MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, January 26, 2017

MICHIRIZI INA TIBA!!! ILA.......

Combination ingine ambayo isikupite 2017 Kama una #michirizi Ni hii,

#skintherapyoil
Feat.
#rawsheabutter

Mchanyato huu Mubashara unashauriwa kuchanganya #skintherapyoil ya #Palmers pamoja na #rawsheabutter ambayo ni mbichi na 100% asilia Isiyo na Kemikali hata Chembe.
Ukitumia pamoja Mchanyato huu kwanza husaidia Ngozi yako ipendeze/iglow na rangi flani ya Bronze amaizing kabisa Lakini zaidi na zaidi Wakati huo huo 😩 Combination hii husaidia kwa kiasi kikubwa kufifisha Michirizi kwa tarataribu ivyo kufanya kadri unavyoitumia ndivyo hufanya Michirizi kupotea!!
Plz Note: Matokeo katika Zoezi ili hutokea kwa taratibu ivyo Kuwa Mvumilivu utumiapo Mchanyato HUU.


#Tryme
#therapyoil+sheabutter✔✔
#Ngozinyororo na Tiba
#Joinstressfreezone
#noresearchnodata
#michirizi ina solution

Tunapatikana
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity
Opposite #totalpetrolstation
#call&whatsup0753482909
#Door2Doordelivery


No comments:

Post a Comment