MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Tuesday, February 11, 2014

#SIRI YA KUUTUNZA VIZURI USO WA MAFUTA NI KUUOSHA NA CLEANSER MUZURII!!

#SIRI YA MWONEKANO MZURI UNAHITAJI CLEANSER NZURI KUUOSHA USO WAKO HASA KAMA USO WAKO NI WALE WENZANGU NAMIE MIFUTA KIBAOOOO!!UNAPOOSHA NA CLEANSER HASA ZENYE SALICYLIC ACID AU BENZOL-PEROXIDE HUSAIDIA KUPUNGUZA MAFUTA YA ZIADA USONI,KUFUNGUA VINYWELEO9PORES) NA KUIFANYA NGOZI KUPUMUA VZRI ZAIDI,HUSAIDIA KUONDOA PIMPLES (CHUNUSI).KWA MWONEKANO PATA CLEANSER YAKO SASA.

No comments:

Post a Comment