MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, November 26, 2015

THE #BLACKFRIDAYSALE IS ON ...

KAMA HII KITU HAIKO KWA DRESSING TABLE YAKO NA FURAHI DAY HII IKAPITA HUJAIPATA BASI UMEPITWAAA!! HII NI THE MOST WANTED DEODRANT #SECRET NZURI MNOOOO MNOOO #FRIDAY HII UTAIPATA KWA 20,000/= TU BADALA YA 25000/- BEI YAKE.

HII NI MAHSUSI KWA FAMILIA NZIMA, BABA ,MAMA NA WATOTO YAANI NGOZI ZENU ZITAKUWA LAINI,NYORORO NA NG'AVUUUUU INAITWA #VASELINE INTESIVE CARE IJUMAA HII UTAIPATA KWA 28,000/= TU BADALA YA 35,000/= TUPO MLIAMNI CITY MKABALA NA SUBWAY 0753482909

WAHI WAHI .....THE BLACK FRIDAY SALE @AK CLASSIC

ILE HABARI YA MUJINI SASA UNAIPATA KWA SALE BEI CHEE KABISA IJUMAA HII.. KUTOKA 105,000/= MPAKA 70,000/= TUPO MLIMANI CITY OPPOSITE NA SUBWAY #0753482909

HAPA SASA NDIO KIVUMBI... HABARI YA MUJI INGINE... MAMBO YA #KIUNO NYIGU. KITU ANNCHERRY ORIGINAL KABISA KUTOKA COLOMBIA IJUMAA HII UTAIPATA KWA 145,000 TU BADALA YA 170,OOO/=- WAHI OFA HII NI IJUMAA HII TU BASI(BLACK FRIDAY)

KISA CHA MTOTO WAQ KIKE KUFUBAAA?? IJUMAA HII hYPECREME @AK CLASSIC UTAUZIWA KWA 65,000/= TU BADALA YA 90,000/= IWE LOTION AMA CREME WEWE TU

HAPA SASA NI KAMA TUNATOA BURE,INGAWA HAYA NI MAJINA MAKUBWA YA RANGI ZA KUCHA IJUMAA TUTAKUPA KWA 3000/= TU BADALA YA 8,000/=

ARE YOU READY FOR BLACK FRIDAY SALE!!?

THE GOOD NEWS NI KWAMBA KESHO 27/11/15 THIS FURAHI DAY KUTAKUWA NA CRAZY #BLACK FURAHI DAY SALE!! KAA MKAO WA KULAAAA!! MPAKA 70% OFF

Thursday, November 19, 2015

THE BEST LIPSTICK IN TOWN!!! #JORDANA lipstick

NILISHAWAHI KUSEMA HUMU,LEO NARUDIA BAADA YA WATEJA WANGU KUTHIBITISHA MANENO YANGU KUWA "aysee ni kweli hakuna kama #jordana" HII NI KUTOKANA NA KUKUBALI KILE AMBACHO NILIKUWA NIKIPREACH KUWA KAMA UNATAKA LIPSTICK YA UKWELI ISIYOKUWA DRY WALA NA MAFUTA,INAYOWEZA KULAST MUDA MREFU SANA,ISIYO KERA MDOMONI,,, INAPATIKANA @AKCLASSIC #0753482909

SUFFERING FROM DARK KNUCKLES?? SEE SKINCARE GURE #AKCLASSIC

JE WEWE NI MIONGONI MWA WALE WANAOSTRESISHWA NA WEUSI WA KWENYE VIDOLE VYA MIGUUNI,MIKONONI NA KWENYE MAGOTI?? RELAX!   @AK CLASSIC TUMEKULETEA KITU SAHIHI KWA AJILI YA TATIZO LAKO, NDANI YA WEEK 4-6 TATIZO LAKO LINAKUWA HISTORIA..NJOO UTUTEMBELEE KWANI AK HATUIISHII HAPO TU TUNA MAMBO KEDE WA KEDE KUTOKA UNYAYONI MPAKA KICHWANI KUHAKIKISHA NGOZI YAKO IMEKUWA AMAZING KABISA!!! TUPO #MLIMANI CITY CONTACT 0753482909

KAMA UNASUMBULIWA NA DARK SPOT(MABAKA) HII ISIKUPITE

WALE WENZANGU WANAOSUMBULIWA NA CHUNUSI WATAKUBALIANA NA MIMI MARA NYINGI CHUNUSI HUACHA MABAKA..MABAKA HAYA YAMEKUWA TATIZO KWA WATU WENGI!!JE WEWE NI MMOJA WAO? BASI USIPATE SHIDA NJOO #AKCLASSIC TUTAKUSAIDIA #0753482909

MTOTO WA KIKE KUNUKIA SIO OPTION!!NI LAZIMAAA

KWA WALE WANAOTAKA WATU WAJUE UWEPO WAO PINDI WANAPOPULIZIA UNYUNYU  FLANI BASI KITU HIKI HAPA!! #JAPANESE FULL SET

ENHEEEE WALE WENZANGU NA MIE WANAOPENDA HARUFU FLANI FLANI TAMU TAMU,KITU HICHII HAPA #PARIS AMOUR FULL SET KUANZIA LOTION,MIST NA PERFUM

Thursday, November 12, 2015

KIMYA KINGI KINA MSHINDO,MADINI MAPYAAA NDANI YA #AKCLASSIC!!!!

WALE MLIOKUWA MMEMISS SIZE ZENU #WAISTTRAINER SASA ZIMEFIKAA!!MKUYE MKUYE #AKCLASSIC MAANA KUNA SIZE ZIKO CHACHE...!!

MTOTO WA KIKE SHURTI UNUKIE TENA UNUKIE VITU VYA UKWELI BIBIE!!

ILE HABARI YA MUJINI NAYO IMETINGA TENA SAFARI HII IKIWA FULL SET YAANI KUANZIA YA KUOGEA,LOTION,SPLASH,BODY CREME NA PERFUM, KAMA HUJATUMIA HII UNAPITWA SANA,, RAHA YA NGOMA UINGIE UCHEZE!!

ENHEEEEE KINA RIHANA HAOOO!!MLIOKUWA MNAWAULIZIA MUWAHI WAHI WAPO WACHACHE SANA!!

MAMBO MAPYA KUTOKA VICTORIA SECRET HAPA BONGO  UTAYAPATA @AK CLASSIC TU!!

NILISHAWAHI KUSEMA HUMU NARUDIA TENA,MAAJABU YA MAFUTA YA ARGAN OIL KAMA HUJAWAHI KUYASHUHUDIA IWE KWA MWILINI AU KWENYE UNYWELE BASI UNACHELEWA SANA!! HII NDIO CERTIFIED ARGAN OIL KUTOKA MORROCO HAWA CREME OF NATURE WAO WAMEAMUA KUITUMIA KUSPECIALIZE KWENYE NYWELE...SHUGHULI YAKE SASA?NJOO #AKCLASSIC

IF YOU ARE MAD ABOUT SOMEONE THIS IS THE TIME TO SHOW HIM/HER BY ACTION!!LOL

NEW SCENT IN TOWN....VICTORIA SECRET WAMEKUJA UPYAAAAAAAA SAFARI HII NI MWONEKANO,CHUPA IMEBADILIKA KABISA SASA UWAHI KUJA KUSHUHUDIA USIJE UKAKUTANA NAO UKASEMA FEKI!!

VICTORIA SECRET LIPGLOSS JIRAMBEEEEEEE!

AYA SASA VICTORIA SECRET WAMETOA VIPORTABLE PERFUM KWA WALE WAVIVU KUBEBA MACHUPA MAKUBWAA...KITU VERY PORTABLE AFU UNAGUSAA TU KITU KINANUKIAJE SASA!!

KAZI YETU NI KUPICK ZILE BIDHAA AMBAZO ZINAFANYA VIZURI SANA,MFANO MZURI UTAONA KATIKA HII LIST YA HIZI PALMERS,HIZI NI KATI YA BIDHAA ZA PALMERS ZINAZOFANYA VIZURU SANA KWENYE NGOZI KUTOKA PALMERS!! HIZI ZOTE UTAZIPATA KWETU

HIZI NI MAALUM KWA WAPENDWA WANGU WOTE WANYE NYWELE ZINAZOKATIKA KATIKA HASA MWISHONI,NYWELE KAVUUU MNOO MPAKA UNASHINDWA KUCHANA KWA AMANI HIZI ZITAWAFAA SANA KWANI ZITAWASAIDIA KUTATUA MATATIZO YENU HAYO YOTEEE NA KUZIACHA NYWELE LAINI ,NYORORO NA ZINAZOSHIINE...!!!