendons in beef. Eat yogurt to heal and beautify skin. Drink juice from fresh coconuts daily for 30-60 days without skipping to prevent pimples or acne the next 20-30 yrs.
Apply extra virgin olive oil or fresh aloe Vera for any skin redness or rash.
Use fresh lime or lemon juice to lighten dark skin. Use it twice first week the daily after that. Or get Trader Joe's soy sauce or any Japanese soy sauce that used the Honjozo brewing fermenting which produced kojic acid. The soy sauce is cheap. Apply thin layer, let it stay few hrs, wash off. Use daily. It peels skin few times a wk until skin is lightened.
NOTE: must avoid the sun and heat few months during and after skin treatment.

Thursday, September 26, 2013

>>>DERMABRUSH ADVANCED CLEANSING SYSTEM @AK CLASSIC COSMETICS

DERMABRUSH ADVANCED CLEANSING SYSTEM IT SKIN YOUR SKIN AND RESULT IN YONGER LOOKING SKIN BY GENTLE EXFOLIATION.INSIDE YOU WILL FIND 1.FACIAL BRUSH 2.BODY BRUSH 3.PUMICE STONE AND 4. SPONGE.

Wednesday, September 25, 2013

RiRi Hearts MAC: RiRi Woo & Nude Lipsticks

rihanna-mac-makeup-gallery-1
I have two lipsticks from the RiRi Hearts MAC Collection- Nude and RiRi Woo. Nude is described as a cool matte cream. It is quite dark nude shade that has a lot of brown tones in it. It’s described as matte, but I feel like it has a bit of a satin sheen to it.

RiRi Woo is a matte cool red, and is called a retro matte formula. I feel like this is a bit drier than most matte formulas, and that could mean that the wear is even longer than normal. This color came out earlier this year, but not in this gorgeous rose gold packaging. The lipstick packaging is probably my favorite in this collection, I absolutely love rose gold and MAC really made this collection beautiful with it. The lipsticks also have Rihanna’s signature embedded into them on the sides, to add to the awesomeness :)

Trending Again? Rihanna Wears Blue Lipstick

Rihanna Wears Blue Lipstick

Monday, September 23, 2013

Saturday, September 21, 2013

>>>Makeup tips to help you make use of your favorite makeup brands

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
  1. Mind the Undertones: Whether you’re using Iman, CoverGirl, Avon or any other brand, the first thing you need to keep in mind is the undertones of your skin. This is one of the important  makeup tips that many women are unaware of. If you know your undertones, you will be able to determine which colors suit you best. For example, if you have cool undertones, you will be able to easily pull off blue shades of makeup.
  2.  Find Flawless Foundation: While selecting your foundation, make sure that it suits your skin tone best. Some  makeup tips mention that you can use two different shades of foundation that match your darker and lighter areas best. However, you can find foundation shades from big names like Molton Brown that will suit your whole face.

Thursday, September 19, 2013

>>>WARNING:- IF YOU DON'T TAKE CARE OF YOUR MAN, SOMEONE SOMEWHERE WILL HELP YOU!!!

MAMBO YA UKWELI KWA HUB HUBBY'S/BOYFRENDOO ZENU HAYA HAPA JAMANI,USIJE UKAMWACHA AKATUMIA FAKE FAKE MAANA NGOZI YAKE IKIWA KWENYE MSTARI NDIO RAHA YAKO PIA!!

Wednesday, September 18, 2013

>>SH.18 SUISSE KITU KIPYA KINACHOKUJA KWA KASI SANA!!

JE UNATAKA NGOZI YAKO ISHINE?? BASI KAZI WAACHIE AK CLASSIC WANAJUA NINI KINAFANYA NINI!!AYA HII SASA NI INGINE TENA KUTOKA KWA OBAMA KWA WALE WANAOTAKA KUPIGA MSASA NGOZI ZAO INAITWA SH. 18!!UNAPATA SABUNI NA LOTION MAMBO YANAKUWA MSWANOOOO!!

