MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Wednesday, January 29, 2014

Tuesday, January 28, 2014

#NEW ARRIVALS INAENDELEA....WENYE ODA MUWAHI WAHI

NO RESEARCH NO DATA,WATAALAM WA MAMBO KUTOKA AKCLASSIC WAMEGUNDUA UKINYUNYIZIA VITU KADHA WA KADHA KATIKA QUEEN ELIZABETH INAKUPA MNG'AO WA HATAREE YAANI NI SHIDAA!!

KATI YA SABUNI ZENYE MAAJABU SASA NI HII YA HT26.NI SABUNI AMBAYO UNAITUMIA MARA TATU TU KWA WEEK LAKINI MATOKEO YAKE NI SOO!!INATOA NGOZI ILOKUFA NA KUIACHA NGOZI LAINI NA NYORORO NA PIA INASADIA KUONDOA MABAKA!!

BAADA YA ETREME GLOW KUSUMBUA `SANA IMEKUJA HII INAITWA PUREGLOW YAANI NGUVU MPK MARA TATU YA MDOGO MTU EXTREMEGLOW.GUSA UNASE!!

YAANI NGUVU MARA 3 ZAIDI YA ILE YA MWANZO EXTREME GLOW.

IPI UNAIELEEWA ZAIDI?

CHAGUA MOJA!!ZIPOO

Monday, January 27, 2014

#NEW ARRIVALS AGAIN @ AK CLASSIC COSMETICS ... WAHI WAHI

AYA SASA WALE AMBAO MIKONO YAO INAKUWA MIGUMU KIASI KWAMBA KUTOA HANDSHAKE INAKUWA MITIHANI BASI MADINI9 YAMEKUJA KUWAONDOLOEA HADHA HII!!

MARA NYINGI TUMEKUWA TUKINUNUA BODYWASH KWA AJILI YA MWILI NA KUSAHAU WASH KWA AJILI YA KWA BIBI!!SASA TUMEKULETEA KITU CHA SUMMER'S EVE KWA AJILI YA KUMSAFISHA BIBI VIZURIIII UNAAMBIWA WAATALAM WOTE WANAISHAURI HII ITUMIKE KILA SIKU.

AYA AYA WALE WENZANGU NAMIE WANAOTAKA KUWA WA NJANOO MADINI YA KUKUPELEKA HUKO NDO HAYA!!KITU MWAKEEEEEE!!!MAMBO YA CHUNUSI, MABAKA NAYO BYE BYE!!

WALE MLIOKUWA MMEODA LACEWIG ZIMEFIKA SASA!!IWE UNATAKA MAWIMBI AU STRAIGHT ZOTE ZIPO WEWE TU..KAMA KAWAIDA BEI ZETUUU NAFUU KABISAA!!!

BAADA YA EXTREMEGLOW KUSUMBUA VILIVYO JAMAA WAMEKUJA NA PUREGLOW NA EXPRESSGLOW!UNAAMBIWA HIZI WAMEZIONGEZEA NGUVU MARA 3 ZAIDI YA EXTREMEGLOW EM PATA PICHA!!!DAAAH NI BALAAAA!! UKIAMUA KUFUBAAA UMEAMUA LAKINI VITU MJINI VIMEJAAA TELE!!

Thursday, January 16, 2014

>>>THE BEST FEMALE DEODRANT IS HERE...nani Anabisha?

INAITWA SECRET CREARGEL DEODRANT!!AISEE HAKA KAKITU KAKO VIZURI YAAANI UKIKATUMIA NDO UNAELEWA UZURI WAKE ILA KWA UFUPI TU NI DEODRANT YA GEL AMBAYO UKIIPAKA HATA KUSWEAT NO!! ALAFU KANAKUPA HARUFU FLANI YA NZURIIIIIIII KAMA UMEJIPULIZIA UNYUNYU!!

Wednesday, January 15, 2014

>>THE BUTTY LIFTER PANT WILL BOOST YOUR BUTT AND FLATTERN YOUR TUMMY!!

AYA AYA WANASEMA MWANAMKE UMBO TENA LENYE MVUTO BAB WEEE!!KITU CHA KUKUPA MVUTO UKATOKEA SEXY HICHO HAPO!!UNAAMBIWA KINALIBANA TUMBO LINAINGIA NDANI AFU LINABOOST ILE "WHAT YOUR MAMA GAVE YOU" UNATOKELEZEAJE SASA!!!SIZE ZOTE ZINAPATIKANA #AKCLASSIC

Monday, January 13, 2014

Friday, January 10, 2014

#2014 MWAKA WA OPERATION TOKOMEZA NYAMA UZEMBE!!SILAHA ZIKO #AKCLASSICOSMETICS

AYA KAMA AMBAVYO WENGI TUMEKUBALIANA KWAMBA MWAKA HUU NI MWENDO WA KUPIGA VITA NYAMA UZEMBE,KWANI MARADHI YATOKANAYO NA UNENE YAMEKITHIRI SANA SASA ILI TUKABILIANE NA MADHARA HAYA HATUNA BUDI KUEPUKA VYAKULA VYENYE MAFUTA MENGI,NA KUZINGATIA KUFANYA MAZOEZI WALAU MARA NNE KWA WEEK!!UKIAMBATANISHA VITU HIVI NA SUPPLIMENTS ZA KUPUNGUA KAMA ZINAVYOONEKANA HAPO JUU BASI NAKUHAKIKISHIA MATOKEO YATAKUWA BALABALA!!!

