MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, January 26, 2017

JE USO WAKO UNA RANGI MBILI MBILI ,MABAKA ALAFU HAUNG'AI??...

Tumejiridhisha pasi na Shaka combination Hii Pia itakupa Matokeo Amaizing👌👌

#CloNo
Feat.
#kojiesansoap✔✔

Kama Kareception kana Rangi mbili mbili afu kuna vispot ivi, hakang'ai Basi chakufanya
Tafuta hii Combination alafu Unishukuru Bdae😉

#Tryme
#Bestcombination
#noresearchnodata
#ClearandBrightskin


Available
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity
Opposite #subway
#call&whatsup0753482909
#Door2Doordelivery


MICHIRIZI INA TIBA!!! ILA.......

Combination ingine ambayo isikupite 2017 Kama una #michirizi Ni hii,

#skintherapyoil
Feat.
#rawsheabutter

Mchanyato huu Mubashara unashauriwa kuchanganya #skintherapyoil ya #Palmers pamoja na #rawsheabutter ambayo ni mbichi na 100% asilia Isiyo na Kemikali hata Chembe.
Ukitumia pamoja Mchanyato huu kwanza husaidia Ngozi yako ipendeze/iglow na rangi flani ya Bronze amaizing kabisa Lakini zaidi na zaidi Wakati huo huo 😩 Combination hii husaidia kwa kiasi kikubwa kufifisha Michirizi kwa tarataribu ivyo kufanya kadri unavyoitumia ndivyo hufanya Michirizi kupotea!!
Plz Note: Matokeo katika Zoezi ili hutokea kwa taratibu ivyo Kuwa Mvumilivu utumiapo Mchanyato HUU.


#Tryme
#therapyoil+sheabutter✔✔
#Ngozinyororo na Tiba
#Joinstressfreezone
#noresearchnodata
#michirizi ina solution

Tunapatikana
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity
Opposite #totalpetrolstation
#call&whatsup0753482909
#Door2Doordelivery


JE NYWELE ZAKO ZINAKATIKAKATIKA HAZIKUI NA HAZISHINE???

Hii imethibishwa kabisa,
#noresearchnodata💃
Kati ya Combination Mubashara kabisa ambayo sisi #AKCOSMETICS💄 tunashauri isikupite Basi mojawapo ni Hii

#T444z hairfood
Feat.
#JBCO (jamaican Casto oil)

MAFUTA haya yakuchanganywa pamoja Hukupa Matokeo mazuri katika Nywele zako
Masuala yote ya kukua, Kujaa, kushine kutokatikakatika utayashuhudia Kwa Speed ya Hali ya Juu.

#tryitoday
#t444zwithjbco✔✔✔
#Bestcombination
#Siriyamtungi
#akcosmetics tunachimba


Pata Combination Hii
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity