MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Friday, August 22, 2014

VIRUTUBISHO KWA AJILI YA NYWELE,NGOZI NA KUCHA??

STYLE YA MAISHA TUNAYOISHI,VYAKULA TUNAVYOKULA SI VITU AMBAVYO VINA TUONGEZEA VITU KWENYE MIILI YETU,,WEE ASBH UNAKULA CHAI NA MAANDAZI AU VITUMBUI MCHANA CHIPS MAYAI JIONI WALI NYAMA...KUNA KITU GANI CHA ZIADA HAPO UMEUPA MWILI?KUNA SEHEMU UMEONA MATUNDA HAPO,KUNA SEHEMU KUNA JUICY HAPO KUNA SEHEMU KUNA MBOGA ZA MAJANI HAPO?SASA NGOZI IKIFUBAA,NYWELE IKINYONYOKA UTASHANGAAA?SASA BASI HII BIDHAA NI KWA AJILI YA KUUPA MWILI VIRUTUBISHO MABAVYO HUVIOATI KATIKA VYAKULA UNAVYOKULA KILA SIKU KWA AJILI YA KUIPA NGOZI MVUTO,NYWELE ZIJAE NA KUCHA ZITAKATAKEEE!!NDIOOO

KUZA ZILE BUMPS HUTOKEA BAADA YA KUNYOA..UNATUMIA NINI WEWE?

HII HAPA NI KIBOKO YA VILE VIPELE AMBAVYO HUSUMBUA SANA SEHEMU ZA BIKINI PALE UNAPONYOA SASA KILIO CHAKO KIMESIKIKA NJOO #AKCLASSIC TUZUNGUMZEEE

Saturday, August 16, 2014

Saturday, August 9, 2014

CORSET AVAILABLE @AKCLASSIC

KUNA HAJA YA KUONGEZA NENO? HAYA KAMA UNA KITAMBI NJOO #AKCLASSIC

KUMBE KITUMBO KINAWEZA KUPOTEA UKAWA SEXIER!!CHEZEA #AKCLASSIC WEYE


UMBO NANE KUMBE INAWEZEKANA ASEE!!AHAHAHA. MAMBO YA KIMK CORSET HAYO...HII INASAIDIA SANA KUKUPA MWONEKANO LAKINI PIA KUPUNGUZA TUMBO KADRI UNAVOLIVAA MARA KWA MARA.WALE MAMA WALIOTOKA KUJIFUNGUA NDO KABISA HII INAWAHUSU SANA!!

Wednesday, August 6, 2014

FROM SONGS HITs TO THE PERFUMEs HITs #KIMK,BEYONCE, RIHAMA!

HITS ZA KIM K IZO HAPO GUSA UNASEEE...NI SHIIIDA!!

AYA SASA NANI MKALEEE?

#POND DARK SPOT CORRECTING CREAM.

POND CLARANT B3 FORMULATED WITH A COMPLEX OF VITAMIN B3 AND C,A DAILY MOISTURIZER WHICH FIGHT SKIN DISCOROLATION TO VISIBLY REDUCE THE APPERANCE OF SPOTS IN 4 WEEKS .SOFTEN SKIN MAKING IT LOOK EVENTONED AND MORE RADIANT.

WAKALI WA KITAA HAOOOOO!!!

HAPO KILA MMOJA ANA UKALI WAKE KATIKA NYANJA YAKE...NITAKUJA KUELEZEA UZURI NA UBORA WA MMOJA MMOJA KATIKA POST ZINAZOFUATA..STAY TUNED

Saturday, August 2, 2014

HIVI NDIVYO UNAVYOWEZA KUSHAPE SHEPU IKAKAA..

INAITWA BUTTYLIFTER PANTY,BADALA YA KUBAMBIKIA SPONJI UKUKOSA CONFIDENCE BASI UNAWEZA KUTFATUTA HII KITU KWANI UKUONGEZEA MWONEKANO KWA NAMNA YA YAKE KABISA KWA KUZILIFT ZILE NYAMA ZA NYUMA AMBAZO ZINAKUWA HAZIJABALANCE VZR NA KUZIPA UWIANO SAFI HUKU ZIKUACHA NA KASHEPU KAUKWEEEE!!

HIVI UNATUMIA DEODRANT? IPI?

KWASABABU YOYTE ILE USIJE UKANIAMBIA OOH SITUMII HUWA SITOI HARUFII OHHO ZINATOA VIPELE!!NI KWAMBA HUJAPATA KITU SAHIHI AMA?BASI SIO ISHU KITU HAPA!!NILISHAKIZUNGUMZIA SANA HUKO NYUMA SASA NARUDIA HIKI KITU NI SHEEDA!!KAMA HUJAKIONJA  SIKU ZOTE IZO BASI  WAKATI NI HUU!!ALAFU UTAKUJA KUNIAMBIA