MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, April 24, 2014

>>KUWA MAKINI NA UNACHOPAKA USONI HASA KAMA USO WAKO NI WA MAFUTA!!

MARA NYINGI WATU WENYE USO WA MAFUTA HUWA WANASHANGAA WANAPOPAKA VITU VINADUNDA HII NI SABABU USO UNA MAFUTA ALAFU UNAPAKA PRODUCT YENYE MAFUTA!!HAPO LAZIMA UTAONA VIRUSHES,VIPELE AU HATA CHUNUSI HII NI KWA SABABU NGOZI YA MAFUTA HAIPATANI NA PRODUCT YA MAFUTA!KUZUIA HII UNAHITAJI KUPAKA VITU VISIVYO NA MAFUTA(OIL FREE) AKCLASSIC TUTAKUSAIDIA KATIKA HILI!!0753482909

Tuesday, April 22, 2014

AYA SASA KUMEKUCHA... NEW ARRIVAL @AK CLASSIC COSMETICS

BRAND ZOTE MAARUFU DUNIA HII ZIMETUA,.. TUONGOZANE UWONEEE!!

MWANAMKE RECEPTION BAB' WEE..NA VIFAA VYENYEWE NDIO HIVIIII!! #MARY KAY FOUNDATION HII UBORA WAKE UNAWEZA KUGOOGLE MAANA NIKISEMA SANA MTASEMA NAJIMEGEA AFU KUNA #IMAN HII NILISHAWAHI IZUNGUMZIA.NI SHIDAAA

WANASEMA OLD IS GOLD!KITU TOKA MWAKA 47 NA BADO KINASUMBUAAAA!!AYA TUMEWASHUSHIA SET NZIMA...KAMA NGOZI YAKO IMESHINDIKANA BADI HAPA ITAPATIKANA!!

HAYO MABAKA YAKO EM YALETE KWETU.. TUKUONESHEEE!!!UKIENDA KUKOPISHIWA SAWA ILA USISHANGAE HAZIISHI IZO!!

MTOTO WA KIKE SHURTI KUNUKIAAA ATII!!MAMBO HAYOOOO KUTOKA SIGNATURE COLLECTION!!HAPO JARIBU YOYOTE HAPO UTANIKUBALI ....

Tuesday, April 15, 2014

>>EWE MAMA KIJACHO USISUBIRI MICHIRIZI IJE NDO UTAFUTE TIBA....UNAWEZA KUIZUIA!!!

INAITWA TRILASTIN MATERNITY STRETCH MARK PREVENTION..UKISHAONA TAYARI TU BASI UNASHAURIWA KUPAKA HAYA MAFUTA.HII HUIFANYA NGOZI KUWA LAINI NYORORO NA ZAIDI YENYE UNYEVU UNYEVU MUDA WOTE KANA KWAMBA HATA PALE INAPOKUWA INATANUKA NA KUSINYAA BASI INAIKUTA NGOZI LAINI IVO KUEPUKA KUTOKWA NA MICHIRIZI AMBAYO NI MATOKEO YA NGOZI ILIYOKUWA KAVU.

>>WITH US YOU WILL LOOK CLASSIC AND SMELL CLASSIC!!UNYUNYUz

SIO KWENYE MZIKI TU  NA KWENYE UNYUNYU NAKO BIBIE YUPO TENA ANATISHA HUYOO ALA ALALALLAAL!

MTOTO WA KIKE SHURTI UNUKIEE BAB WEEE!! NA HARUFU ZENYEWE HIZI HAPA...

AYA AYA WANAUME NAO HATUJAWASAHAU VITU VYAO HIVI HAPA!!

Thursday, April 10, 2014

>>YOU CAN'T GO WRONG WITH OLAY TRUST ME!!

JE unataka kuwa na ngozi laini nyororo afu softiiiiiiiiiiiiiii?

>>KILA SIKU TUNAKUJA NA MUPYAA!! NO RESEACH NO RIGHT TO SPEAK...

HAKUNA ANAYEBISHA HATA KIDOGO KAZI KUBWA AMBAYO IMEKUWA IKIFANYWA NA QUEEN ELIZABETH COCOA BUTTER KWENYE KUTENGENEZA NGOZI KUWA LAINI,NYORORO NA ZAIDI KUNG'AA SASA TUMEKUJA NA HII KWA MABORESHO ZAIDI NA KUKUAHAKISHIA MNG'AO ZAIDI NA WA HARAKA TUMEGUNDUA VITU VYA KUTUMIA PAMOJA NA HII QUEEN ELIZABETH AMBAYO NI SERUM,PALMERS MOISTURIZING GEL OIL PAMOJA NA SABUNI!!JARIBU UONE