MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Monday, February 3, 2014

ULISHAWAHI KULISKIA HILI KUTOKA #COCOA BUTTER MOISTURIZING GEL OIL ??

SIKUWAHI KUGUNDUA KWAMBA PAMOJA NA MAMBO MENGINE HII KITU NI  DAWA YA MBU!!YES YES NI DAWA YA MBU YAANI UKIIPAKA MBU HAKUSOGELEI!!NO RESERCH NO RIGHT TO SPEAK!!ME MWENYEWE NIMELETEWA REPORT NA MTEJA I WAS LIKE WHAAAT!!?NIKATEST BANA AISEE NI KWELI KAMA UNA MASAFA YENYE WALE WASUMBUFU BASI HII ISIKOSE KWENYE HANDBAG!!YALE MAWONDERS YAKE USISHAHAU YAKO PALE PALE MNG'ARISHO,KULAINISHA NA KUIWAKISHA!!aya kanyaga twende

No comments:

Post a Comment