MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Thursday, November 28, 2013

>>>WHICH ONE IS YOUR FAVOURITE FROM AVON?

AVON WANASIFIKA KWA KUWA NA PERFUMES NZURI ALAFU ZINAZOLAST KWA MUDA MREFU KIDOOGO!! UNAAMBIWA THE OLD IS GOLD!! AVON AMEKUWEPO TOKA MIAKA IYOO LAKINI HAJACHUJA WALA NINI!!

>>THE BEST ACNE TREATMENT PROACTIV SOLUTION NOW AVAILABLE @AK CLASSIC!!

KATI YA TIBA ZA CHUNUSI AMBAZO ZINASIFIKA NA KUTAFUTWA KILA MAHALI TOKA ENZI IZO BASI NI HII.INAFANYA KAZI NZURI SANA LINAPOKUJA SWALA LA KUSAFISHA ,KUTONE KISHA LOTION YAKE AMBAYO NDO INACT KAMA TIBA UNAPOIPAKA.PACKAGE HII INA BONUS PACK YA MUSK BUREEE KABISA.USHINDWE WEWE TU.

Wednesday, November 27, 2013

>>>HIKI NDICHO INACHOWEZA KUFANYA MAXIPEEL...(MAAJABU YA MAXI PEEL)

HII SET INAJUMUISHA VITU VITATU: SABUNI- KWA AJILI YA KUONDOA VUMBI,UCHAFU,NA KUNYONYA MAFUTA,LAKINI PIA ZAIDI HUSAIDIA KUFUNGUA VILE VINYWELEO ILI NGOZI IWEZE KUPUMUA VIZURI ZAIDI,SERUM- HII NI KWA AJILI YA KUONDOA MABAKA NA KUIFANYA NGOZI KUWA RANGI MOJA NA MWISHO NI SUNSCREEN AMBAYO HII HUSAIDIA KUKINGA /KUZUIA MIONZI YA JUA.

>>>ZAWADI SI MPKA BIRTHDAY YAKE JAMANI...MSUPRISE ILI NAE AKUSUPRISEE!! MADINI NDO HAYA HAPA...Tuesday, November 26, 2013

>>NAOMBA KUSHARE NAMIE NACHOTUMIA MAANA MASWALI MENGIII NAULIZWA!!

WAKATI MWINGINE KUMBE UNATAKIWA UONYESHE MFANO!!BAADA YA MASWALI KUWA MENGI NAOMBA NISHARE SIRI YA KANGOZI KANGU...AISEE  HII SABUNI IKO VIZURI SANA KWA WALE WENZANGU NAMIE TULIO NA NGOZI ZA MAFUTA MAFUTA,YAANI INAKAUSHA MAFUTA VIBAYA MUNOOO,THEN BAADA YA HAPO NATUPIA KITU CHA Q10 NIVEA AISEE HII RAHA UIPATE ORIGINAL,BAADA YA HAPO NI KUAHKIKISHA LITRE MBILI ZINAKATIKA KWA SIKU.MAJI MAJI MAJI MAJI MAJI MUHIMU SANA ASIKWAMBIE MUTU.

>>ARE YOU LOOKING FOR SOMETHING TO MAKE YOUR SKIN GLOW?

HIZI BRAND ZINAFANYA POA SANA LINAPOKUJA SWALA LA KUWEKA NGOZI YAKO SAFIII ULE MNG"AROOOO,LAINI NYORORO ISIYO NA MAKUU.AMBI (OLD IS GILD),OTENTIKA,HYPERCREME,CETAPHIL.GUSA UNASE

Sunday, November 24, 2013

WELCOME @AK CLASSIC COSMETICS KINONDONI BRANCH,OPENING HR MON-SAT 09AM-0830PM. SUN 11AM -07PM.


TUPO KINONDONI KWA MANYANYA KITUONI KABISA KAMA UNAENDA MWENGE KONA YA KWANZA KAMA UNAENDA MWENGE. 0753482909/0713468393.

Wednesday, November 20, 2013

>>>MTOTO WA KIKE KUNG'AA LAZIMA, NO EXCUSE!!!

