MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, January 26, 2017

JE NYWELE ZAKO ZINAKATIKAKATIKA HAZIKUI NA HAZISHINE???

Hii imethibishwa kabisa,
#noresearchnodata💃
Kati ya Combination Mubashara kabisa ambayo sisi #AKCOSMETICS💄 tunashauri isikupite Basi mojawapo ni Hii

#T444z hairfood
Feat.
#JBCO (jamaican Casto oil)

MAFUTA haya yakuchanganywa pamoja Hukupa Matokeo mazuri katika Nywele zako
Masuala yote ya kukua, Kujaa, kushine kutokatikakatika utayashuhudia Kwa Speed ya Hali ya Juu.

#tryitoday
#t444zwithjbco✔✔✔
#Bestcombination
#Siriyamtungi
#akcosmetics tunachimba


Pata Combination Hii
@ak_classic_cosmetics
#Mlimanicity


No comments:

Post a Comment