Thursday, January 9, 2014

>>>PATA MWONEKANO NA #AKCLASSICOSMETICS!!

MWANADADA MWIGIZAJI RAYUU AKIWA AMETOKELEZEA BAADA YA KUTUPIA POWDER YA #IMAN KUTOKA AKCLASSIC!!UNANGOJA NINI???

MTEJA WETU AKIWA AMETOKELEZEA BAADA YA KUTUPIA CORSET!! KITU FLAT SCREEN KUFUMBA NA KUFUMBUA CHEZEAA AKCLASSIC WEWE!!

Tuesday, January 7, 2014

MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA...NEW ARRIVALS INAENDELEA...

AYA AYA WALE WANAOTAKA KUWA FLAT HAPO MBELE SHORTCUT HIYO HAPO!! KITU CHA #CORSET TUMEKILETA KIWEZE KUKUFANYA UWE NA SHAPE YA UKWEE!!KADRI UNAVOIVAA NFIO TUMBO LINAINGIA NDANI...SO WITH TYIME LINAKAA SAWA!!

WENGI TUMEZOEA KUTUMIA BIOIL KUTIBU MICHIRIZI ILA UKWELI NI KWAMBA INACHOFANYA BIOL SANA SANA NI KUKINGA NGOZI ISIPATE MICHIRIZI ZAIDI!!SASA WATAALAM WA MAMBO HUKO DUNIANI WAMEGUNDUA YA KUWA UNAPOICHANGANYA BIOIL NA SHEA ILE MBICHI (UNREFINED SHEA) INASADIA SANA SANAAA KUTIBU MICHIRIZI!!JARIBU UONE

AYA WALE WA KUWA PORTABLE KITU HICHO HAPO!!UNAAMBIWA NI 100% NATURAL HAKINA KEMIKALI HATA CHEMBE HII INAKUAKIKISHIA KUTOKUWA NA WOGA WA MADHARA!!KITU GANI UNATAFUTA TENA ZAIDI YA HIKI! NI DOZI YA SIKU 30 UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUKISINDIKIZA NA DIET,MAZOEZI NA KUNYWA MAJI MENGIIIII!!!AYA TWENDEEEE SAY NO MANYAMA UZE,MBE!!

Monday, January 6, 2014

>>>MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA>> NEW ARRIVALS @AKCLASSIC COSMETICS

MZIGO NDO HUO UNAPAKULIWA.....WA MOTOOOO

AYA AYA MLIOKUWA MMEWEKA ODA ZENU MADINI YA KUMKICHWA YAMETUA NAOMBA MUWAHI WAHI LAWAMA STAKI SAFARI HII!!FIRST COME FIRST SERVED!!

ACHANA NA ILE YA MWAKA 47 HII NI MUPYAA IMETIWA NAKSHI NAKSHI ZA KILA NAMNA ZAIDI CARROT,NANI ASIYEJUA MAAJABU YA CARROT KWENYE NGOZI!!BASI KITU HIKI KIMEBORESHWA AFU SASA ILI UONDO UWE UONDO UNATUPIA NA SERUM...HIYO RANGI YAKE NI SHIDAAAAA!!

JAMANI NARUDIA TENA CARROT KWENYE NGOZI NI BALAAA!! HII NI CARROT GLOW NDUGU YAKE NA EXTREMEGLOW...TOFAUTI NA EXTREME GLOW HII ITAKUACHA NA RANGI YAKO LAKINI LIYOIVA NA KUIFANYA IONEKANE ZAIDI!!INAPATIKANA SET NZIMA @AKCLASSIC

HII INADHIHIRISHA UBORA WA CARROT KITU KINGINE TENA! ZIPO LOTION NYINGI SANA ZA MAKARI LAKINI HII YA MAKARI MUULIZE MR. GOOGLE MAANA ME NIKISEMA SANA NAONEKANA NAJIMEGEA!!HII KITU INAIFANYA VIZURI SANA NGOZI YAKO NAOMBA UGUSE UTANASA MWENYEWE!!NA RAHA YAKE HII BANA UTUMIE SET NZIMA...LOTION,SERUM,SABUNI NA CREME.ZOTE ZIPO #AKCLASSIC JAMANI

UNYUNYUZ!!KUNA LA KUONGEZA!!HIZI ZA UKWELIII SASA

BAADA YA KUTOKA NA OTETIKA IKATESA SANA SASA HAWA JAMAA WAMEKUJA NA HIKI KITU KINAITWA HYPECREME KAMA ILIVYO OTENTIKA ILA HII WAMEIONGEZEA MANJONJO MANJONJO!!KWA WALE WANAOTAKA RANGI FLANI YA KUNG'AA LAKINI SIO KIVILEEEEEEE!!HII ITAWAFAA SANA!!IMETUA NAYO!!