HIZI NI KATI YA SUNSCREEN ZINAZOPATIKANA AK COSMETICS,NEUTROGENA YENYE SPF 70 NA OBAGI NU-DERM YENYE SPF 50. |
HIZI NI ZA L'OREAL,FOUNDER WA L'OREAL, EUGENE SCHUELLER NDO ALIEGUNDUA SUNSCREEN. |
HII NI LOTION YA KAWAID LAKINI IMETENGENEZWA NA SUNSCREEN KABISA LOTION KAMA HIZI ZINAHUSIKA SANA!! |
PRODUCT NYINGI ZA L'OREAL ZIMEWEKEWA SPF KABISA HII NDIO SIRI INAYOZIFANYA ZIPENDWE NA ZIFANYE KAZI YAKE VIZURI |
MAANA HATA SIJUI NITUMIE LUGHA GANI KUSISITIZA UMUHIMU WA SUNSCREEN KWENYE NGOZI YA BINADAMU.JITAHIDI SANA SANA UTUMIE UKISIKIA AKIBA YA UZEENI BASI HII NI MOJA YA ZILE MUHIMU.YULE ATAKAYEKUAMBIA WEWE MTU MWEUSI HII HAUHITAJI HAKUTAKII MEMA.
No comments:
Post a Comment