MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Tuesday, February 11, 2014

#SIRI YA KUUTUNZA VIZURI USO WA MAFUTA NI KUUOSHA NA CLEANSER MUZURII!!

#SIRI YA MWONEKANO MZURI UNAHITAJI CLEANSER NZURI KUUOSHA USO WAKO HASA KAMA USO WAKO NI WALE WENZANGU NAMIE MIFUTA KIBAOOOO!!UNAPOOSHA NA CLEANSER HASA ZENYE SALICYLIC ACID AU BENZOL-PEROXIDE HUSAIDIA KUPUNGUZA MAFUTA YA ZIADA USONI,KUFUNGUA VINYWELEO9PORES) NA KUIFANYA NGOZI KUPUMUA VZRI ZAIDI,HUSAIDIA KUONDOA PIMPLES (CHUNUSI).KWA MWONEKANO PATA CLEANSER YAKO SASA.

Monday, February 10, 2014

MICHIRIZI ISIKUPE STRESS NJOO @AKCLASSIC KINONDONI KWA MANYANYA!!

@AKCLASSIC TUNA SULUHISHO LA KUDUMU LA MATATIZO YAKO YA MICHIRIZI!!KARIBU SANA...0753482909

#DR. LIN SKINCARE KIT NOW AVAILABLE @AK CLASSIC COSMETICS

AMERICA'S LEADING BORD  CERTIFIED DERMOTOLOGIST #DR.LIN SKINSCARE A TWO SYSTEM KIT WITH A CLEANSER,ACNE LOTION AND A BONUS OF ACNESPOT CORRECTOR.

Wednesday, February 5, 2014

IKIWA #QUEENELIZABETH IKIWA NA KIKI YA HATARE MUJINI NDUGU ZAKE WENGINE NAO WAWASILI @AKCLASSIC

KITU KINAITWA COCOA PAA TOLEO JINGINE LA QUEEN ELIZABETH NAYO IKO POA SANA INAPOTUPIWA MWILINI NGOZI INAKUWA NYORORO,LAINI AFU ANG'AVU!!

ENHEEE HAWA MPKA MAJINA KAMA WAMEPESTIANA YAANI DAAH!! KITU KAMA UNA NGOVU KAVU SANA BASI KITU KINAKUHUSU SANA SANA!!

Monday, February 3, 2014

ULISHAWAHI KULISKIA HILI KUTOKA #COCOA BUTTER MOISTURIZING GEL OIL ??

SIKUWAHI KUGUNDUA KWAMBA PAMOJA NA MAMBO MENGINE HII KITU NI  DAWA YA MBU!!YES YES NI DAWA YA MBU YAANI UKIIPAKA MBU HAKUSOGELEI!!NO RESERCH NO RIGHT TO SPEAK!!ME MWENYEWE NIMELETEWA REPORT NA MTEJA I WAS LIKE WHAAAT!!?NIKATEST BANA AISEE NI KWELI KAMA UNA MASAFA YENYE WALE WASUMBUFU BASI HII ISIKOSE KWENYE HANDBAG!!YALE MAWONDERS YAKE USISHAHAU YAKO PALE PALE MNG'ARISHO,KULAINISHA NA KUIWAKISHA!!aya kanyaga twende

WALE TEAM NATURAL LAKINI CHOCOLATE COLOUR #HABARE YA MUJINI HII HAPA #QUEENELIZABETH C0COA BUTTER

HILI JUA LA SAIVI LINAVYOKONG'OLI LAZIMA UFIFIE!!AYA SASA KITU CHA QUEEN ELIZABETH KWANZA KINABLOCK MIONZI YA JUA,AFU KINAKUNG'ARISHA,KAMA NGOZI IMEHARIBIKA NA MICHIRIZI INASAIDIA KUIRUDISHA TARATIBUUU SASA HIYO TISA UKIJA AKC;ASSIC TUNAKUONGEZEA NA SERUM BASII UNAAMBIWA HUO MNG'AO WAKE SASA...LAZIMA WANUNE WALLAHI VILE MAANA MTOTO NG'ARI NG'ARI!!