Tuesday, September 17, 2013

>>>THE JUNK FOOD YOU EAT IS THE RESULT OF YOUR TODAY'S LOOK!! DO SOMETHING:-

>>>JE WAJUA??VYAKULA TUNAVYOKULA SASA HAVITUPI VIRUTUBISHO VYOTE MIILI YETU INAYOHITAJI ILI TUWE NA NGOZI,KUCHA NA NYWELE ZENYE MVUTO NA KUPENDEZA??NDIO MANA TUNAHITAJI SUPPLIMENTS ILI KUJAZILISHIA PALE TULIPOKOSA VILE VIRUTUBISHO FLANI KWA AJILI YA KUWEKA NGOZI,NYWELE AU HATA KUCHA SAWA!!

Monday, September 16, 2013

>>>KUNA WAKATI UNATUMIA CREME INAKUTOA WEKUNDU/WEUSI SEHEMU ZA KARIBIA NA MACHO!!?

LILE TATIZO LA KUUNGUA SEHEMU ZA KARIBIA NA MACHONI AMBALO LIMEKUWA LIKIWATOKEA HASA WALE WANAOTUMIA CREME KALI SASA TIBA IMEPATIKANA!!! TEA TRE OIL NDO KIBOKO YAO.

DO YOU WANT YOUR SKIN TO BE CLEAR & SMOOTH?

CLEAR AND SMOOTH NI CREME AMBAYO INAKUJA SANA JUU KWA SANA!!KAMA MNAVYOJUA UMUHIMU WA VITAMIN E INAPOKUJA MWILINI BASI HUFANYA NGOZI IWE LAINI NA NYORORO,ZAIDI NA ZAIDI UNAPOITUMIA HUITAJI KUANGAIKA KUHUSU KUTUMIA SUNSCREEN KWANI IMEWEKWA NDANI KWA NDANI!!wewe tu!!

Thursday, September 12, 2013

>>KINGINE CHA KUTOA MABAKA KUTOKA #AK CLASSIC COSMETICS,EXTREMEBRITE ACNE SPOT REMOVER!!

THIS FABULOUS CREAM ELIMINATES THE ACNE AND BLACK SPOTS ON THE SKINS WITH FFFATTY TENDENCY AND PREVENTS THEIR DEVOLOPMENT WITH A REGULAR APPLICATION.IT NORMALIZE THE SKIN,REFINES PORES AND GIVES A MATTLE ASPECT.

Wednesday, September 11, 2013

>>>HIZI LIPGLOSS NI SPECIAL KWA WALE WANAOVUTA SIGARA!!

LIPGLOSS ZA BBW ZENYE LADHA YA MENTHA NDIO MAALUM KWA AJILI YA WATU WANAOSMOKE KWANI BAADA YA KUIPAKA HUKATA HARUFU KABISA!!

>>>DO YOU NEED TO BRIGHTEN YOUR SKIN TONE?EXTREMEBRITE SET IS A SOLUTION!!

BAADA YA EXTREMEGLOW SASA NAILETA KWENU EXTREMEBRITE HII NI SET NZIMA INA SABUNI,LOTION NA BRIGHTENING GEL!! HAPA NGOZI YAKO IKIDUNDA BASI MMMH!!!

Tuesday, September 10, 2013

>>>Recommended Hair Growth Products...


Daily Moisturizers
                 Black Hair
             *  Essentious Shine Daily Moisturizer (WWW.ESSENTIOUS.com)
              *  Organic Virgin Coconut Oil -BEST
              *  DOO GRO Stimulating Growth Oil ( Oil Based Moisturizer)
               * Nairobi Essential Botanical Oils ( Oil Based Moisturizer)
                *Organic Root Stimulator Carrot Oil (Water Based Moisturizer)
                           
To Stop Shedding
               * Crush fresh garlic cloves and add to your conditioner. Apply to hair leave in for 1 hour. BEST Alternatively garlic powder or garlic oil can be used.
                          *  Leave- In Protein Infusium 23
Leave-in Redken Anti-Snap
* Leave-in Chi Keratin Mist

Sunday, September 8, 2013

>>>KUNA MAJERAHA MENGINE HATA UKIYAPA MUDA KIASI GANI BADO YATABAKI VILE VILE!!!SASA @AK CLASSIC TUNAKUPA SABABU YA KUSMILE TENA!!

KAMA UNA JERAHA/BAKA AMBALO LIMETOKANA NA KUKATWA NA KITU CHA NCHA KALI,KUUNGUA,KUUMWA NA MDUDU,MKASI AU HATA LA CHUNUSI SCAR GEL INAFANYA VIZURI SANA KWA MABAKA YATOKANAYO KWA STYLE HII!!KARIBU AK TUKURUDISHIE TABASAMU LAKO!!

