MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Friday, August 22, 2014

VIRUTUBISHO KWA AJILI YA NYWELE,NGOZI NA KUCHA??

STYLE YA MAISHA TUNAYOISHI,VYAKULA TUNAVYOKULA SI VITU AMBAVYO VINA TUONGEZEA VITU KWENYE MIILI YETU,,WEE ASBH UNAKULA CHAI NA MAANDAZI AU VITUMBUI MCHANA CHIPS MAYAI JIONI WALI NYAMA...KUNA KITU GANI CHA ZIADA HAPO UMEUPA MWILI?KUNA SEHEMU UMEONA MATUNDA HAPO,KUNA SEHEMU KUNA JUICY HAPO KUNA SEHEMU KUNA MBOGA ZA MAJANI HAPO?SASA NGOZI IKIFUBAA,NYWELE IKINYONYOKA UTASHANGAAA?SASA BASI HII BIDHAA NI KWA AJILI YA KUUPA MWILI VIRUTUBISHO MABAVYO HUVIOATI KATIKA VYAKULA UNAVYOKULA KILA SIKU KWA AJILI YA KUIPA NGOZI MVUTO,NYWELE ZIJAE NA KUCHA ZITAKATAKEEE!!NDIOOO

No comments:

Post a Comment