KUNG'AA SIO LAZIMA KUWA MWEUPE NAOMBA KUWEKA SAWA,KUNG'AA NAMANIISHA ILE RANGI YAKO IONEKANE ISIFUBAE UWE MWEUPE,MAJI YA KUNDE AU MWEUSI!!MAANA KUNA WALE WEUPE LAKINI WAMEFUBAAA!!SASA MADINI HAYO HAPO JAMANI WEE NJOO TWAMBIE UNATAKAJE TUNAKUTOKEA MADINI YAKATAYOKUFIKISHA UNAPOTAKA!!!

Tuesday, November 19, 2013

KAMA KAWAIDA YETU MADINI MAPYAAA @AK CLASSIC COSMETICS!!KARIBUNI

SIJUI KAMA WEWE ISHAKUKUTA LAKINI KUNA WAKATI UNAKUWA NA MIKONO MIGUMI KAMA VILE UNAFANYA KAZI ZA ZEGE,MPK MTOTO WA KIKE KUTOA HANDSHAKE INAKUWA ISHU!!HAYA HII INAKUHUSU!!

SIGNATURE WAMETOA BIDHAA MPYA!AYA NJOO UPATE YAKO @AK CLASSIC

SIGNATURE WAMETOA BIDHAA MPYA!AYA NJOO UPATE YAKO @AK CLASSIC

 SIGNATURE WAMETOA BIDHAA MPYA!AYA NJOO UPATE YAKO @AK CLASSIC
MALI MUPYAAA INAPAKULIWAA!!

UNATAKA MNG'AO?CHOCOLATE FLANI HIVI?BASI SAWA MAMBO HAYA HAPA INAITWA HYPECREME SET NZIMA KUANZIA SABUNI CREME MPK SABUNI...

JE CHUNUSI ZAKO SUGU MPK UNAKOSA AMANI?BASI NJOO TUKUPE MAJINA YANAYOONGOZA KWA KUTIBU CHUNUSI DUNIA NZIMA!UKIKOSA KUPONA HAPA BASI TUNANYOOSHA MIKONO HEWANI UNAENDA KUOGEA MAJI YA BAHARI!!

WALE WA WEUSI KWENYE MAKWAPA,ZIMEKUJA TENA!MLIOTOA ODA MUWAHI MUWAHI LAWAMA SITAKI!!

NEW ARRIVALS @AK CLASSIC COSMETICS


Wednesday, November 13, 2013

>>>OTENTIKA SET NOW AVAILABLE @AK CLASSIC

HII NI SET YA WATU WENYE NGOZI KAVU, HAPO UNAKUTANA NA FADE OUT CREME,LOTION,SOAP & SERUM

HII NI SET KWA WALE WENZANGU NAMIE WENYE NGOZI ZENYE MAFUTA!!

Tuesday, November 12, 2013

Monday, November 11, 2013

Thursday, November 7, 2013

>>>NANI ZAIDI KATI YA HT26 VS MAKARI!!??

JE UNAYAJUA MAAJABU YA CARROT LINAPOKUJA SWALA LA NGOZI!!?? AISEE ASIKWAMBIE MTU CARROT INATENGENEZA NGOZI KUWA VIZURI SANA.SASA HAWA JAMAA WOTE HAPO JUU WANA CARROT UNATAKA KUJUA SHUGHULI YAO AFU UONE NANI ZAIDI???LEO NITAKUNONG'ONEZA KWA MBAALI...NGOZI INAKUWA laini,nyororo,maridhawa alafu chocolate!!

Tuesday, November 5, 2013

>>>UKIAMUA KUFUBAA NI WEWE TU!!LAKINI @AK CLASSIC YAPO MADINI YA KILA AINA!!

INAITWA SH. 18 INAFANYA VIZURI SANA KWA SASA,UKIANZIA NA SABUNI AMBAYO INACHONGA BARABARA ALAFU LOTION INAPITA KWA KASI!!GUSA UONE...

Friday, November 1, 2013