>>>JE DARK SPOT ZINAKUNYIMA USINGIZI??BASI RELAX NA UJE KWETU!!

EQAUTE IMETHIBITISHWA KUTATUA TATIZO LA MABAKA MABAKA KWA 100% KWANI HUYAPOTEZA KABISA NA KUIACHA NGOZI YAKO IKIWAKA!!!JARIBU SASA UONE TOFAUTI

Wednesday, September 4, 2013

>>>NEW ARRIVALS @AKCLASSIC COSMETICS..WAHI WAHI..

MADINI NDO YANASHUKA HUMO NDANI!!

WALE WALIOKUWA WAMEMISS CORSET HAYA HAYA MAMBO YAMETUA!!

HUKU HT26 HUKU MAKARI ILO BALAA LAKE SASA!!!AYAYAYAYA

MAKE UP ZOTE UNAPATA!!

ZILE SUPPLIMENTS ZA NYWELE KUCHA NA NGOZI ZIMEFIKA PIA,ILE LOTIO MAARUFU YA SH.18 PAMOJA NA SABUNI YAKE NDANI!!

WEWE USIPONG'ARA HUMU BASI UKAOGEE MAJI YA BWAGAMOYO!!KITU CHA ENZI IZOOO LAKINI MPK SASA KINATESA(AMBI) OTENTIKA NANI ASIYEIJUA? HYPCREME NDIO HABAREE YA MJINI!!CETAPHIL UJE UIONE!!ZIPO SABUNI LOTION NA KILA KITU

Tuesday, September 3, 2013

Zimewasili wahi upate yako mapemaaaa@ AK Classic CosmeticsHii ni kiboko yao kwa waliotumia wote wameipa 99.99%,naongelea Tanzania, ofcourse na USA nao wametoa 99.99%.
 

Available @ AK Classic Cosmetics

Product ImageProduct ImageBump Fighter Disposable Razors 4 Each [024500462076]
Kwa wale wenye ngozi za kupatwa na msukosuko haraka(sensitive)ukinyoa tu mapele hayo....dawa kiboko ipo dukani wahi ujipatie na special nyembe zipo kwa ajili yenu....hii inawahusu hata  wanawake.Hayo mapele ndio yanasababisha sehemu hizo za mwili kuwa NYEUSI!!kwa maelezo zaidi karibu dukani au piga simu.

Sunday, September 1, 2013

>>JE UNATAKA KUPUNGUA LAKINI UNAWASI WASI NA DAWA ZA KUTUMIA???

PROSHAPE IMETENGENEZWA KIASILI KWA 100% HII INAKUHAKIKISHIA USALAMA WA AFYA YAKO KWANI HAMNA KEMIKALI YOYOTE  AMBAYO INAWEZA KUKUSABABISHIA MADHARA YA AINA YOYOTE!! NI DOZI YA MWEZI MMOJA AMBAYO INAAMBATANA NA MASHARTI NAFUU SANA!!KWA HAKIKA KAMA UNATAFUTA MWAROBAINI WA UNENE WAKO,TUMIA HII UTAONA TOFAUTI SANA!!!

>>>ARE YOU UNCOMFORTABLE WITH YOUR STRETCHMARKS??COME TO US!!

NAFAHAMU KABISA HAKUNA MWENYE STRETCH MARKS AMBAYE HAJATUMIA BIO-OIL!!LAKINI KWA KESI HII NI TOFAUTI!!JUZI NILISEMA HAPA JAMANI ENHEEE BIO-OIL ZAIDI NA ZAIDI INASAIDIA KUKINGA NA SIO KUTIBU,IKIWA NA MAANA KWAMBA KAMA UNASTERCH MARKS LEO UKITUMIA BIOIL USITEGEMEE ZITAONDOKA LAHASHA ILA HAUTAONA ZIKIONGEZEZEKA!!                                                              SASA HUU NI MCHANGANYIKO TOFAUTI KIDOGO AMBAO UNATENGENEZWA KIASILI!! NI MCHANGANYIKO WA BIO-OIL NA FRESH SHEA( YAANI SHEA AMBAYO IMETOKA FRESH SHAMBANI) UNAFANYAJE? UNAPAKAJE? NJOO @AKCLASSIC KINONDONI!!