MADUKA YAPO KINONDONI MANYANYA na MLIMANI CITY - OPPOSITE TOTAL PETROL STATION.

Tuesday, November 26, 2013

>>NAOMBA KUSHARE NAMIE NACHOTUMIA MAANA MASWALI MENGIII NAULIZWA!!

WAKATI MWINGINE KUMBE UNATAKIWA UONYESHE MFANO!!BAADA YA MASWALI KUWA MENGI NAOMBA NISHARE SIRI YA KANGOZI KANGU...AISEE  HII SABUNI IKO VIZURI SANA KWA WALE WENZANGU NAMIE TULIO NA NGOZI ZA MAFUTA MAFUTA,YAANI INAKAUSHA MAFUTA VIBAYA MUNOOO,THEN BAADA YA HAPO NATUPIA KITU CHA Q10 NIVEA AISEE HII RAHA UIPATE ORIGINAL,BAADA YA HAPO NI KUAHKIKISHA LITRE MBILI ZINAKATIKA KWA SIKU.MAJI MAJI MAJI MAJI MAJI MUHIMU SANA ASIKWAMBIE MUTU.

No comments:

Post a Comment