MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Sunday, September 2, 2012

>>>KUMBE NAMBA 8 INATENGENEZWA!!AMA KWELI MWANAMKE SHEPU BABUU WEE!!

Inaitwa butt booster kazi yake ni kuongeza palipopungua

Kazi yake hii ni kurudisha tumbo ndani na kutengeneza shepu inayotakiwa!

Muonekano kwa mbele sehemu ya juu inahusika na kurudisha tumbo!!

Hii ni aina nyingine ya kurudisha tumbo ila hii ni ndefu inafika mpaka kwenye boob!!

Inatengeneza kiuno kinakuwa kama Dondola,cheki hapo juu!!Angalizo hii unavaa kwa muda flano baada ya kipindi mwili unajitune wenyewe!!!

Aya Sasa hii ndo inashape namba 8,kiaje Njoo chemba tukupe shule!!

Coset kazi yake ni kubana tumbo,hapa ni kwa mbele una-wamba kadri ya size ya tumbo lako,zipo s,m,l & xl

Coset kwa nyuma!!

No comments:

Post a Comment