MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, January 21, 2013

>>HABARI NJEMA KWA WOTE WENYE USO WA MAFUTA(OILY SKIN)

KAMA KAWAIDA YA AK,RESEARCH NDO JADI YETU,KATIKA KUHANGAIKA HANGAIKA NI KITU GANI KINAWEZA KUFAA KWA WATU WASUMBUKAO NA NGOZI ZENYE MAFUTA MENGI,NIKAKUTANA NA HII NEUTROGENA WAVE POWER CLEANSER:                            1.HII KWANZA SHUGHULI YAKE NI UHAKIKA,KWA PIGO LA KWANZA UNAONA MABADILIKO YA NGOZI YAKO,INACHOFANYA NI KUNYONYA UCHAFU/MAFUTA YOTE USONI, HUFANYA KAZI MARA KUMI ZAIDI YA ILE CLEANSING YA KAWAIDA,NI AINA YA CLEANSER AMBAYO UNAWEZA KUITUMIA KILA SIKU BILA MADHARA YOYOTE,HAIRIBIKI KWA MAJI KWAHIYO UNAITUMIA UZURI BAFUNI UKIWA UNAOGA (WATER RESISTANCE).WALE TUSUMBUKAO NA CHUNUSI YA KWETU HII!
No comments:

Post a Comment